Ushauri kwa CHADEMA -- Ondoeni kansa (Zitto Kabwe) ili chama kisonge mbele

Kiongozi anaweza kuondolewa uongozi kama ni kiongozi dhaifu (au msaliti). Vyote hivi Zitto amevionesha. And yes, ameshauriwa na kuonywa so many times. Kikao cha mwisho, Zitto alipoombwa atoke nje ya kikao, alifyonza na kutoka kwa dharau za kumwaga.

Pumba we...mawivu tu yamekujaa
 
Kipengele kipi cha katiba ya chadema amekivunja kwa kufanya hayo yote uliyoyasema?

Afukuzwe uongozi au uanachama? fafanua?

ni kiongozi gani duniani anayekimbilia kwenda vyombo vya habari kueleza habari za ndani ya chama anachokiongoza kwenye vyombo vya habari zinazotofautiana na makubaliano ya kichama? tena zenye athari kubwa?
:
Ushari wangu:

CHADEMA wasimfukuze, atajifukuza mwenyewe - naomba kazi ziendelee kama kawaida - simple just ignore this simple man.
 
Nilifikiri ni chama cha demokrasia na maendeleo kumbe ndani yake kuna didimiza demokrasia na maendeleo?
 
Tatizo liko kwa Zitto ambaye hataki maamuzi ya wengi ndani ya chama (demokrasia) yaheshimiwe (maendeleo). ZItto amekoma kuwa mwanachama wa chama cha demokrasia na maendeleo BUT amekuwa mwanachama wa chama cha Zitto. Whatever Zitto thinks ndio kinafuatia na sio vinginevyo.
 
Zitto sio mwanamageuzi ila msaka pesa tu. Akijua issue huishupalia, akipewa pesa kimya kama hakuwahi kuisikia hiyo issue. Mwaka 2008 Raia Mwema Waliandika udokozi wa bilion 1.2 na kugawana wakurugenzi 6. Zitto aliufanya mtaji kwenye kikao cha kamati ya fedha ya bunge yeye akiwa kama mwenyekiti. Aliwavuna kweli PPF, walimpa pesa na walimkodia ndege kumpeleka Kagera kwa shughuri za bunge bila kibari cha Waziri wa fedha. Mkurugenzi mkuu wa PPF anamwogopa kwa hii EPA yao. Hata leo hii akitaka kitu hupewa.

Si mwanaupinzani bali ni mbadhirifu wa upinzani. Kama anabisha kukodiwa ndege kama rushwa na abishe tutoe ushahidi wa Bodi ya PPF kumhoji Mkurugenzi Mkuu na kumuonya kusaidia wapinzani wakati anatakiwa kusaidia CCM tu
 
ni kiongozi gani duniani anayekimbilia kwenda vyombo vya habari kueleza habari za ndani ya chama anachokiongoza kwenye vyombo vya habari zinazotofautiana na makubaliano ya kichama? tena zenye athari kubwa?
:
Ushari wangu:

CHADEMA wasimfukuze, atajifukuza mwenyewe - naomba kazi ziendelee kama kawaida - simple just ignore this simple man.

exactly yuko Kigoma akipigana na issue za u-meya na sasa amempa wazir husika siku saba, tangu mlipoanza kusema afukuzwe angefukuzwa siku nyingi. Hivi sio aibu kweli kwenda kwenye timu fulani let say Yanga na ukionyesha unaipenda sana mpaka kutoka machozi, halafu kwa kuipenda huko unashauri wamfukuze mchezaji mmoja, ila viongozi wenyewe ndio kwanza wanampangia majukumu . I dont get it real! afukuzwe na bado yumo! sijajua hasa hii audacity inatokea wapi.

Mwafrika alishatabiri Zito atakosa ubunge, kapata, alishafikiri atapewa ubunge wa kuteuliwa kwa sababu ni mchaga KAKOSA, alifikiri atawatumia wajumbe wamuondoe Zito kwenye uongozi bungeni na chamani, waasisi wa chama wamezui.. I mean wamezuia, Mwafrika anasema afukuzwe, afukuzwe , inakuwa kama vile sauti ya nzi inashindana na BOIENG latest!!!! dua la kuku, afadhali wamekueleza wengi humu kwenye threa dyako mwenyewe kuwa una WIVU!! umetokota, your hatred kwa Zito itakuweka kila mara kwenye stress na aibu take my words!!!! Dowans unaandika bila aibu, ukijua Zito alikuwa sahihi, nashangaa unalaumu kinyesi ulichokunya! hujagundua tu ZITO AMESHINDA. NWA KWA TAARIFA YAKO TUKILIPA 189B ndio SERIKALI YENU ITAKAPOKUBALI KUNUNUA MITAMBO HAIRUDI HUKO ILIKOTOKA!!! ndiyo kusema Zito amekuacha wewe miaka 2 au mitatu mbele kwa kufikiria tu. Alisema Kafulila asifukuzwe, mmeona athari zake!!!

sasa wewe tukana kama kawaida yako na kwa taarifa yako sifungui hii thread ng'o!!! naogopa mlipuko wa ukweli utakaotoka kwako baada ya kuambiwa ukweli wako.NARUDIA ONDOA HATRED YAKO KWA ZITO YOUR PERSONAL LIFE WILL BE GOOD, maana kama uko chadema, unamtukana mwanchadema, huku wanachadema wenzako wakimpa shavu tena waasisi, huoni kuwa utapata vidonda vya tumbo yakhe??? huu ni ushauri tu!

Zitto yuko Kigoma, kwanza ana kesi huko, pia kuna vurugu za uchaguzi wa mameya, amempa siku 7 waziri husika, hii ni dondoo tu kukuonyesha mwanamapinduzi huyu unayemchukia AMA KWA HAKIKA ANATAKA SANA SUPPORT YAKO kwani kufanya na kusema usemayo ni unyimi wa fadhila na in future watu kujitokeza kwenye upinzani ni kazi sana, maana Mwafrika unakuwa umewarudisha na kuwakatisha tamaa wengi, Zito has a story to tell, he will write books and history will definitely condemn you, though I am sure you dont care! Yes u dont care simply because u are not care to read and to know these times need to focus on how we can remove CCM!!

However, partly I may agree with you, and will certainly agree if you have solid evidence regarding all accusation towards Zito, if you dont have evidence, WHAT ARE YOU??

Message sent! Your lucky that I have contributed to your thread, I hade to lift my 'personal ban' temporarily. Maliza mwaka kwa raha hizi chuki siku zote zitakunyima raha!!! chukua hili kwa faida yako

message sent!!! neeext

Kunja ngumi, kunja ngumi, kunja ngumi, kunja ngumi, kunja ngumi.

Peeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeepoz -Mfarisayo
 
Zitto sio mwanamageuzi ila msaka pesa tu. Akijua issue huishupalia, akipewa pesa kimya kama hakuwahi kuisikia hiyo issue. Mwaka 2008 Raia Mwema Waliandika udokozi wa bilion 1.2 na kugawana wakurugenzi 6. Zitto aliufanya mtaji kwenye kikao cha kamati ya fedha ya bunge yeye akiwa kama mwenyekiti. Aliwavuna kweli PPF, walimpa pesa na walimkodia ndege kumpeleka Kagera kwa shughuri za bunge bila kibari cha Waziri wa fedha. Mkurugenzi mkuu wa PPF anamwogopa kwa hii EPA yao. Hata leo hii akitaka kitu hupewa.

Si mwanaupinzani bali ni mbadhirifu wa upinzani. Kama anabisha kukodiwa ndege kama rushwa na abishe tutoe ushahidi wa Bodi ya PPF kumhoji Mkurugenzi Mkuu na kumuonya kusaidia wapinzani wakati anatakiwa kusaidia CCM tu

Kipofu kuona mwezi..kwa siasa za bongo, ama kweli safari bado ni ndefu!!
 
exactly yuko Kigoma akipigana na issue za u-meya na sasa amempa wazir husika siku saba, tangu mlipoanza kusema afukuzwe angefukuzwa siku nyingi. Hivi sio aibu kweli kwenda kwenye timu fulani let say Yanga na ukionyesha unaipenda sana mpaka kutoka machozi, halafu kwa kuipenda huko unashauri wamfukuze mchezaji mmoja, ila viongozi wenyewe ndio kwanza wanampangia majukumu . I dont get it real! afukuzwe na bado yumo! sijajua hasa hii audacity inatokea wapi.

Kama mchezaji anafungisha magoli over and over ... basi inabidi apewe benchi.

Mwafrika alishatabiri Zito atakosa ubunge, kapata, alishafikiri atapewa ubunge wa kuteuliwa kwa sababu ni mchaga KAKOSA, alifikiri atawatumia wajumbe wamuondoe Zito kwenye uongozi bungeni na chamani, waasisi wa chama wamezui.. I mean wamezuia, Mwafrika anasema afukuzwe, afukuzwe , inakuwa kama vile sauti ya nzi inashindana na BOIENG latest!!!! dua la kuku, afadhali wamekueleza wengi humu kwenye threa dyako mwenyewe kuwa una WIVU!! umetokota, your hatred kwa Zito itakuweka kila mara kwenye stress na aibu take my words!!!!

Bwa ha ha ha,
Ukisikia kuishiwa ndiko huku - eti mwafrika anataka ubunge wa kuteuliwa?!?!

Dowans unaandika bila aibu, ukijua Zito alikuwa sahihi, nashangaa unalaumu kinyesi ulichokunya! hujagundua tu ZITO AMESHINDA. NWA KWA TAARIFA YAKO TUKILIPA 189B ndio SERIKALI YENU ITAKAPOKUBALI KUNUNUA MITAMBO HAIRUDI HUKO ILIKOTOKA!!! ndiyo kusema Zito amekuacha wewe miaka 2 au mitatu mbele kwa kufikiria tu. Alisema Kafulila asifukuzwe, mmeona athari zake!!!

Zitto alikuwa sahihi kwenye lipi? Yaani unaweka two batshit options (kununua au kulipa dowans) na kudai kuwa mojawapo ni sahihi? ZItto alikuwa wrong kwenye kushauri kuwa serikali inunue Dowans? Kwa nini? Inunue toka kwa nani?

sasa wewe tukana kama kawaida yako na kwa taarifa yako sifungui hii thread ng'o!!! naogopa mlipuko wa ukweli utakaotoka kwako baada ya kuambiwa ukweli wako.NARUDIA ONDOA HATRED YAKO KWA ZITO YOUR PERSONAL LIFE WILL BE GOOD, maana kama uko chadema, unamtukana mwanchadema, huku wanachadema wenzako wakimpa shavu tena waasisi, huoni kuwa utapata vidonda vya tumbo yakhe??? huu ni ushauri tu!

Kama kawaida yako, kulia lia kaa kitoto kilichopata tohara leo

Zitto yuko Kigoma, kwanza ana kesi huko, pia kuna vurugu za uchaguzi wa mameya, amempa siku 7 waziri husika, hii ni dondoo tu kukuonyesha mwanamapinduzi huyu unayemchukia AMA KWA HAKIKA ANATAKA SANA SUPPORT YAKO kwani kufanya na kusema usemayo ni unyimi wa fadhila na in future watu kujitokeza kwenye upinzani ni kazi sana, maana Mwafrika unakuwa umewarudisha na kuwakatisha tamaa wengi, Zito has a story to tell, he will write books and history will definitely condemn you, though I am sure you dont care! Yes u dont care simply because u are not care to read and to know these times need to focus on how we can remove CCM!!

Yeah, you are right. Zitto has a story to tell..... Buzwagi's money ... remember?

However, partly I may agree with you, and will certainly agree if you have solid evidence regarding all accusation towards Zito, if you dont have evidence, WHAT ARE YOU??

Bwa ha ha.. ndio maana ulianzisha thread hapa ndefu kuhusu Zitto na Ridhiwani. Umeishiwa kijana. Rudi shuleni usome

Message sent! Your lucky that I have contributed to your thread, I hade to lift my 'personal ban' temporarily. Maliza mwaka kwa raha hizi chuki siku zote zitakunyima raha!!! chukua hili kwa faida yako

message sent!!! neeext

Lugha ya malkia ni tatizo kwako enheee?

Kunja ngumi, kunja ngumi, kunja ngumi, kunja ngumi, kunja ngumi.

Peeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeepoz -Mfarisayo

Crap
 
Kwa kuvunja kipengele gani cha katiba ya chadema?

Je ameshapelekwa kwenye vikao rasmi ya chama kuulizwa na kujitetea?

Je vikao hivyo vilimpa onyo lolote? oral or written?

mkuu umerudi kutoka Kandahar na Waziristan ... na mwalimu wenu Dr. AL Zawahiri hajambo?
 
Tatizo liko kwa Zitto ambaye hataki maamuzi ya wengi ndani ya chama (demokrasia) yaheshimiwe (maendeleo). ZItto amekoma kuwa mwanachama wa chama cha demokrasia na maendeleo BUT amekuwa mwanachama wa chama cha Zitto. Whatever Zitto thinks ndio kinafuatia na sio vinginevyo.

Kama hataki maamuzi ya wengi ( i hope you mean vikao halali) sasa si vikao hivyo vimfukuze uongozi?

Kwakuwa hawamfukuzi naona wewe ndio personally humtaki zitto siyo chama (vikao) halali?

Una haribu chama mkuu!
 
Ndio mwanzo wake huo, leo hii Mwafrika nimewapa ushauri hadharani (hapa JF) wamtose Zitto kwenye uongozi wa CHADEMA. Ningekuwa naingia kwenye vikao vya CHADEMA, hii kansa ingekuwa ilishachomolewa zamani sana.
 
Zitto yuko chadema kimaslahi ila nccr ndiko anakoendesha mikakati ya ujenzi wake ni vema akavuliwa madaraka mapema vinginevyo atakijeruhi cdm 2015
 
Ndio mwanzo wake huo, leo hii Mwafrika nimewapa ushauri hadharani (hapa JF) wamtose Zitto kwenye uongozi wa CHADEMA. Ningekuwa naingia kwenye vikao vya CHADEMA, hii kansa ingekuwa ilishachomolewa zamani sana.

Naamini watamchomoa wakiona ana makosa na ushahidi kikatiba kwakuwa chama kina viongozi wanaoaminika au siyo

Wishes zako na ushauri wako hawauhitaji kwa sasa, you keep it for yourself au siyo?
 
Back
Top Bottom