Wakuu mie kama mzalendo wa Tanzania ningependa kutoa ushauri kwa hivi vyama viwili kama ifuatavyo.
Kama tulivyoona uchaguzi uliopit Igunga gharama kubwa sana ilitumika kwa vyama vyote kurusha mahelikpta,kuwahonga wapiga kura na wazee wa kampain kupata ma allowance kibao fedha nyingi zilitumika jumla ikiwa zaidi ya billion 4 kwa vyama vyote.
Sasa mie ushauri wangu najua ARUMERU mchezo utakua ni huohuo na gharama zinaweza kuwewepo hata zaidi ya hizo,kwa nini hivi vyama viwili vifanye makubaliano wampitishe mgombea mmoja akawakilishe bungeni na hizo fedha watakozosave around 4 billion zitumike kujenga mazahanati,barabara,mashule na kuwalipa walimu katika hiyo ARUMERU badala ya kuanza kuonyeshana umwamba wa nani zaidi wakati wananchi wanakufa na matatizo mbalimbali.