Ushauri Kuhusu Viongozi wanaovaa hereni sikioni

Senkenke1

Member
Jul 3, 2012
26
3
Wanachedema naomba ushauri wenu suala hili la viongozi wa Chadema hapa Washington kuvaa kihereni sikioni linakera watu wengi. Sasa tufanyeje? tusije chemsha kama chama cha wenzetu
 
Waache wavae uko USA wakija tanganyika haitakubalika!vinginevyo yatobolewe yawe kama ya wamasai.
 
Ni wanaume????? Mhhh!!!!!! Sisko alivaa wakati anawania ubunge tmk na mrema. Mram alishinda kwakuwa hakuvaa hereni.
 
kwaio umejoin kwa ajili ya swala ilo tu au unamengine??
 
mambo yenu ya huko jama mkija huku msiyalete mtajiharibia!.
utamaduni wtu wa kibongo mwanaume kuvaa hereni ni gozigozi
 
Ni wanaume????? Mhhh!!!!!! Sisko alivaa wakati anawania ubunge tmk na mrema. Mram alishinda kwakuwa hakuvaa hereni.

Wanaume ila katibu anavaa mpaka leo afadhali wengine wamevua tayari, bado wengine wanasuka kazi kweli kweli...
 
Wanachedema naomba ushauri wenu suala hili la viongozi wa Chadema hapa Washington kuvaa kihereni sikioni linakera watu wengi. Sasa tufanyeje? tusije chemsha kama chama cha wenzetu

waambie kama wanampango wakuja kugombea cheo chochote hapa utawapunguzia nguvua na pengine kuwakosesha kabisa,ila wakiwa huko huko USA wavae
 
Issue ni nini? Heleni au sikioni? Unataka wavae nini na sehemu gani ya mwili? Assumption yangu ni kuwa hao viongozi wa CDM ni wanawake
 
Mambo ya ajabu sana, vihereni kusuka havitowasaidia sasa sijui CDM kitakuwa chama cha mabitozi au kata-K....viroja

Tuondelee ***** hapa, unaacha kujadili mambo ya maana unajadili Hereni. Mbona yule MBUNGE wenu wa MAGAMBA Arumeru alivaa heleni. Yaani wewe kwa ajili ya sababu zako binafsi za kimajungu ume register two days ago ili ulete majungu. Hereni zitatusaidia nini sisi. Tuwekee hoja tujadili mambo ya msingi. Tanzania kunamgomo wa madaktari, katiba mpya n.k harafu unatuletea ***** huu kwa sababu ya majungu. YAANI UME REGISTER JUZI KWA AJILI YA ***** HUU?

GET LFE, WACHA MAKAMANDA WAENDELEE KUFANYA KAZI ABROAD.
 
hahaa haha Cisco wa Magamba? upo hivi siku kedekede sijamsikia duh watu hupotea kama upepo!
 
Back
Top Bottom