Ushauri kuhusu mapenzi jamani

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
764
Jamani salama,
Kwasisi ambao tumeoa/kuolewa sometimes zile vurugu match za nyumbani kweli unahitaji mbadala ili kidogooooooooooo kushusha ka pressure kako.

JE kwa wanaume mbadala ni kutafuta kabinti au ka mke ka mwezako? Likewise kwa wanawake bora ya kasharubaro au mme we mwenzako. Jamani haya mambo yapo hapa duniani hivyo tuwe tu realistic kwenye kuchangia.
 
Mh... Jina lako linanitisha sana!

Kama lingekuwa ni jina la basi,hata lingekuwa Yutong,Andare,sijui Luxury coach,etc lisingepat abiria hata wa dawa!
 
Mbadala mzuri ni wewe na huyo mkeo kubadili mazingira na process nzima ili kuongeza excitement kwenye tendo. Hata role play inaweza ikafanya muonane wapya. . .
 
Mbadala mzuri ni wewe na huyo mkeo kubadili mazingira na process nzima ili kuongeza excitement kwenye tendo. Hata role play inaweza ikafanya muonane wapya. . .

Kwani matatizo yote yanaanziaga kwenye tendo?
 
Mbadala mzuri ni wewe na huyo mkeo kubadili mazingira na process nzima ili kuongeza excitement kwenye tendo. Hata role play inaweza ikafanya muonane wapya. . .

Lizzy hujanielewa, ninachosema kuna wakati unahitaji kadawa ka pressure yani kupumzika kuondokana na kero ambazo zime erupt nyumbai. Kila mtu ana namba ya ku handle situation kama hivyo JE if I want to go for this substitute then who could be the right person to go with?
 
Mh... Jina lako linanitisha sana!

Kama lingekuwa ni jina la basi,hata lingekuwa Yutong,Andare,sijui Luxury coach,etc lisingepat abiria hata wa dawa!

Wala asikutishe.
he always has the same old tricks ambazo Yesu alizishinda.
 
Lizzy hujanielewa, ninachosema kuna wakati unahitaji kadawa ka pressure yani kupumzika kuondokana na kero ambazo zime erupt nyumbai. Kila mtu ana namba ya ku handle situation kama hivyo JE if I want to go for this substitute then who could be the right person to go with?

Huyo huyo mkeo. . .straighten her out, straighten yourself out and see how great your life can turn out.

Kwenda kwa mwingine hakupunguzi matatizo ya nyumbani, yani hakufanyi hizo kero zipotee ila kunaweza kukaongeza.
 
"Nao wakamshinda kwa damu ya Mwana-Kondoo na kwa neno la ushuhuda wao. Ambao hawakupenda maisha yao hata kufa" (Ufunuo 12:11).

nami kwa jina la Yesu, natangaza ushindi dhidi yako shetani!

Wokovu na uweza na Ufalme
vina yeye Mungu wetu,
Amina!

mbarikiwe sana wapendwa,

Glory to God!
 
sasa huko unakoenda ndo utamaliza matatizo na je umeshajua tatizo ni nini??
  1. je kama wewe ni tatizo??
  2. kama kote uendako ni tatizo
itakuwaje?
 
siku zote jitahidi kukabili matatizo yako head-on... kutafuta mbadala na other short-cuts ni kujiongezea matatizo rather than solving them
 
sio kila siku sikukuu
hata aliye singo kuna chalenji zake
ukijua hilo huwezi taka raha ya ajabu kila siku kwenye mahusiano.
 
Back
Top Bottom