Ushauri kuhusu kununua gari kutoka kampuni ya Be Forward

Be forward wako vizuri, wanaku update kila siku from the day umelipa hela kununua gari mpaka siku meli inafika bandarini.

Mie gari yangu imeshafika, na nimeshalipia ushuru wiki iliyopita, now ipo kwenye process ya clearance, nadhani mwanzoni mwa wik ijayo ntakuwa naendesha sasa! Thanks kwa michango yenu ya kimawazo kuhusu swala hili. Be forward wako vizuri. Cha muhimu ni kujiandaa na ushuru tu.
 
biashara ya magariya kuagiza kama unauzoefu mtafute anaejua aupe details na ikiwezekana akuagizie/ vinginevyo utapigwa sana

Swali lolote kuhusu Beforward napenda niulizwe. Sina share nao lakini nimeagiza magari mengi kutoka kwao na mimi ni shahidi wa huduma zao njema.
 
Nakushauri nunua hiyo Gari hapa bongo ni million I 7.5 ila pia no nzuri Sana hiyo Gari ni nzito aiyumbi ikiwa inakimbia nzuri sana
 
Mkuu kwa gari hiyo andaa Shs.3,551,617/= kuligomboa bandarini,pia Shs.300,000/= port charges na Shs.250,000/= gharama za wakala atakayekutolea hilo gari. Likishafika uraiani kuna motor vehicle registration fee,kama Shs.220,000/=,Shs.150,000/= road licence na Bima kama Shs.220,000/=,upo????,jipange mwanangu kila kitu kinawezekana.Kwa hiyo jumla kuu itakuwa:(($1992*1630)+3,551,617+300,000+250,000+220,000+150,000+220,000)=8,038,577/=,kila la kheri Mkuu

Hivi hzo hela kama angeamua kuzizalisha angepata faida mara ngapi ?? Hzo pesa angeweza fungua bonge moja la car wash na akapiga hela nyingi tu kwa mwezi. Hyo faida ndio anunulie gari. Au ingelikua ni mm..kuliko nitoe hzo pesa ni aheri ninunue gari iliyokua katka hali nzuri kwa mtu humu ndani TZ nyngne nifanyie cha maana. Kwan shida si usafiri ?? Gari ziko kibao mjini hapa.
 
Mkuu we n nan kumpangia mtu matumiz ya pesa zake..unajua hilo gari litamuingizia kiasi gani au nyie ndo wa mnaufikir gar m luxury tu.by the way gari used ya tanzania ni magonjwa kununua bora ujipange uagize japan
 
hivi amekwambia amepataje hzo hela? Au unajua vitega uchumi vyake?
Kwa hiyo ukitaka kununua gari lazima uwe na car wash?, na kununua gari kwa mtanzania umu umu tz je yeye alinunua wp? C aliagiza kama mdau alivofanya?
 
Kwa duties and tax calculation ipo hivi. ImageUploadedByJamiiForums1404021358.034492.jpg

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Mkuu we n nan kumpangia mtu matumiz ya pesa zake..unajua hilo gari litamuingizia kiasi gani au nyie ndo wa mnaufikir gar m luxury tu.by the way gari used ya tanzania ni magonjwa kununua bora ujipange uagize japan

1. Simpangii mtu matumizi ya pesa yake ndio maana nikasema kama ingelikua ni mm (in his/her shoes) ningefanya hvyo. Take it or leave it. Ni yeye kuamua.
2. Rejea post yangu, nimesema atafute gari iliyo in a good condition humu TZ (ziko kibao). Au ww unafkiri kununua gari ndani ya TZ ni lazma hilo gari litakuwa kimeo ?? Wapo watu wenye discipline katika utunzaji wa magari. Kuna mshkaj wangu anauza magari used hapa TZ yko in good condition na gurantee anakupa liki kusumbua anagharamia kwa pesa zake. Sikushangai n vile utakua huna exposure.
 
Habari wana Jf,

Naomba msaada namna ya kuagiza gari na kampuni ya be foward nataka kununua Carina Ti Nina 10m sipo Dar es salaam.

Natanguliza shukulani zangu kwenu
 
Ingia kwenye net chagua gari, andika contact zako, watakupa bei ya kufika dar yaani cif. Ukikubaliana na offer zao wanakutumia account yao ya tanzania crdb but utaongeza dola 40 kama tt. Baada ya malipo una scan hiyo bank slip na kuituma kwao. Then watakupa utaratibu na muda wa kupokea gari yako hauzidi siku 40.
Kwa msaada zaidi wasiliana na ofisi zao dar. Mim nimefanya nao ni waaminifu. Au npm nikujuze zaidi
 
Kodi ya TRA carina inaweza kuwa tsh ngapi kama ipo ndani ya miaka 10
 
Huyo jamaa kakupa maelezo mazuri yafuate kama alivyokuambia na wengne watakuja kukupa ya kwao,ila usi-mp watu wanalizwa sana uko kwenye Pm
 
Kodi ya TRA carina inaweza kuwa tsh ngapi kama ipo ndani ya miaka 10

siku hizi ni miaka 8 so hapo gari ya kuanzia 2008 ndio haina punishment japokuwa depreciation yake ndogo watakubana pia kwenye kodi..

tra haraka haraka andaa kama m6 hivi kwa ajili ya kodi na port charges
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom