Ushauri; Kazi inaelekea kunishinda

nina miaka 21, with just a diploma..nimeajiriwa like 11 months ago yani nakaa mbezi beach ,,..ofisi Kitega uchumi...kuripoti saa 1 kutoka inategemea na kazi sometimes mbaka saa 1 sasa mtoa uzi we utoto na kukaa vijiweni unakusumbua..kwanza shukuru mungu unaepushwa na majungu mtaani..hasira zako zote zitaisha ukishika mshahara and you'll be very proud..jinga xana
 
.........haya,kuwa uyaone!!!yaani unatoka chuo tu unaleta pozi hivyo?*****,me naamka sa tisa alfajiri,ofsini natakiwa saa moja kamili.kurudi,nafika home sa nne(Kiluvya). Huu mwaka wa saba sasa(masters holder),am i a fool?nyie ndio mlikuwa mnatumia madesa chuoni na wala hamjui kutoboa ozone na mna wajomba kibao vyuoni!!!hvivi mungu,kwa nini ulimfanya huyu amalize chuo?angefeli,afanye maisha ya mtaa

Du! Lugha kali sana, hata maprofesa wetu wengi hawajui haki zao za kiajira (ukiondoa wale wanasheria), anyway twendeni tu na wahindi wetu! Binafsi huwezi nifanyisha kazi namna hii zaidi ya miaka miwili nisikufikishe CMA kama hunilipi overtimes. Dada endelea tu kuwa mtumwa na masters yako, sishangai kani hata wewe kama umemwajiri housegirl najua humtimizii haki zake za kiajira
 
nina miaka 21, with just a diploma..nimeajiriwa like 11 months ago yani nakaa mbezi beach ,,..ofisi Kitega uchumi...kuripoti saa 1 kutoka inategemea na kazi sometimes mbaka saa 1 sasa mtoa uzi we utoto na kukaa vijiweni unakusumbua..kwanza shukuru mungu unaepushwa na majungu mtaani..hasira zako zote zitaisha ukishika mshahara and you'll be very proud..jinga xana

Hamna kitu!
 
Wewe mdanganye tu, ajira ngumu kupatikana. Utatembea na bahasha za khaki zikiwa na certifictaes hadi zitageuka rangi na kuwa nyeusi na bado hujapata hata kibarua. Vumilia kijana[/QUOTE

Uvumilivu una mwisho, jamani hivi hamana haja ya kuwa na sheria za kazi!!!!!!!!
 
chezea mshahara husichezee kazi !

hapo unapimwa.
Kama unaona ni kero acha kazi ndipo utakapogundua kuwa hao wako sawa.

hakuna vipimo kama hivi, huu ni upuuzi, man hour (muda wa kazi) hautakiwi kuzidi maa 40 kwa wiki au nane kwa siku, na hii ni according to labor laws na ni kitu kinachofanyika katika nchi karibu zote duniani, mbali na hapo unapaswa kulipwa overtime, exceptions zipo kwa watu kama polisi, wanajeshi nk
 
kaka mm nakushauri sana kaza buti usiache hyo kaz mpaka utakapopata kazi nyingine bro.cuz now job zimekuwa adimu sana mm mwenyewe nimemaliza chuo nipo home tu kaz adimu
 
mkuu majibu yenu wote namimi nimeyasikia ila huyu manager rasilimali bwana Sheria za Tanzania hazina usimamizi ,kama jamaa anataka kujitoa muhanga basi sawa ila anataka kuendelea na kazi japo mshahara mdogo bora aendelee kwanza asijifanye mjuaji wa sheria ,hawa waajiriwa wetu wanalindwa na viongozi wetu,watamfukuza kazi na hawezi kupata msaada wowote na hakuna lolote litakalotokea kwani waajiri na matajiri ndio wao kama wako above the law wanafanya watakacho wanajua wanaweza kutumia pesa zao kuzima lolote litakalotokea ,ingekuwa tupo america au uk na nchi nyengine za europe hii ingeweza kuwork out ,sector binafsi tanzania na hasa zilizochini ya wa*********(wahindi) zinaongoza kuwanyonya wazawa na kuwazalilisha as if ni watumwa katika nchi yao ilhali wao wanafaidika na jasho letu,nenda sasa mbele ya haki kuwashtaki ,wewe ndo utaishia ndani,ndugu yangu vumilia tuu mungu atakupa kazi nzuri tuu.
 
.........haya,kuwa uyaone!!!yaani unatoka chuo tu unaleta pozi hivyo?*****,me naamka sa tisa alfajiri,ofsini natakiwa saa moja kamili.kurudi,nafika home sa nne(Kiluvya). Huu mwaka wa saba sasa(masters holder),am i a fool?nyie ndio mlikuwa mnatumia madesa chuoni na wala hamjui kutoboa ozone na mna wajomba kibao vyuoni!!!hvivi mungu,kwa nini ulimfanya huyu amalize chuo?angefeli,afanye maisha ya mtaa

maisha magumu, ni kweli, ila si kama hivi, kuna mahali lazima ulikosea wewe
 
mkiambiwa wavivu mnasema mmetukanwa mnadharauliwa. hivi wewe kuamka saaa 11 asbui unaona ni tatizo? kurudi saa 2 usk unaona ni tatizo?? halafu hata kazi hujui bado ndo unajifunza, lakini unaanza na mtazamo hasi, ukirudi nyumbani saa kumi na nusu jioni unaweza kutuambia utakuwa unafanya nini???, au unaweza kutuambia kikubwa unachofanya weekend ambacho gharama yake ni wewe kukimbia kazi?.

iache hiyo kazi, itakufundisha kazi

unajua bidii inaambatana na malipo mazuri kidogo, sio kurudi usiku bila sababu utafikiri ni kibarua kumbe ni mtaalamu. ukweli njaa tusitangulize tutaumia, kama haikidhi mahitaji yako tafuta nyingine fasta utazeeka kabla ya umri wako. tambua thamani ya elimu yako ukiendekeza njaa utalipwa na kufanyishwa kazi kama kibarua.ila usilete dharau maana hata muajiri wako mwingine atahitaji kupata taarifa zako za utendaji kwa huyo wa awali.
 
Wakubwa wote heshima zenu kwanza.
Na poleni na majukumu ya kila siku .

Nimesikitishwa na karibia asilimia 78% ya majibu na ushauri uliotolewa na wajumbe wachangiaji kwa upande mmoja, lakini pia kwa upande wa pili imenithibitishia mambo mawili :

1. Watanzania wengi hawajui haki zao ktk AJIRA zao.
2.Watanzania wengi wananyonywa na kuonewa ktk ajira zao.

USHAURI KWA MHANGA WA TATIZO :
1. Unachofanyiwa sio stahili yako na ujue unaonewa sana ,hivyo hata kama unaendelea na hiyo kazi ujue ya kwamba muda wa kazi una viwango na vingi vimefata International Standard , me nimefaya serikalini na sasa niko private lakini muda wa kazi ni masaa yasiyozidi 9 kwa siku , labda iku moja moja za emergences ambazo hata mwenyewe unaona inabidi tu .

2. Nakushauri toa TZS 6000/= nunua kitabu cha EMPLOYMENT AND LABOUR RELATIONS ACT,2004 (ELRA,2004). Ni sheria ya kazi na Mahusiano kazini ya mwaka 2004 , Na kimsingi waajiri wote wanalazimika kufuata sheria hii . Kwahiyo utapata muda wa kazi unaotakiwa kufanya,masaa ya ziada na siku za kazi ni ngapi kwa wiki na mambo mengine yote ya msingi kuhusu haki zako .

3. Na ujue una haki ya kumshitaki Mwajiri wako kwa kukiuka sheria ya kazi hiyo niliyoitaja na hawezi kukufukuza kazi

NB: MIMI SIO MWANASHERIA KWANI TUMEZOEA MAMBO YA SHERIA NA HAKI ZA MTU AJUE MWANASHERIA TU , UJUMBE WANGU KILA MFANYAKAZI ANATAKIWA KUJUA HAKI ZAKE ZA KISHERIA NA KIMSINGI .

USIKU MWEMA KWA WOTE MLIOSOMA UJUMBE HUU .

AHSANTENI NAOMBA KUWASILISHA.

Kweli ulichosema sema ugumu wa kupata ajira kisiwe kigezo cha kunyayasika maana sheria na taratibu zipo wazi.Waajiri wengi wanatumia vibaya uchache wa ajira katika kuwatumikisha watu.
 
Kazi std ni masaa 8 kwa siku x 5 days per week, hii hufanya kuwa jumla kuwa masaa 40 kwa wiki. Ukitakiwa ufanye overtime ni maximum 10 hours per week, hivo jumla maximum ni masaa 50 kwa wiki. Nje ya hapo ni unyonyaji na utumwa.

40-45hours a week.
 
Wakuu mimi ni mgeni katika masuala ya ajira. Nimegraduate mwaka huu pale UDSM, na nimepata kazi wiki mbili zilizopita katika kampun moja pale Posta. Hawa jamaa wanataka nifike kazin saa moja asubuh na niondoke saa 12. Kulingana na eneo ninaloishi nalazimika kuamka saa 11 na kurudi nyumban saa 2 mpaka 3 usiku<MBEZI>. Pia wanafungua ofis mpaka jumapili, kinachosikitisha hakuna hata overtime pamoja kutoa mshahara kiduchu. Hivi wengine ndivyo mnavyofanya kazi hivi? Naomba ushaur katika hili.

Kwa kuwa umeshaanza kutia shaka hiyo kazi haikufai, mwisho wa siku utafanya chini ya kiwango na mwajili wako atakasirika. Cha kufanya, USIACHE KAZI, kula sahani moja naye, huku ukifanya kazi kwa bidiii zote. Wakati unafanya kazi pia endelea kutafuta sehemu nyingine.

Kuna washauri wazuri wamekuambia usome sheria za kazi, fine, Lakini nahisi hazitakusaidia mbali na kukujenngea conflict na mwajili wako kisha atakutimua. Sheria za kazi zinafanya kazi lakini inabidi uwe makini kuzi apply. Kuwa mtaratibu, jenga mahusiano mazuri na mwajiri, apply unyenyekevu kisha chomekea hizo sheria na massaa ya kufanya kazi bila kuwa na jaziba wala hasira. Akiwa mkali kuwa mpole kabisa.

Kuna jamaa katoa maoni kuwa, inavyoonekana watanzania wengi hawajuwi haki zao kazini, na pia kuna wachangiaji kibao wamemmbeza jamaa mwenye master anayeamka usiku na kufanya kazi kwa masaa-mengi anayekuomba ukomae. Mi naona we komaa na kazi, hao wanaobeza kuwa watanzania hawajuwi haki zao kazini nawapa pole, kwa kuwa wana uhuru wa kutoa maoni, ni haki yao.

Ni sawa tu na shabikii anayeweza kusema "yule mchezaji si angekinga mguu tu na kufunga goli". UGUMU WA SEHEMU YA KAZI UNATOFAUTIANA. WEWE ULIYE nje ya nchi na kujidai unajuwa sheria za kazi na kuahidi ukija utasaidiwa watanzania wenzako, karibu, sana. Ni rahisi kukaa kwenye Keyboard na kuandika unavyojisikia. Hata hao waajiri wanazijuwa hizo sheria kazi wanachokifanya ni profit maximazation, UKIkomaa sana wanakupiga chini.

Ushauri wa pili ni kwamba, kuna kazi kibao ambazo wanafanya kazi muda mrefu zaidi ya hayo masaa yako, wala isikupe shida na kujiona kuwa hujuwi haki zako. Ukiwaza hivo utaumia sana na utaishia kupata msongo wa mawazo. Kwa kawaida ukiona kazi hailipi unapiga kazi kwa malengo, miezi kadhaa unakusanya mtaji unawekeza na wewe, kisha unapiga chini kazi huku ukitafuta nyingine wakati ukijuwa kuna sehemu inakupa mkate wa kila siku. Ukiacha kazi huku huna pa kukupatia mkate wakila siku UTAUMIA.

Jiulize kwa nini ROONEY wa man U anavuta 220pauni kwa wiki, huku WERBECK akivuta 50pauni kwa wiki, kwa nini yeye asidai akalingana na Rooney? Unataka kuniambia Welbeckck Hajuwi haki zake? Mkataba wako na makubaliano ndo msingi wa yote. Chapa mzigo siku ukipata panapokufaa ndo uondoke na si kuanza kulalamika lalamika. CHANGANYA NA ZA KWAKO PIA.
 
nina miaka 21, with just a diploma..nimeajiriwa like 11 months ago yani nakaa mbezi beach ,,..ofisi Kitega uchumi...kuripoti saa 1 kutoka inategemea na kazi sometimes mbaka saa 1 sasa mtoa uzi we utoto na kukaa vijiweni unakusumbua..kwanza shukuru mungu unaepushwa na majungu mtaani..hasira zako zote zitaisha ukishika mshahara and you'll be very proud..jinga xana
mkuu bora hata huo mshahara ungekuwa unabaki, mwisho wa siku sibakiwi na kitu
 
Kwa kuwa umeshaanza kutia shaka hiyo kazi haikufai, mwisho wa siku utafanya chini ya kiwango na mwajili wako atakasirika. Cha kufanya, USIACHE KAZI, kula sahani moja naye, huku ukifanya kazi kwa bidiii zote. Wakati unafanya kazi pia endelea kutafuta sehemu nyingine.

Kuna washauri wazuri wamekuambia usome sheria za kazi, fine, Lakini nahisi hazitakusaidia mbali na kukujenngea conflict na mwajili wako kisha atakutimua. Sheria za kazi zinafanya kazi lakini inabidi uwe makini kuzi apply. Kuwa mtaratibu, jenga mahusiano mazuri na mwajiri, apply unyenyekevu kisha chomekea hizo sheria na massaa ya kufanya kazi bila kuwa na jaziba wala hasira. Akiwa mkali kuwa mpole kabisa.

Kuna jamaa katoa maoni kuwa, inavyoonekana watanzania wengi hawajuwi haki zao kazini, na pia kuna wachangiaji kibao wamemmbeza jamaa mwenye master anayeamka usiku na kufanya kazi kwa masaa-mengi anayekuomba ukomae. Mi naona we komaa na kazi, hao wanaobeza kuwa watanzania hawajuwi haki zao kazini nawapa pole, kwa kuwa wana uhuru wa kutoa maoni, ni haki yao.

Ni sawa tu na shabikii anayeweza kusema "yule mchezaji si angekinga mguu tu na kufunga goli". UGUMU WA SEHEMU YA KAZI UNATOFAUTIANA. WEWE ULIYE nje ya nchi na kujidai unajuwa sheria za kazi na kuahidi ukija utasaidiwa watanzania wenzako, karibu, sana. Ni rahisi kukaa kwenye Keyboard na kuandika unavyojisikia. Hata hao waajiri wanazijuwa hizo sheria kazi wanachokifanya ni profit maximazation, UKIkomaa sana wanakupiga chini.

Ushauri wa pili ni kwamba, kuna kazi kibao ambazo wanafanya kazi muda mrefu zaidi ya hayo masaa yako, wala isikupe shida na kujiona kuwa hujuwi haki zako. Ukiwaza hivo utaumia sana na utaishia kupata msongo wa mawazo. Kwa kawaida ukiona kazi hailipi unapiga kazi kwa malengo, miezi kadhaa unakusanya mtaji unawekeza na wewe, kisha unapiga chini kazi huku ukitafuta nyingine wakati ukijuwa kuna sehemu inakupa mkate wa kila siku. Ukiacha kazi huku huna pa kukupatia mkate wakila siku UTAUMIA.

Jiulize kwa nini ROONEY wa man U anavuta 220pauni kwa wiki, huku WERBECK akivuta 50pauni kwa wiki, kwa nini yeye asidai akalingana na Rooney? Unataka kuniambia Welbeckck Hajuwi haki zake? Mkataba wako na makubaliano ndo msingi wa yote. Chapa mzigo siku ukipata panapokufaa ndo uondoke na si kuanza kulalamika lalamika. CHANGANYA NA ZA KWAKO PIA.
mkuu kungekuwa na uwezekano wa kukusanya mtaji mbona ningekomaa, hamna kitu na jamaa wanaonekana hawako sirias, hivi maisha haya mtu anakupa meals na trasport 30,000 kwa mwezi, bado tuseme yuko siriaz?
 
Kweli ulichosema sema ugumu wa kupata ajira kisiwe kigezo cha kunyayasika maana sheria na taratibu zipo wazi.Waajiri wengi wanatumia vibaya uchache wa ajira katika kuwatumikisha watu.
Na hii ndiyo inaumiza wengi, nina shida lakini siyo za kunifanya niwe mtumwa
 
Fanya kazi huku unatafuta kazi nyingine kwa siri, ukishapata kazi nyingine wapige chini ndani ya masaa 24 ( wakiwa hawajajiandaa kutafuta mtu wa kukupokea). Hii ndo fundisho kwa muajiri asiyezingatia labor laws.
Wakuu mimi ni mgeni katika masuala ya ajira. Nimegraduate mwaka huu pale UDSM, na nimepata kazi wiki mbili zilizopita katika kampun moja pale Posta. Hawa jamaa wanataka nifike kazin saa moja asubuh na niondoke saa 12. Kulingana na eneo ninaloishi nalazimika kuamka saa 11 na kurudi nyumban saa 2 mpaka 3 usiku<MBEZI>. Pia wanafungua ofis mpaka jumapili, kinachosikitisha hakuna hata overtime pamoja kutoa mshahara kiduchu. Hivi wengine ndivyo mnavyofanya kazi hivi? Naomba ushaur katika hili.
 
Hakikisha unakeep record za masaa yote uliyofanya kazi, hii itakusaidia kumshitaki mwajiri wako vizuri tu, tena utalipwa usiwe na wasiwasi, nishawahi kuhusika kwenye conflict ya malipo ila nikikuwa upande wa mwajiri lol, anyway cha muhimu ni kukeep records zote ndo kilichotusaidia kuonyesha kuwa jamaa alikuwa mzushi.
Mtaenda kwenye usuluhisho, mwajiri akibanwa pale lazima akubali kusettle kabla ya kwenda mahakamani, maana mahakamani itakula kwake.

Usijali kuhusu mkataba, hauwezi ukasign makataba ambao unakunyima haki zako kisheria, huo makataba utakuwa void.
 
HTML:
Pole sana ndugu.

Sikubaliani na mjumbe anayesema unapimwa. Unapimwa kufanya nini? Kutembea usiku, kazi bila mapumziko, malipo kiduchu ili kukupa msongo wa mawazo? Hiyo ni kampuni ya aina yake. Mimi nakushauri uendelee kutafuta kazi. Hapo watakuharibu ukiwa bado mchanga katika duru za ajira matokeo yake uchukie kazi na kuanza udanganyifu kama sehemu zingine za kazi tunazosikia. Hawajui kwamba wanavyokufanya wanakupunguzia uwezo wako wa kuzalisha na kujituma? Mimi sijaona. Tafuta kazi kwingine ila usiache kabla hujapata. Uwe makini na kazi. Usirumbane nao wala kukosa uadilifu. Mungu atakupa kazi nyingine kwa mwajiri atakethamini utu wako, elimu yako na uwepo wako katika ofisi yake.

naunga mkono hoja mkuu hapo juu,
lakini pia mwisho wa siku ni muhimu kujiandaa kujiajiri mwenyewe baada ya miaka kadhaa (let's say 5, 10 etc) ili yanapotokea matatizo kama haya kazini basi unaweza kustep out na kuangalia mambo yako mwenyewe. Kiukweli kila mwajiri yupo after profit so unaweza kupata kazi sehemu nyingine ya private na ikawa mbaya zaidi ya hapo! tukomae wabongo wenzangu kwa miaka kadhaa kazini ili kukusanya capital then kuanzisha vitega uchumi vyetu/firms, cos, busines ndogondogo etc baada ya kufanya kazi kwa muda fulani, la sivo tutaendelea kuajiriwa na hawa wahindi na wakenya wanaotunyonya bila huruma!
nawakilisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom