Ushauri katika d.3 ya points 14 (HGL).

Mc Chijui

Member
Mar 10, 2012
30
1
Jamani wadau naombeni ushauri wenu. Mdogo wangu amepata division 3 ya points 14 ktk combination ya HGL. Sasa hajui kama anaweza kupata chuo. WanaJF naomba mnisaidie nimshauri afanye applying vyuo gani na kozi zipi ktk vyuo ambazo pia anaweza pata mkopo. Matokeo yake ni History-D, Geography-E, English-E. Aksanteni kwa ushauri wenu.
 
chuo atapata ila kwa ishu ya mkopo lazima achague education.

naomaba ushauri kwa huyu mwenye 3 pts 15 .chem E, BIOS S NA Geog D...JE atapata chuo na mkopo? nashukuru
 
chuo atapata ila kwa ishu ya mkopo lazima achague education.

naomaba ushauri kwa huyu mwenye 3 pts 15 .chem E, BIOS S NA Geog D...JE atapata chuo na mkopo? nashukuru
utaka asome kozi gani we orodhesha hapa tutakupa vigezo vya hizo kozi by the way naombeni msome bandiko langu(https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...anaotarajia-kuingia-mavyuoni-someni-hapa.html )au pitieni loan board website HESLB MTAONA TANGAZO LA GUIDELINES ZA WAOMBA MKOPO WA MWAKA HUU SOMENI KWA MAKINI MTAELEWA TU..
 
Ila kwa ufaulu wa mwaka huu competition itakuwa kubwa Sana ....hapo afocus diplomas tu
 
Back
Top Bottom