Atafute shule za private ziko nyingi sana siku hizi. Otherwise kama anataka kuja india kusoma pre university awasiliane na mimi +91 9731595412. India shule ziko nyingi na nzuri
Private unahitaji c tatu ye ana mbili..kwa hizo mark huko india anapata pre university?Ni miaka mingapi pre university?Gharama?
Ok ur noz are noted..but may be u shud pm me ur skype id,its easier n economic friendly on skype
Wadau naomba maoni yenu,kuna dogo anahitaji ushauri..kapata div 4 ya 26,
Ana C ya basic maths na C ya chemistry the rest ni D!
What shud his next move be?
mwingine ana div. 3 point 24 na ana b/maths C, Biology C, Civics C, na kiswahili C, the rest ana D, anaweza akachaguliwa 4m 5 serikalini kweli?
mfano PCM ana DDC, PCB ana DDC , EGM ana DC na PGM ana DDC
huyu kama ni msichana ataenda PGM lakini PCM ni ngumu kila mtu mwenye ufalu mzuri anataka hiyo.atapata tu watu hawajafaulu kivile,ila anaweza kupata second selection hapo ndipo kuna tatizo.