Ushauri juu ya moderm

rmb

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
223
6
Heshima yenu wataalamu!
Nataka kununua moderm huku niliko (siyo Tanzania) kwa ajili ya matumizi ya matumizi nikirudi huko nyumbani(sitaki kuikosa jf), ila tatizo langu ni kwamba sina hakika kama mitandao ya hapo nyumbani itazitambua au itazikataa? nilikuwa nafuatilia mjadala wa ku-unlock moderm za huawei, nikashawishika kuzitafuta hizo moderm maana naona wengi ndo wanatumia sasa sijui wataalamu mnaniambiaje?
 
Kwanza, sahihisha kidogo hicho kifaa cha kukuunganisha kwenye "Internet" kinaitwa MODEM...

Pili, hapa Bongo MODEM zipo tele, just save $100 utapata kutoka mtandao wowote ...

Tatu, Unaweza kuja nayo, na ukifika hapa mjini wataalamu watakusaidia ku-unlock assuming kama ipo locked

Karibu tena Nyumbani
 
Thanks mkuu kwa ushauri!
 
Heshima yenu wataalamu!
Nataka kununua moderm huku niliko (siyo Tanzania) kwa ajili ya matumizi ya matumizi nikirudi huko nyumbani(sitaki kuikosa jf), ila tatizo langu ni kwamba sina hakika kama mitandao ya hapo nyumbani itazitambua au itazikataa? nilikuwa nafuatilia mjadala wa ku-unlock moderm za huawei, nikashawishika kuzitafuta hizo moderm maana naona wengi ndo wanatumia sasa sijui wataalamu mnaniambiaje?

Sio Lazima iwe huwawei Nunua Modem brand yeyote ya GSM iliyo unlocked. Ina maana ukija bongo utatumia kwenye mitandao wowote.

Cha muhimu hakisha specification za modem ni nzuri hasa uwezo wa kusafirisha data.

usije ukanunua modem ikawa bootleneck . kwamba kampuni ya simu inaruhsu upload/dowload kubwa zaidi kuliko modem yako. Bora modem iwe na uwezo mkubwa kuliko capacity inayoruhusiwa na provider.
 
Hicho ndo kilichokuwa kinanisumbua sema jinsi ya kujieleza kitaalamu ndo matatizo, nimeona 21Mbps 3G Modem nikawa sielewi kama itasoma au haitasoma maana nyingi watu wanazoulizia ni 3.6 na 7.2Mbps. Thanks
 
Heshima yenu wataalamu!
Nataka kununua moderm huku niliko (siyo Tanzania) kwa ajili ya matumizi ya matumizi nikirudi huko nyumbani(sitaki kuikosa jf), ila tatizo langu ni kwamba sina hakika kama mitandao ya hapo nyumbani itazitambua au itazikataa? nilikuwa nafuatilia mjadala wa ku-unlock moderm za huawei, nikashawishika kuzitafuta hizo moderm maana naona wengi ndo wanatumia sasa sijui wataalamu mnaniambiaje?

Usinunue modem yenye kutumia teknolojia kama ya sasatel yaani evado na something like cdma, hazichakachuliki
 
Ntajuaje kirahisi kama hazitumii hiyo technologia? nisaidie kunipa majina (brand name) ya ambazo zinachakachulika
 
mkuu karibu om naujapo ucfikiri kitekenojia tupo nyuma hapana mkuu tuko sambamba we chukua modem yoyote kali ukipataambazo azijalokiwa powa kama imelokiwa pia ucjali akunakinachoshindikana bongo
 
Mkuu bahati mbaya natumia simu siwezi kukupa link, lakini angalia kunapost imepostiwa leo hii katika jukwaa hili inasema msaada jinsi ya "how to unlock evdo brodband usb modem ya sasatel" ifungue kisha utona specification zake.
Hiyo haichakachuliki
 
Drphone sina fikira hiyo ni kutaka kujua tu ndugu yangu hii technolojia na mkuu Paulss nimekusoma ngoja niitafute
 
EVdo Modems zinaweza kuwa programmed and do work with another CDMA network inachotakiwa kuwa na Wright software,kuwa ESN ya Modem usika na wright A-Key.
Nnasema haya kwani nimeshawai ku unlock TTCL CDMA modem na kuifanya I work na Zantel network.
Nilitumia qualcomm PST software.( Qualcomm Product Support Tools)
Most CDMA phones and Modem use Qualcom CPU iwe Huawei,ZTE,Motorola etc.
 
Nimekusoma mkuu, kazi imebaki kwangu
 
Mkuu hebu tupe maujuzi zaidi basi jinsi ya kuchakachua modem za sasatel.
Imeulizwa mara nyingi sana humu lakini hakuna majibu yaliyopatikana zaidi.
Please tupe step by step namna ya kufanya.
Nawasilisha
 
EVdo Modems zinaweza kuwa programmed and do work with another CDMA network inachotakiwa kuwa na Wright software,kuwa ESN ya Modem usika na wright A-Key.
Nnasema haya kwani nimeshawai ku unlock TTCL CDMA modem na kuifanya I work na Zantel network.
Nilitumia qualcomm PST software.( Qualcomm Product Support Tools)
Most CDMA phones and Modem use Qualcom CPU iwe Huawei,ZTE,Motorola etc.

safi sana mkuu ni kweli zinachakachulika asa hizi za ttcl mobile unafungua unatumia line zingine kama zantel nk kuna hizi huawei ec226, cdma2000 ev-do rev.a hizi pia zinawezekana unaiflash unaingiza fimware ingine kisha unapeleka zantel wakakuprogramia wanatumia ESN hapo ndo panaishu kidogo kwani ESN ndio inadata zote kama uliiba data zote watazipata
 
Mkuu chipikizi na drphone rudini kwenye post ya "how to unlock evdo broadband usb modem ya sasatel" mtupe maujuzi ya namna ya kuichakachua hii kitu, kama mlivyofanya kwa modem za voda airtel na zantel
 
Back
Top Bottom