Ushauri juu ya marumaru (tiles )

KATIKA MTIZAMO WA KUDUMU MUDA MREFU, ni zipi zinafaa katika makundi haya
1) zile zenye muonekano kama kioo
2) zile zinazo teleza
3) zile zisizo teleza
 
Huu uzi hata me nimeusave,manake nimeelewa vitu vingi sana,tunaibiwa jaman acheni tu.
 
Naomba kuuliza bei za mafundi kwa ajili ya tiles ina range sh ngapi per square metre?na kama kuna mtu ananamba ya fundi mzuri wa tiles naomba msaada plz
 
Wadau,
Kuna duka lingine ukiacha GoodOne ambalo linauza grade 1 tiles kutoka China?
 
Hao monalisa wanapatikana wapi ili nami niende huko mkuu pls nielekeze kidogo?
kama unataka za china ya nini uende kariakoo? Nenda monalisa, utanunua kwa bei ya jumla, chagua unazotaka kutokana na mfuko wako then utaenda kufuata mzigo wako godauni. Maana hata hao wa kariakoo wao wanachukua huko huko. Kuhusu za spain aina uzoefu nazo mzee mi nimezoea za kichina
 
Mkuu fundi mzuri sana huyu hapa 0714993978,anapatikana dar maeneo ya tabata.
Naomba kuuliza bei za mafundi kwa ajili ya tiles ina range sh ngapi per square metre?na kama kuna mtu ananamba ya fundi mzuri wa tiles naomba msaada plz
 
Duh! Huu uzi kumbe bado unaendelea?

Ushauri: Ukinunua hakikisha unaweka contigency ya kama asilimia 10% kwa ajili ya "maintenance" kwani mara nyingi aina za tiles zinabadilika badilika
 
Hawa Monalisa ni wezi hasa ktk kodi usipokuwa makini hupati risiti, nilikwenda pale kwa ajili ya kununua furnitures nikapewa mtu wa kwenda naye huko kwenye godown yao chang'ombe kwani zilikuwa nyingi kiasi, nikapewa mzigo bila risiti tulisumbuana mpaka tukarudi tena show room kwao kwa ajili ya risiti.
I ll make followup ifz the game still exist
 
Mimi siku izi ata nikinunua kitu cha 100mil sidai electronic receipt bse najua iyo ela inaenda liwa na wajanja tuu kuanzia mishahara mikubwa mpaka posho za kila leo!
Mpaka TRA wakianza kuwa serious na ukusanyaji kodi ndo labda ntakuwa na moyo.
Top ten tax payers hakuna mgodi ata mmoja?Yaani Tigo na Konyagi wanalipa kodi zaidi ya wachimba zahabu!

Vipi siku hizi unadai electronic receipt ?
 
Wakuu, nami nimefikia hatua hii, naiombeni update za bei mpya na venue mpya ya tiles jijini Dar.
 
Back
Top Bottom