Mkuu, kama tiles zinakupasua kichwa, tumia "wood flooring". ni bora na rahisi kuliko hizo tiles na zinapatikana hapo DSM.
tatizo la wood flooring (parquet) kwa uwanda wa pwani ni mchanga ..... mchanga husugua na kutengeneza scratches kwenye mbao hizi ..... unless unafanya treatenent ya clear coat mara kwa mara na sanding ya mbao mara kwa mara