Ushauri juu ya marumaru (tiles )

Nyati

JF-Expert Member
Mar 6, 2009
2,489
1,814
Wakuu HERI YA MWAKA MPYA.

Nimeelekezwa kuwa kuna tiles za china ambazo ni Grade1 ambazo ni nzuri na zinapatikana kwa bei nafuu maeneo ya Kariakoo. Hivyo naomba mwenye details juu ya hoja hii ambapo nimeelezwa kuwa kama unanunua zaidi ya SQ metre 100 wanakuuzia kwa bei ya jumla ambayo ni nafuu kidogo.

Hivyo naomba msaada kwa wale waliokwisha kutumia hasa juu ya ubora, aina (nimeambiwa kuna Granite ama kitu kama hicho)na bei kwani kwa tiles za Spain nimechemsha SQ1 53,000/= nimeshindwa. Pia ushauri mwingine wowote juu ya hili nitashukuru

Natanguliza shukrani
 
Nyati,
Kwa uelewa wangu..Granite tiles ni aghali kwa kuwa ni cut and polished granite ( a rock). Mara nyingi tiles za Spain ni cut and polished rock material wakati za china ni systhetic au kwa maana nyingine ni udongo uliochomwa na kuwekewa marembo. Udongo wa namna hii ni kama ule wa Kisarawe Kaolin mine. Hivyo angalia mfuko wako unakuruhusu vipi
 
kama unataka za china ya nini uende kariakoo? Nenda monalisa, utanunua kwa bei ya jumla, chagua unazotaka kutokana na mfuko wako then utaenda kufuata mzigo wako godauni. Maana hata hao wa kariakoo wao wanachukua huko huko.

Kuhusu za spain aina uzoefu nazo mzee mi nimezoea za kichina
 
AKHSANTENI SANA MKUU amoja na Mzee wa usafi. Hivi Monalisa ni wapi. Naomba maelekezo jinsi ya kufika.
 
kama unataka za china ya nini uende kariakoo? Nenda monalisa, utanunua kwa bei ya jumla, chagua unazotaka kutokana na mfuko wako then utaenda kufuata mzigo wako godauni. Maana hata hao wa kariakoo wao wanachukua huko huko.

Kuhusu za spain aina uzoefu nazo mzee mi nimezoea za kichina

Mkuu ulipotaja Monalisa kuna kitu umenikumbusha. Hivi hawa jamaa wako katika kundi gani? Ni wafanyabiashara wa kawaida au ni wawekezaji? Je wawekezaji wanapashwa kuweka hesabu sahihi za transaction zao? Nauliza hivyo kwa kuwa nilielekezwa kwenda hapo Monalisa na jamaa yangu kwenda kununua board fulani kwa ajili ya ujenzi. Tulikubaliana bei na nililipa pale. Walinipa kikaratasi kimeandikwa kwa lugha ya kichina na kunielekeza kwenda Chang'ombe kwenye godown lao kupakia mzigo. Nilipofika Godown, niliwaonyesha hicho kikaratasi na wao walinipa huo mzigo. Delivery note waliyoniandikia pale godown, ilionyesha kwamba nimenunua huo mzigo katika duka fulani la hardware kariakoo. Pesa nilizolipa karibu 15M sikupewa receipt wala nini.

Kwa mtindo huu hawa jamaa si wanakwepa ushuru? Hata VAT hawalipi kwani malipo yangu hayakuwa na receipt.

Je kuna mwingine hapa JF aliyewahi kukutana na ujanja wa hawa wachina?

Tiba
 
Nenda Hugo Tiles wapo Nyerere Road ilipokuwa ofisi ya exide those days. Next to Tansoma Hotel. Hapa nimewahi nunua tiles kwajili ya ujenzi wa kibanda cha wazazi kijijini, so far niko happy na tiles zao. Kwanza ubora ni mzuri, gharama ni ya kati, hazitelezi kama za kina huhaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
mkuu monalisa wapo opposite na shoprite ya kamata!kuhusu bizz za wachina ndio zao hizo!risit hawatoi wala nn!nshawah kumkomalia mchina kariakoo atoe risit ya tra,bahat yake umeme ulikua umekatika!wasanii kweli yanh
 
ni kweli wanatoa risiti/karatasi/delivery note za kichina. Ila sikuwahi kuzichunguza. Subiri niitafute niicheki tena.

Mkuu ulipotaja Monalisa kuna kitu umenikumbusha. Hivi hawa jamaa wako katika kundi gani? Ni wafanyabiashara wa kawaida au ni wawekezaji? Je wawekezaji wanapashwa kuweka hesabu sahihi za transaction zao? Nauliza hivyo kwa kuwa nilielekezwa kwenda hapo Monalisa na jamaa yangu kwenda kununua board fulani kwa ajili ya ujenzi. Tulikubaliana bei na nililipa pale. Walinipa kikaratasi kimeandikwa kwa lugha ya kichina na kunielekeza kwenda Chang'ombe kwenye godown lao kupakia mzigo. Nilipofika Godown, niliwaonyesha hicho kikaratasi na wao walinipa huo mzigo. Delivery note waliyoniandikia pale godown, ilionyesha kwamba nimenunua huo mzigo katika duka fulani la hardware kariakoo. Pesa nilizolipa karibu 15M sikupewa receipt wala nini.

Kwa mtindo huu hawa jamaa si wanakwepa ushuru? Hata VAT hawalipi kwani malipo yangu hayakuwa na receipt.

Je kuna mwingine hapa JF aliyewahi kukutana na ujanja wa hawa wachina?

Tiba
 
Wakuu HERI YA MWAKA MPYA.

Nimeelekezwa kuwa kuna tiles za china ambazo ni Grade1 ambazo ni nzuri na zinapatikana kwa bei nafuu maeneo ya Kariakoo. Hivyo naomba mwenye details juu ya hoja hii ambapo nimeelezwa kuwa kama unanunua zaidi ya SQ metre 100 wanakuuzia kwa bei ya jumla ambayo ni nafuu kidogo.

Hivyo naomba msaada kwa wale waliokwisha kutumia hasa juu ya ubora, aina (nimeambiwa kuna Granite ama kitu kama hicho)na bei kwani kwa tiles za Spain nimechemsha SQ1 53,000/= nimeshindwa. Pia ushauri mwingine wowote juu ya hili nitashukuru

Natanguliza shukrani

Unaonekana una test na traditional, execuisite structures, that's good. Have u tried tanga stones? Hizi ziko za designs nyingi zikiwemo hata za floor, ukizitumia na kuzipa polish yake vizuri, they look so nice, na bei zake ni nzuri na affordable, kwasababu fuso ya around 12tons wana deliver mpaka site kwa 1.1m ujazo ambao utafanyia kazi kubwa sana.
 
tanga stones? Ndo naisikia kwako. Tuelezee utufumbue macho

Thanks Mkuu, if possible ni PM unipe details zaid hasa juu ya availability hapa Dar na fundi kama unamfahamu

Thanks
 
Hongera kaka,unajenga na maisha haya magumu??kweli tumetofautiana...mm kula tu inaelekea kunishinda
 
Yale mawe yanayouzwa barabarani ndiyo yanaitwa hivyo.

Ila leo umenipa idea mpya yale mawe yakipigwa polish yanakuwa safi sana

Jamani tuelewesheni! Kuyapiga polish hayo ma-Tanga stones si sawa na mawe hayohayo kuwa POLISHED. To polish the stones means they have to be cut into desired size(s) and sand them (piga msasa wa nguvu) prefarably kiwandani. Sasa gharama ya kuifanya Tanga stone tuionayo imepangwa barabarani igeuke granite, si ndogo. Ila tu kama uwezo upo waweza fanya hivyo. Ila usije zinunua kisha uzipige polish kama zilivyo, hutazifurahia.
 
Unaonekana una test na traditional, execuisite structures, that's good. Have u tried tanga stones? Hizi ziko za designs nyingi zikiwemo hata za floor, ukizitumia na kuzipa polish yake vizuri, they look so nice, na bei zake ni nzuri na affordable, kwasababu fuso ya around 12tons wana deliver mpaka site kwa 1.1m ujazo ambao utafanyia kazi kubwa sana.

Tupe namba ya simu ya wauzaji ili tuwasiliane nao.
 
Back
Top Bottom