Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri juu ya E-book readers

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Brooklyn, Jun 8, 2011.

  1. Brooklyn

    Brooklyn JF-Expert Member

    #1
    Jun 8, 2011
    Joined: Mar 17, 2009
    Messages: 1,452
    Likes Received: 23
    Trophy Points: 135
    Wakuu naombeni msaada!

    Nataka kununua E-book reader, nimezunguka maduka kadhaa hapa Dar lakini nimekosa. Option niliyonayo sasa ni kuagiza. Kwa wazoefu wa E-book readers, je ni ipi katika ya zilizopo sokoni kwa sasa ambayo ni nzuri na bei zake. Ningependelea ambayo ni touch screen, portable, memory kubwa na yenye uwezo wa kutunza power kwa muda mrefu.

    Nawasilisha!
     
  2. Dingswayo

    Dingswayo JF-Expert Member

    #2
    Jun 8, 2011
    Joined: May 26, 2009
    Messages: 3,974
    Likes Received: 13
    Trophy Points: 145
    Mimi natumia Amazon Kindle 3G ambayo unaweza kudownload vitabu kupitia wifi au kutumia internet ya 3G ambayo ni bure. Vilevile unaweza kudownload pia e books kupitia computer yako kwa kutumia usb.
     
  3. m

    mja JF-Expert Member

    #3
    Jun 8, 2011
    Joined: Nov 8, 2010
    Messages: 311
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    check hiyo link, ni wewe tu

    http://ebook-reader-review.toptenreviews.com/

    http://tablets-review.toptenreviews.com
     
  4. Kang

    Kang JF-Expert Member

    #4
    Jun 8, 2011
    Joined: Jun 24, 2008
    Messages: 4,698
    Likes Received: 204
    Trophy Points: 160
  5. Brooklyn

    Brooklyn JF-Expert Member

    #5
    Jun 8, 2011
    Joined: Mar 17, 2009
    Messages: 1,452
    Likes Received: 23
    Trophy Points: 135
    Thanks wakuu, je maduka gani hapa Dar zinapatikana?
     
  6. Brooklyn

    Brooklyn JF-Expert Member

    #6
    Jun 8, 2011
    Joined: Mar 17, 2009
    Messages: 1,452
    Likes Received: 23
    Trophy Points: 135
    Thanks wakuu, je maduka gani hapa Dar zinapatikana?
     
  7. Millah

    Millah JF-Expert Member

    #7
    Jun 9, 2011
    Joined: Jun 3, 2011
    Messages: 411
    Likes Received: 1
    Trophy Points: 0
    Kwa nini ununue E book reader, mimi ningekushauri ununue Tablet badala ya E book kama budget inaruhusu, kwa sababu E Book ina mambo machache ukiachilia kusoma vitabu wakati tablet utasoma vitabu na kufanya mambo mengi, utakachokikosa ni kimoja tu ambacho ni teknolojia inayotumika kwenye screen za ebook, kwamba haina mwanga (back light) basi. Ambacho mimi sioni kama ni muhimu sana. Fikiria sana uamuzi wako, la ikiwa unataka kusoma vitabu tu na mengine si muhimu kwako basi endelea, kura yangu ni Kindle
     
Loading...