Ushauri juu ya biashara ya maji ya viroba

kdany

Senior Member
Jul 20, 2012
149
25
wakuu habari,siku zote naamini jf n sehemu yangu pekee ambapo naweza pata ushauri kwa asilimia 95%,naomba km hujui kuchangia kwa staha,nidhamu basi pita tu hapa,kuna biashara nimebuni ambayo kwangu naamini inaweza kuniletea mwanga wa maisha kwa kiasi fulani,biashara yenyewe ni ya kuuza maji ya viroba yaliyochemshwa kwa Tsh.mia(100Tsh)MAENEO YA MABIBO sokoni na MANZESE,naomba ushauri juu ya biashara hii,nini changamoto zake,mahitaji muhimu km DELL(ICE BOX) kubwa yenye uwezo wa kubeba pakti za maji km 300 hivi kwa mara moja inatoka kwa sh.ngapi,na ushauri mwngne wowote wa ziada,natanguliza shukrani zangu kwenu na mbarikiwe sana.Asanteni.
 
Back
Top Bottom