Ushauri juu ya bati za kuezekea nyumba

Albedo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
5,559
1,452
Wakuu Salama?

Naomba mwenye ujuzi wa Bati zipi hasa zinafaa kuezekea Nyumba. Mimi niko Mwanza nataka kuezeka Nyumba sasa watu wengi wamenishauri juu ya Mabati ya Alaf, wengine wamenitajia mabati hata majina yao siyakumbuki. Kimsingi nataka bati zile ambazo zinafanana na zile wanaziita Vigae vya South ila natatizika kwa sababu kuna Version nyingi sana. Ushauri wa Haraka unahitajika maana pesa za Mkopo hazikai

Natanguliza Shukrani
 
Bati nzuri na Decra Tiles. Alaf wanatengeneza mabati ya rangi yenye profile tofauti. Hizio zenye profile ya vigae inaitwa versatile. Profile nyingine ni IT4, IT5, na Maxcover. Inabidi kuwa muangalifu na mabati ya Alaf. Kuna rangi ambazo zinapauka.
 
ok...hivi inamaana tangu unatengeneza design ya nyumba yako hukujua ni aina gani ya bati/kigae na aina gani ya rangi unayoitumia mpaka leo unatuomba ushauri???...am worried hukuwashirikisha wataalamu hasa ARCHITECTS ili wakupe hizo specifications na hata perspectives za hiyo nyumba yako kabla haijaanza kujengwa..anyway NEXT TIME USINYWE DAWA KABLA HUJAMWONA DAKTARI AKUSHAURI NA KUKUPATIA TIBA/DAWA SAHIHI KWA UGONJWA WAKO... need i say more?
 
Mkuu nyumba zetu za kimaskini,nyumba ya kujenga miaka kumi si na fashion inabadilika kila siku? utakuta mtu anaplan ya bati fulani lakini inatoka design mpya ambayo inakuvutia si unabadilisha tu mkuu

Muuliza swali nenda Kiboko Kuna Bati nzuri, hazichuji kabisa, Alaf wamebaki na jina tu, lakini kwa misumari nunua ya Alaf ni mizuri zaidi
 
Bati nzuri na Decra Tiles. Alaf wanatengeneza mabati ya rangi yenye profile tofauti. Hizio zenye profile ya vigae inaitwa versatile. Profile nyingine ni IT4, IT5, na Maxcover. Inabidi kuwa muangalifu na mabati ya Alaf. Kuna rangi ambazo zinapauka.

Asante sana Heri kwa ushauri wako Ukizingatia hizi Nyumba zetu tunazojenga tunatarajia Mabati yaendelee kung'ara for some years kwa sababu uwezo wa ku renovate ni mdogo. Ni rangi gani za Mabati yanayayopauka kwa Mfano mimi napendelea Maruni. Vile vile kuna Mtu amenishauri mabati mengine ya Ando tiles (Roofing ila siyafahamu vyema). Vipi kuhusu hayo Versatiles?

Asante Ndugu
 
Wakuu Salama?Naomba mwenye ujuzi wa Bati zipi hasa zinafaa kuezekea Nyumba. Mimi niko Mwanza nataka kuezeka Nyumba sasa watu wengi wamenishauri juu ya Mabati ya Alaf, wengine wamenitajia mabati hata majina yao siyakumbuki. Kimsingi nataka bati zile ambazo zinafanana na zile wanaziita Vigae vya South ila natatizika kwa sababu kuna Version nyingi sana. Ushauri wa Haraka unahitajika maana pesa za Mkopo hazikaiNatanguliza Shukrani
sasa mkuu,hayo masuala ya pesa za mkopo nani kakuuliza,au ndo masifa yenyewe hayo ka ya chama cha magamba?
 
By somebody!
Akuna swali la kipuuzi ila majibu ya kipuuzi yapo who cares!
 
Last edited by a moderator:
Wakuu Salama?

Naomba mwenye ujuzi wa Bati zipi hasa zinafaa kuezekea Nyumba. Mimi niko Mwanza nataka kuezeka Nyumba sasa watu wengi wamenishauri juu ya Mabati ya Alaf, wengine wamenitajia mabati hata majina yao siyakumbuki. Kimsingi nataka bati zile ambazo zinafanana na zile wanaziita Vigae vya South ila natatizika kwa sababu kuna Version nyingi sana. Ushauri wa Haraka unahitajika maana pesa za Mkopo hazikai

Natanguliza Shukrani
Kaka ulishapaua au ulighairi?
 
Mkuu mbao unazo mi ni msambazaji itakufanyia kwa bei poa npo Mwanza hapo kwa sasa na mzigo upo....ushauri wa mabati pia utaupata kwa wataalam wangu hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom