Ushauri: Jina Jipya

Jiite kati ya haya
powercef
au zidovudin, afu lete hiyo vocha na gonga like, najua wote waliopita hakuna aliyetaja haya
 
Nina mpango wa kubadili ID yangu ya Mwita25 kwasababu imekaa kishamba sana. Kwahiyo, ukiwa mpiganaji mwenzangu, naomba ushauri na maoni yako juu ya jina jipya linalofaa. Mchango wako ni muhimu sana na mshindi atapata kavocha ka buku 10 kwa njia ya PM kama shukrani yangu. Vigezo na masharti havitazingatiwa, Kazi Kwako mwanakwetu. Haya twendeeeeeeeeee

Naomba unichague mimi. Mimi nimeshiriki kuchagua na kupendekeza majina ya Magazeti mbalimbali.. Chukua hili ama haya.. Percent25, 25Object,Object 25, king25, Mara25!
 
Nina mpango wa kubadili ID yangu ya Mwita25 kwasababu imekaa kishamba sana. Kwahiyo, ukiwa mpiganaji mwenzangu, naomba ushauri na maoni yako juu ya jina jipya linalofaa. Mchango wako ni muhimu sana na mshindi atapata kavocha ka buku 10 kwa njia ya PM kama shukrani yangu. Vigezo na masharti havitazingatiwa, Kazi Kwako mwanakwetu. Haya twendeeeeeeeeee

Jiite "Kitu Kipyaa"
 
Mjini kuzuri,jina la kishamba linatupwa kapuni kisha unabalisha namna ya kutembea (unaanza kudunda)
 
'Mkulu wa nchito'linakufaa,kutokana na umaarufu wako jf.means mkuu wa kaya kwa lugha ya kwao na ajiitaye mtoto wa mkulima
 
anti-chadema25,vivaccm25,mtz25,mtetezi25. Yako mengi kwa kweli chagua 1 kati ya hayo mengi. Nalog off
 
Majina yote uliyopewa hakuna hata moja ulilolipenda?.
 
Asanteni sana wote mliotoa mchango wenu wa majina mbalimbali. Pia niwashukuru hata wale wavuta bangi ambao wanaingiza utani kwenye swali muhimu kama hili. Michango ya watu watatu ndiyo niliyoichukua na wahusika wataarifiwa juu ya vocha zao.
 
Back
Top Bottom