Ushauri: Form six kwa matokeo yangu. Tree point 16

ngarambe

Senior Member
Apr 15, 2012
100
14
Nimepata three ya 16 hist E, kis E, na engl S. Gs S. Naomba ushauri kama naweza kupata chuo au la
 
Kwa matokeo haya nakupa pole kwani sidhani kama lilikuwa lengo lako.
Chuo cha ualimu utapata
OTIS
 
Labda ujilipie ada mwenyewe chuo chochote au uende ualimu utapata haraka tu!!
 
Afu matatizo mengine mnajitakiaga tu, asa we ulikuwa HKL afu umepata hiyo unategemea nini? Nenda diploma ya uwalimu sasa.
 
Omba tumaini university, arusha university, st augustine au st john

Unaweza kupata nafasi huko maana hao ndio wanaobeba masalia, ila nakuomba usijaribu UDSM. utapoteza mwaka mwingine mtaani
 
Nimepata three ya 16 hist E, kis E, na engl S. Gs S. Naomba ushauri kama naweza kupata chuo au la

Nenda OPEN UNIVERSITY utapata Nafasi bila tabu tena utasoma degree usiwe na wasi wasi dogo au pia Diploma ya Records Management ila ujilipie. Kumbuka Open University ni ya kujilipia. Thanx.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom