Ushauri: External HDD

Endangered

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
922
228
Wakuu habari za jioni.Naombeni kufahamishwa brand gani ya external disk ni durable zaidi, na inapatikana around sh ngapi.
I once had a terabyte of Western Digital, lakini nadhani ikapata mtikisiko wa ubongo ikafa beyond recovery na data zangu za 994 gb.
Is there any experience out there, Shukran zangu zinatangulizwa.
 
tafuta hard disk zinaitwa solid state zipo posta. lkn ghali. ila haiharibiki hiyo kwasababu hata uliangusha n kama umeangusha kitu ambacho hakina maana
 
mimi nahisi cha muhimu ni matumizi yako tu..jinsi unavyoitake care na kuilinda..mimi nina seagate na western digital 1TB na zinafanya kazi poa tu na nimekaa nazo huu ni mwaka sasa na miezi kadhaa..
 
tafuta hard disk zinaitwa solid state zipo posta. lkn ghali. ila haiharibiki hiyo kwasababu hata uliangusha n kama umeangusha kitu ambacho hakina maana
Mkuu, kwa sasa SSD bado ni parefu kwangu. Hiyo mpaka nikae sana, though najua transfer rate ni kubwa mno Skillseeker.Mkuu nina WD mbili. 1TB each, na nimekuwa nazo toka 2010 mwishoni. Data transfering sana. Sasa nawaza a brand tofauti, kwa waliozipitia nione what is it like.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom