Nakubaliana na huyu hii amount kwa family house na rate ya kodi kwa mahali hapo. Lakini pia kama ni investment tu, huitaji baada ya muda kuja kuishi wewe mwenyewe, unaweza jenga apartments simple not ensuite, jaribu kuchora simple design unayotaka na uwaonyeshe wataalamu wa hapa bongo watakupa cost inayohitajika, au ushauri wa design nyingine, keeping in mind viwango vya kodi walivyokutajia hapo juu. Ila option ya ofisi sahau kwa hilo eneo lako halifai.kama wewe mwenyewe utasimamia hiyo project (ujenzi) katika kila process unaweza kujenga Nzumba nzuri (family house) na kutokana na hilo eneo unaweza kupata 1m kwa mwezi. kwa maaana hiyo fwedha yako inaweza kurudi baada ya miaka 10 na faida itafata baadae, na lazima ujue ndani ya hiyo miaka kumi lazima kutakuwa na renovations za hapa na pale,
,