ushatumia hiki kifaa?!!

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
nilijichangaga mpaka nikakinunua. Nilikua sitoki hom

533060_212891055506722_975913771_a.jpg
 
Daaaaaaaaah hiyo kitu bwana ilikuwa ina kula muda wangu sana
 
duh yaaan mie ilikuwa mpaka aibu, nakumbuka nlikuwa o level hak ya nan nlikuwa nakaa usiku prep.... nacheza game badala ya kusoma
umenkumbusha mbali sana, hahahaaaaaaa
 
hivi nitakipata wapi.....?hiki kifaa kilikuwa kinaniliwaza sana....hebu weka na nintendo......
 
Yah nintendo ilikua safi unaweza usitoke ndani siku hizi watoto ni mambo ya ps2 xbox yale ndo yalikua mambo
 
heEeeeeee umenikumbusha mbali sana mkuu tulikuwa tunapeana zamu na my brorth kupanga vitofali mpaka juu tulikua hatujui kuvivunja,tukipanda kwenye basi tukiwa tunaenda mkoani tunakua nacho nikucheza mpaka tunafika kizuri sana hiki ki game
 
Kilikuwa kinauzwa 1500 wakati wa udogo wangu... Sikuwahi hata kuota kukimiliki, kwa jinsi nilivyokuwa mtoto wa mbwa.
 
hizo zilikuwepo tatu home.....yani hadi beki 3 anacheza...mama akija anakuta ht kazi moja haijafanywa....full kugombaaa....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom