usharobaro kwenye msiba

Smarty

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
776
426
hivi nyie ndugu zetu mnapofiwa na jamaa yenu mnaamua kwenda kumuhifadhi mochwali kwa muda wa wiki mbili mpaka tatu ili mshone suti au mtengeneze t-shirt nakuweka picha ya mfiwa na mbaya zaidi mmeanza na ka mtindo ka kupeleka maiti saloon. Duh!! Mnaboa kwa kweli. Kaburi mnalijengea mnanunua na grovz kwa ajili ya kushikia tu udongo saa ya kuzika kisha kaburi linafunikwa kwa mfuniko??? huyo jamaa aliekufa anaenda kuoza tu kama mnampenda si mge endelea kuishi nae ndani kwenu?? Mazishi yenu yanaboa sana enyi wenye vijisenti uchwala.
 
pont yote iko hapo...mambo mengine wanaiga kwenye movies
 
hivi nyie ndugu zetu mnapofiwa na jamaa yenu mnaamua kwenda kumuhifadhi mochwali kwa muda wa wiki mbili mpaka tatu ili mshone suti au mtengeneze t-shirt nakuweka picha ya mfiwa na mbaya zaidi mmeanza na ka mtindo ka kupeleka maiti saloon. Duh!! Mnaboa kwa kweli. Kaburi mnalijengea mnanunua na grovz kwa ajili ya kushikia tu udongo saa ya kuzika kisha kaburi linafunikwa kwa mfuniko??? huyo jamaa aliekufa anaenda kuoza tu kama mnampenda si mge endelea kuishi nae ndani kwenu?? Mazishi yenu yanaboa sana enyi wenye vijisenti uchwala.

unaonekana kua na wivu wa utajiri wao.
 
Hii kijijini kwetu baada ya ndugu mmoja kufariki jijini Dar. Wanakijiji wakachimba kaburi, wakaanza kuusubiri mwili. Walisubiri kwa siku 5. Siku ya 6 mwili uliwasili wasindikizaji wote toka Dar wakiwa ndani ya suti nyeusi, wamependeza. Wanakijiji wakawaambia kumbe wenzetu mmefurahi mpaka mmeshona suti. Basi kwa furaha yenu tunaomba mumzike marehemu mliyemleta sisi tutakuwa tunalia. Nakwambia suti zilichafuka usipime na kajoto ka kule kwetu walikuwa wanakamua vitambaa vya kufutia jasho utadhani mvua inawanyeshea.
 
Dah huu wivu jamani dah, kwanini maiti isienziwe ? , utajibeba na wivu wako acha wenye nazo wawaenzi wanaowapenda!
 
Kuna sehemu maiti zinapelekwa saloon??
Hilo la kupelekwa saloon jipya kwangu, lakini inawezekana (kama vile ambavyo mbwa au paka hupelekwa saloon).
Kuhusu maiti ni kuwa mochwari nyengine zinakuwa na watu wao maalumu wa kupamba maiti.
 
Dah huu wivu jamani dah, kwanini maiti isienziwe ? , utajibeba na wivu wako acha wenye nazo wawaenzi wanaowapenda!
<br />
<br />
Mwili usio na roho ni sawa na mavumbi au majivu tu. Ambaye hajampokea Yesu hata maiti yake ipelekwa saloon au hata massaging huko ulaya ni bure, ni minofu na mifupa kama ya mbwa tu. Bali chenye thamani ni roho iliyookoka.
 
Lazima gap la aliye nacho na asiye nacho lionekane!!
<br />
<br />
Ndo wale wale wakipata msiba,wanapeleka matangazo sibuka fm,halafu habari ziwafikie....wa marekani,...wa masomoni russia...wa uholanzi,ukicheki redio yenyewe wala hairushi matangazo kwa satellite,full maushamba!
 
naomba kuifahamu hiyo saluni ya maiti ilipo... hilo litakua ajabu lingine la dunia..
 
hivi nyie ndugu zetu mnapofiwa na jamaa yenu mnaamua kwenda kumuhifadhi mochwali kwa muda wa wiki mbili mpaka tatu ili mshone suti au mtengeneze t-shirt nakuweka picha ya mfiwa na mbaya zaidi mmeanza na ka mtindo ka kupeleka maiti saloon. Duh!! Mnaboa kwa kweli. Kaburi mnalijengea mnanunua na grovz kwa ajili ya kushikia tu udongo saa ya kuzika kisha kaburi linafunikwa kwa mfuniko??? huyo jamaa aliekufa anaenda kuoza tu kama mnampenda si mge endelea kuishi nae ndani kwenu?? Mazishi yenu yanaboa sana enyi wenye vijisenti uchwala.

Halafu unakuta mazishi yanachukua muda mrefu unnecessarily
 
hivi nyie ndugu zetu mnapofiwa na jamaa yenu mnaamua kwenda kumuhifadhi mochwali kwa muda wa wiki mbili mpaka tatu ili mshone suti au mtengeneze t-shirt nakuweka picha ya mfiwa na mbaya zaidi mmeanza na ka mtindo ka kupeleka maiti saloon. Duh!! Mnaboa kwa kweli. Kaburi mnalijengea mnanunua na grovz kwa ajili ya kushikia tu udongo saa ya kuzika kisha kaburi linafunikwa kwa mfuniko??? huyo jamaa aliekufa anaenda kuoza tu kama mnampenda si mge endelea kuishi nae ndani kwenu?? Mazishi yenu yanaboa sana enyi wenye vijisenti uchwala.
Mdau nisaidie hapo nilipoweka blue kupeleka maiti saloon kuna ajabu gani, saloon si ni aina gari ambayo ni ya kawaida tu..sasa ulitaka maiti isafirishwe kwa mkokoteni?
 
Back
Top Bottom