USHAONA HILI? inapotokea mtu anaanza mada au kuchangia.....

Status
Not open for further replies.

Mtafiti1

JF-Expert Member
Mar 5, 2011
263
148
JF ina members na members,
kuna wengine wanajiona ni vinara, hawataki kuona wenzao wakiibukia.
Kuna members wako kushambulia tu na kuharibu mada za wengine
kuna members wanaojifanya " much-know" ....hawa daima hujifanya viranja na hawataki kuona wenzao wakifurahia majadiliano.
Kuna mmoja huyo ndio katia fora...... nadhani anajijua.JIREKEBISHE BI DADA! UNABOA SANA.KWA TAARIFA USHAKUWA GUMZO ILA WATU WANAKUSTAHI.
you suck!
 
Mtaje tumjue halafu tumchambe

Nnatamani nikutonye besti ila kimila, nitakuwa mbeya.Sitaki iwe hivyo.
Ukiona mwanajamvi mwenzio keshakuwa gumzo, ni bora umpe amber alert ajirekebisha lol
 
oppps, yamekuwa haya mara hii.

Yaani!
Mwanamke mwenzio akiwa "mada" ni bora umsaidie ajirekebishe aisee.
Angekuwa kwenye friends list yangu ninge m PM fasta. Lakini hayumo na sitathubutu!
 
Nnatamani nikutonye besti ila kimila, nitakuwa mbeya.Sitaki iwe hivyo.
Ukiona mwanajamvi mwenzio keshakuwa gumzo, ni bora umpe amber alert ajirekebisha lol

Muwashie taa nyekundu mwambie asiingie kwenye hizi anga atapotezwa vibaya
 
Arrogant & "overconfident" people may seek attention because they have the feeling that they deserve to be in the center of attention. Because they aren't mature enough they still think with their inner child's mentality which makes them believe that they are the center of the world.
 
Kwa kimila cha kwetu kumtaja mtu, kwa tuhuma na kisha usim'bainishe , ni lazima ungepigwa fine !.
Hapa kijiji kingekuwasha Mbuzi wasiopungua wa5 ama Ng'ombe mmoja .!
Wenyewe wazee wakiita "unafikki" miongo ile ya zamani , sijui siku hizi mnaitaje sifahamu vizuri.
 
Lucky mi nimeshamjua na hat humu amecoment, nimemjua baada ya kuona mlivokuwa mnagombana, jaman 2sameane, i love both ov u..peace.
 
funguka acha uoga wewe,jiamini ......NiPM ID yake nikusaidie kumwanika.
MAPROSOO.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom