Ushangiliaji wa TP Mazembe

Ambassador

JF-Expert Member
Jun 2, 2008
933
75

Ushangiliaji huu mliuonaje? Washikaji walitufunika!
 
Last edited by a moderator:
Kufungwa tumefungwa lakini vyenga twawala yakhe sisi Simba tuko juu bana tumepata nafasi nane tumepiga bao mbili wenzetu wamepata nafasi 3 wamepiga bao 3,lakini pia tunatarajia tupate ushindi wa kwenye stuli baada ya kukata rufaa
 
hata mimi ningekuwepo ningeshabikia Tp Mazembe....bonge la sebene....usipime
 
umeona eeh...? wale jamaa japo walishinda lakini walikiri vitu adhimu vya Simba, wakasema walihisi wanacheza na timu ya huko majuu (Ulaya) jamani Simba ni noooooooma......
 
tar tiibu bibie
avatar35173_1.gif
 
umeona eeh...? wale jamaa japo walishinda lakini walikiri vitu adhimu vya Simba, wakasema walihisi wanacheza na timu ya huko majuu (Ulaya) jamani Simba ni noooooooma......

mbona ethiopia nao walikuwa wakali sana kwenye cecafa tournament iliyopita lakini kombe likaenda kili stars ambao walishinda kwa kutumia mabeki!!?

tunataka tangible results siyo bla bla za chenga twawala.

na mkizidi kujisifu sana badala ya kujipanga mnaweza kujikuta ubingwa wa bara mnaoukosa!
 
Back
Top Bottom