Ushangiliaji wa ki-Vuvuzela... Je, ni haki kwa wazungu kuupinga huu ushangiliaji?

Shadow

JF-Expert Member
May 19, 2008
2,897
671
Kwa wale wana wanaofuatilia kombe la mabara huko Afrika ya Kusini, kumekuwa na ushangiliaji wa namna ya kipee wa kutumia kifaa cha 'plastic' kama tarumbeta yaani 'Vuvuzelaz'. Je, Kelele kama hizi za wazungu ni kuonyesha ubaguzi au uelewa mdogo wa tamaduni za mwafrika?

Wategemee mengi katika ushangiliaji wa kiafrika!!

At least there is one row which is as amusing at it is harmless - the kerfuffle over the vuvuzela, the long plastic trumpet which makes an incredible din when thousands are blown simultaneously. The sound equivalent to a swarm of angry bees has invited the wrath of European broadcasters, with one Dutch journalist asking Sepp Blatter whether Fifa could ban the instruments because they made it hard to work.

"It's a local sound and I don't know how it is possible to stop it," the Fifa boss replied. "This is Africa - it's noisy, it's energy, rhythm, music, dance, drums. We have to adapt.''
vuv-275.jpg
 
Ushangiliaji ule unaboa na yale makelele yanaondoa utamu wa natural sounds za watu!!! footballing atmosphere is good when its real... Unakumbuka wakati wadogo tunatangaza mpira kwa vipaza sauti hewa??? tulikuwa tunatumia hewa ku-imitate watazamaji!!!

Vuvuzela sucks!!!
 
I think what Blatter replied is the best answer that these muzunguz need to learn. They will see more than that vuvuzela.
 
I think what Blatter replied is the best answer that these muzunguz need to learn. They will see more than that vuvuzela.

Hakuna suala la uzungu wala uafrika hiyo midude ikizidi inaboa sana, mikelele kama hiyo inapunguza raha ya mpira wenyewe...noise polution tu aaaaaggghhhhhhhhrrrrr!!!!!!
 
Kwa wale wana wanaofuatilia kombe la mabara huko Afrika ya Kusini, kumekuwa na ushangiliaji wa namna ya kipee wa kutumia kifaa cha 'plastic' kama tarumbeta yaani 'Vuvuzelaz'. Je, Kelele kama hizi za wazungu ni kuonyesha ubaguzi au uelewa mdogo wa tamaduni za mwafrika?

Wategemee mengi katika ushangiliaji wa kiafrika!!
vuv-275.jpg
SHADOW,
Tegemea vioja vingi zaidi wakati wa Kombe la dunia mwakani.
 
Ushangiliaji ule unaboa na yale makelele yanaondoa utamu wa natural sounds za watu!!! footballing atmosphere is good when its real... Unakumbuka wakati wadogo tunatangaza mpira kwa vipaza sauti hewa??? tulikuwa tunatumia hewa ku-imitate watazamaji!!!

Vuvuzela sucks!!!

What is (so)unnatural about it? Is it the voice of a robot coming out? Or a human voice?
 
Hakuna suala la uzungu wala uafrika hiyo midude ikizidi inaboa sana, mikelele kama hiyo inapunguza raha ya mpira wenyewe...noise polution tu aaaaaggghhhhhhhhrrrrr!!!!!!

ACHENI FIKRA MNATO. Hapo ndio tunakoseaga na kuutukuza uzungu na mnataka na ushangiliaji tuige wa kizungu kama mara kwa mara tunavyoona uwanja wa Tifa.

BRAVO SOUTHAFRICANS! hao wazungu wanatakiwa wawe na cha kusimulia wakirudi kwao. Kama hiyo ni sehemu ya utamaduni wao waachwe waendelee. W amekuwa ni watu wa kudumisha sana tamaduni zao na utaifa wanao sana.

I NEED ONE VUVUZELA TRUMPET PLZ.
 
SHADOW,
Tegemea vioja vingi zaidi wakati wa Kombe la dunia mwakani.

Kweli tena. Huwa nafurahishwa na vingoma vya kinigeria kwenye mechi zao. wanapiga kwa sauti murua wakati wote wa mechi. Pia Mafarao[Misri] wanajamaa yao yule mwenye kigitaa kidogo[mtanisahisha kama nimekosea].

All in all wazunguz wajiandaye kupagawa zaidi ya vimbwanga vya waafrika. Kumbuka huitaji nauli ya ndege kufika bondeni!
 
Hivi yale makelele ya Ngome Kongwe [Old Trafold] yanatofauti gani na ma-vuvuzelz?

Katika mwendelezo wa uvumbuzi wa vionjo vya ushabiki wa mpira, wameksiko[Mexican] walitoka na mawimbi ya kimeksikani[Mexican waves], sasa zamu ya wa - African kusini kuja na mchongo mpya wa Mavuvuzela!
 
Ushangiliaji ule unaboa na yale makelele yanaondoa utamu wa natural sounds za watu!!! footballing atmosphere is good when its real... Unakumbuka wakati wadogo tunatangaza mpira kwa vipaza sauti hewa??? tulikuwa tunatumia hewa ku-imitate watazamaji!!!

Vuvuzela sucks!!!

huku kupenda uzngu huku, shida sana na ndo mana hatuendi mbele kisa kujifanya wazungu..... my foot!!!
 
Ujinga mtupu. Kama hujawahi kuangalia premier league unaweza kulalama. Ligi ya Italia kwa kelele ndio hovyo kabisa, kwanini weupe wapige kele zao na sisi weusi tusipige kelele zetu. Tusiburuzwe na maoni ya mwandishi mmoja wa habari. I can not imagine a black journalist going to London and ask English supporter not come come half naked in stadium and make noise. Hata wale wanaoimba ole ole ole ole, nazo ni kelele.

Let we be us at home. Tungekuwa kwenu tungenyamaza.
 
huku kupenda uzngu huku, shida sana na ndo mana hatuendi mbele kisa kujifanya wazungu..... my foot!!!

Huu ndio nauita udandiaji treni kwa mbele.... mtu kupenda au kutopenda tarumbeta sio uzungu wa upenzi wa jazz, na kibaya zaidi jiweke wewe kama ni football fanatic

Hapa bongo tuna akina muchacho, mdundiko nakadhalika, sipendi na huwezi nibadili!!! i dont like kwababu ni kelele na zinaondoa ule ushangiliaji wa asili kutoka kwenye makoo yetu tuliyozoea , period

Hata kama unaangalia sasa hivi mpira, when a goal is scored, hayo mavuzuzela yanakuwa kimya na unasikia vigelegele,, it shows you cant cheer with a pipe on your mouth

Everyone is free to like or dislike kitu with no reference to colour or origin... I am free to dislike hayo matarumbeta

My foot babaako!!!
 
Guys,
Kama hujawahi kuwepo huko south ukasikia wanavyoshangilia vizuri na kuwa happy utaendelea kuona ni kelele! Lakini these guys wako vizuri sana na hiyo stail yako. It can be also seen in Namibia and Botswana. Those guys know how to make life better.

Huyo Journalist hana lolote. He/she should be able to experience the difference. Nimependa sana jibu la mkulu

"This is Africa - it's noisy, it's energy, rhythm, music, dance, drums. We have to adapt.''

Kama huyo mwandishi hakupendezwa then aondoke zake this is how we do things down here. It is our culture. Huwezi kuja tu na kutaka mambo yako kwenye nyumba za watu.

Walisema ukinda kwa wenye chongo vunja lako jicho. Brovo RSA. Mwandishi akizoea atapenda. Hakuna jamaa yuko hapo ampeleke kwenye zile traditional songo anazo chezaga ZUMA aone how fantastic they are?
 
Mkubwa umeiweka vizuri sana, i wish i could do it like you... its not that i dislike vuvzela due to the journalist frani, i have been there watching SPL match two years ago, ni bomba kwa wao... Ila mimi sijapendezewa nayo!!!

Mimi ni shabiki wa simba lakini kelele za akina muchacho sizipendi!! Na sijasema watu wote wasiyapende, is that wrong kutopenda kitu kinachopendwa na wengi??

Its only me and i will appreciate if one understand that some good things are NOT neccesarily liked by everyone!!

Kuna kiongozi mmoja wa CAF amesema upole wetu unatuangusha kwa kusosesha msisimko huko COF cup, labda kwa sababu kuna watu wengi wenye upuzi wangu... and that doesnt give anyone rights to talk shit about my likings (kama mchangiaji mmoja alivyosema)
 
hakuna cha uzungu,uchina,uhindi, wala uweusi wote sense yetu ya kusikia ni sawa na yale madude yana kera mno.wasingegawa kama pipi kwa kila mtu wangepewa baadhi ya watu tu.
 
huku kupenda uzngu huku, shida sana na ndo mana hatuendi mbele kisa kujifanya wazungu..... my foot!!!

Tutakwisha, utafikiri tumelogwa bwana, mzungu akijamba kinanukia, Mwafrika kinanuka. Ni upofu wa kufikiri huu
 
Kwangu kama mshabiki Vuvuzela yanapiga makelele but sijui kama inaathiri wachezaji
 
Tutakwisha, utafikiri tumelogwa bwana, mzungu akijamba kinanukia, Mwafrika kinanuka. Ni upofu wa kufikiri huu

What!!!???

Hivi umesoma thread ukaona kuna mtu anaiga wazungu kuchukia hayo mavuvuzela???
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom