Ushamba wa JK na mawaziri wake Muscat

Hashpower7113

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
1,353
2,137
Nilikuwa naangalia habari katika kituo kimoja cha runinga, nikaona mapokezi waliyopewa popo JK na vibaraka wake kwenye kasri la Sultan huko Muscat, kilichonivutia ni jins ****** na vibaraka wake walivyokuwa wanashangaa paa la kasri la sultan! Duh! Wote walikuwa wakiinua vichwa juu bila kujali kamera zilizokuwa mbele yao. Nikagundua kwa nn viongoz wetu wanapenda kusafiri, hakuna chochote cha maana zaidi ya kwenda kushangaashangaa nchi za watu. Kwa nn na nyie msiijenge Tanganyika yenu wenzenu waje kushangaa?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
hakuna ubaya kulishangaa kasri, hata wazungu na wageni wengine huwa wanatushangaa kwa mambo mengi sana, kwa mfano jinsi unavyo fikiri!!!

Hii mada gani ya kutuletea? wewe hujawahi kwenda sehemu kwa mara ya kwanza ukashangaa??
 
walikuwa wanashangaa pamoja na kukwapua mali zetu usiku na mchana hawajafanikiwa kujenga hata nusu ya kile kitu! Waarabu ni noumer ndo maana Myaudi na Marekani hawaachi kutafuta chokochoko kila kukicha!
 
Hiyo yenyewe hakujenga Mwarabu, nae kalipa tu wataliana wamjengee na kumchorea, na kapendezesha ili watu watizame, ni kama ninyi mnavoliita Ngome ya Wakatoliki wa Kireno Old fort ya Zanzibar eti na wengine mnaliita Arab fort. Poleni watumwa
 
Nilikuwa naangalia habari katika kituo kimoja cha runinga, nikaona mapokezi waliyopewa popo JK na vibaraka wake kwenye kasri la Sultan huko Muscat, kilichonivutia ni jins ****** na vibaraka wake walivyokuwa wanashangaa paa la kasri la sultan! Duh! Wote walikuwa wakiinua vichwa juu bila kujali kamera zilizokuwa mbele yao. Nikagundua kwa nn viongoz wetu wanapenda kusafiri, hakuna chochote cha maana zaidi ya kwenda kushangaashangaa nchi za watu. Kwa nn na nyie msiijenge Tanganyika yenu wenzenu waje kushangaa?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

acheni kumdharau rais wetu. unajua uchaguzi ulishapita kwa nini tusimheshimu tu? ni wazo tu sikulazimishi.
 
nawapongeza wanaoangalia kwani pengine wanaaa wakopy na kupaste hiyo tekinolojia, unafikiri usipokuwa mdadisi utaendelea?

mtoa mada usipende kuzodoa wenzako wale wanajua mbona wazungu huwa wanashangaa wanyama wetu je hiyo si ajabu
 
Nilikuwa naangalia habari katika kituo kimoja cha runinga, nikaona mapokezi waliyopewa popo JK na vibaraka wake kwenye kasri la Sultan huko Muscat, kilichonivutia ni jins ****** na vibaraka wake walivyokuwa wanashangaa paa la kasri la sultan! Duh! Wote walikuwa wakiinua vichwa juu bila kujali kamera zilizokuwa mbele yao. Nikagundua kwa nn viongoz wetu wanapenda kusafiri, hakuna chochote cha maana zaidi ya kwenda kushangaashangaa nchi za watu. Kwa nn na nyie msiijenge Tanganyika yenu wenzenu waje kushangaa?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Hata Malkia wa Uingereza alipotembelea hapo alitazama juu, kile kinaitwa chumba cha dhahabu na hakifunguliwi ila siku ya ujio wa Wageni wa Kitaifa wanaopigiwa mizinga 21. Hapo sasa. Nna uhakika unatamani kujuwa walikuwa wanashangaa nini kilichopo juu hapo. Niulize nikujuze.
 
Nilikuwa naangalia habari katika kituo kimoja cha runinga, nikaona mapokezi waliyopewa popo JK na vibaraka wake kwenye kasri la Sultan huko Muscat, kilichonivutia ni jins ****** na vibaraka wake walivyokuwa wanashangaa paa la kasri la sultan! Duh! Wote walikuwa wakiinua vichwa juu bila kujali kamera zilizokuwa mbele yao. Nikagundua kwa nn viongoz wetu wanapenda kusafiri, hakuna chochote cha maana zaidi ya kwenda kushangaashangaa nchi za watu. Kwa nn na nyie msiijenge Tanganyika yenu wenzenu waje kushangaa?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

nasikia katika msafara wake kuna wasanifu majengo, nadhani paa la kasri la Msoga litabadilishwa sasa hivi
 
Kitu kama kigeni kwako lazima ushangae wazungu mbona wanatoka Marekani Ulaya wanakuja kumshangaa Fisi anakunywa maji.
 
Watu wasitetee ujinga wa viongozi wetu hapa. Hii ni aibu na wala sio ufahari.

Yaani viongozi wa Tanzania wako ikulu ya Muscat wanafanya mazungumzo na mfalme wa Oman, macho na mawazo yao yako kwenye kuta na paa la ikulu ya mascat na sio kinachozunguzwa!!

Wameenda Ikulu kushangaa au kufanya mazungumzo?
 
chuki binafsi maskini
 
acheni kumdharau rais wetu. unajua uchaguzi ulishapita kwa nini tusimheshimu tu? ni wazo tu sikulazimishi.
Mkuu dharau ni ipi hapo?
Ukweli ni ukweli hata kama ni mchungu.
Rubani anatuabisha sana, juzi juzi alikuwa Ghana anashangaa mananasi ya kawaida kabisa, kwa nini asiende Lushoto tu, mananasi yamejaa mpaka yanaoza.
 
chuki binafsi maskini
Chuki utakuwa nazo wewe na wala sio sisi tunaotaka kumrekebisha rais wetu.

Anatia aibu sana, kutwa kuzurura duniani kwa kodi zetu wakati nchi yetu inazidi kuchoka zaidi.

Mama Salma naye ameanza kulalamika pia, maana Rubani siku hizi anasafiri mwenyewe na kumwacha mkewe bongo, kisa ana mtoto mchanga.
 
Nilikuwa naangalia habari katika kituo kimoja cha runinga, nikaona mapokezi waliyopewa popo JK na vibaraka wake kwenye kasri la Sultan huko Muscat, kilichonivutia ni jins ****** na vibaraka wake walivyokuwa wanashangaa paa la kasri la sultan! Duh! Wote walikuwa wakiinua vichwa juu bila kujali kamera zilizokuwa mbele yao. Nikagundua kwa nn viongoz wetu wanapenda kusafiri, hakuna chochote cha maana zaidi ya kwenda kushangaashangaa nchi za watu. Kwa nn na nyie msiijenge Tanganyika yenu wenzenu waje kushangaa?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

si ajabu kwa waafrika kuwa na wivu na matamanio!!
 
Similar Discussions

11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom