Ushamba uliopitiliza.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Jamaa mmoja toka kijiji fulani wilayan ngara mkoan kagera aliingia bank huku akiwa ameshka spana,alipohojiwa na walinzi kuhusu kuingia na spana bank,akajibu anataka kufungua account..bac wateja wote 2kawa hoi kwa vicheko..
 
Hii imenichekesha... Kwani yeye alifikiri akaunti ni nini, au alikuwa na maana ya kaunta?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom