Ushairi. ....tbc. ..maji ya ndimu &mpoto

Mahesabu

JF-Expert Member
Jan 27, 2008
5,971
3,829
mpoto akitetea mabadiliko hukuMaji ya ndimu akisisitiza shairi ni shairi
 
"usihadaike na rangi,tamu ya chai ni sukari"
"mwacha asili ni mtumwa"
 
"usihadaike na rangi,tamu ya chai ni sukari"
"mwacha asili ni mtumwa"

hata kama! Huwez kupnga mabdliko ambayo ni lazima yatokee. Kung'ang'ania kwamba shairi bla mizani na vina c shairi ni ujinga. Kinachotakiwa ktk shairi ni maudhui. "KARIBU NDANI" mahesabu.
 
Back
Top Bottom