Ushaidi

vollies

JF-Expert Member
May 31, 2015
748
446
Wandugu ule ushaidi kuwa Johnie kafa ni kweli huu hapa. Labda sasa tujipange jivingine.
ImageUploadedByJamiiForums1481245644.487515.jpg
 
Hili la bwana John huwezi kufanya chenji kota mzee. PM anataka report ya kifo na pembe za marehemu. Yaani daaah ukisikia unoko ndio huu
Yaan kama aliyoongea PM ni kweli watu walipiga mpunga na kimebuma saa hivi.. Basi watu wengi watakuwa kwenye hali mbaya sana
 
Hivi huyo John hana jina LA Pili??? Maana naona kama wanafanana majina na John!!! Nadhani tuwe specific
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom