nyangasese
Senior Member
- Aug 21, 2011
- 129
- 22
Ni aibu kubwa kwa serikali ya nchi kuwa waongo.Nilimwamini sana raisi alipoamuru kuwa kuanzia sasa hataki kuona watumishi waliopanda madaraja wakicheleweshewa malipo yao.Ni mwaka 1 sasa mimi pamoja na mamia ya watumishi ktk halmashauri jiji Mwanza,tunalipwa mishahara ya zamani,tunapofuatilia tunaambiwa majina yako hazina tangu mwaka jana