mwana wa africa
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 548
- 128
chama lege lege huzaa serikali legelege!
Mi sielewi nini kinachoendelea. Kasimu kangu hakazum jamani!
Haiwezekani kukawa na makosa kwenye mfumo wa ulipaji nchi nzima. Tatizo hilo lipo halimashauri zote za Tanzania.Huo ndio ushahidi wa serikali kufilisika kweli? Haiwezi ikawa ni makosa tu kwenye mfumo wa ulipaji?
hivi unazani kupiga picha na member wa G-UNIT unazani mchezo..na bado anampango we kupiga picha na mesi,pedro na ballotel..
Nadhani haukuelewa ,taatizo halikuwa pesa , inaonekana kulikuwa na makosa yawezekana katika mfumo wa Compyuta na vitu kama hivyo usipotoshe watu. Kati ya Serikali ambayo imejitahidi kujali watu wake na hasa suala a kuwahisha mishahara.Zitto Kabwe alishawahi kulisema hili, Mkulo akafyata. Sasa leo kuna ushahidi tumeudaka huko mikoani. Naomba kuwasilisha:
mkuu umenikumbusha ya Tarik Aziz akitangaza kuwa majeshi ya adui yanazidiwa na kurudi nyuma wakati ni kinyume chake, mpaka alipokamatwa na jeshi la upinzaniMkulo amekuwa kama aliyekuwa msemaji wa serikali ya Iraq wakati Saadam akiwa vitani na Marekani,sasa nyie mlitaka aseme siri za sirikali
hapo sijaelewa serikali imefilisikaje wadau?