Ushahidi wa CHADEMA kusaidiwa na Ujerumani huu hapa na ule wa CCM hapa hapa!

Mjerumani na mtu mweusi ni tofauti. Sasa tusubiri dada zetu kuozeshwa na MBWA, kama wale wajerumani walivyofanya wakati wa Mwinyi. Si mnakumbuka usemi Hapendwi mtu anapendwa MBWA.

Fuatilia vurugu la kikundi huko kinachoua wageni huko Ujerumani. Hawa ni Zaidi ya BARRICK.

Mkuu wangu,
Maneno yako yamenitoa machozi du! Ujerumani ni washenzi sana! Najuta kuijua Chadema
 
Mbona magamba wanafadhiriwa na dunia nzima jamani.Mi nawachukia CCM kwasababu inadharirisha utu na haki ya mwanadamu.
 
Mjerumani na mtu mweusi ni tofauti. Sasa tusubiri dada zetu kuozeshwa na MBWA, kama wale wajerumani walivyofanya wakati wa Mwinyi. Si mnakumbuka usemi Hapendwi mtu anapendwa MBWA.

Fuatilia vurugu la kikundi huko kinachoua wageni huko Ujerumani. Hawa ni Zaidi ya BARRICK.

Wewe unaona makosa yalikuwa ya nani ya Chadema au ya serikali legelege iliyokuwapo madarakani kipindi hicho. HapO ndio unatudhuhirishia wazi kuwa sheria za Tanzania zilizopo ni hovyo hazifai ni za kulindana na ndio maana serikali, na watu kutoka nchi za nje wanadhubutu kumnyanyasa huyu Mtanzania hata kwenye nchi yake. Kwa hiyo tuseme kipindi cha Mwinyi ujermani ilikuwa mfadhili wa ccm lakini sasa hivi mmeachana nao. Hii haingii akilini hata kidogo tuache kudanganyana na kupotoshana. Sasa pamoja na hayo kipindi cha Albino ilichafua Tanzania sana kwa nchi nyingi mpaka sasa hii harufu haijaisha na marafiki wanawasema vibaya watanzania kwa hilo, je lilikuwa na jukumu la chadema? CCM haitufai tunataka tukutane na sheria sio busara ya rais na ndio maana wajermani waliweza kumfanyia Mwinyi kitendo kama hicho katika nchi yeke live na hawakufanywa kitu chochote.

Ujermani inafuta mfumu wa sheria kila kitu na ndio maana huwezi kusikia wakiyumba.
 
Kwa taarifa yako Wawekezaji wa Kijerumani huwekeza pamoja na Teknolojia tofauti na wengine kama vile Marekani, Ufaransa na Uingereza. Angalia mfano wa china jinsi walivyowekeza pamoja na Argentina.

Mkuu wangu,
Maneno yako yamenitoa machozi du! Ujerumani ni washenzi sana! Najuta kuijua Chadema
 
sababu za ccm kusema chadema wanafadhiliwa na ujerumani ni kwamba:
1. Viongozi wa chadema wanafanya ziara za mara kwa mara nchini ujerumani. Na kwamba lengo la ujerumani ni kuiingiza chadema ikulu ili ipambane na rushwa. Chadema wakishadhibiti rushwa, wajerumani wataingia kuwekeza kwa nguvu maana hivi sasa hawawezi kuweza kutokana na rushwa kuwa kubwa mno. Serikali ya ujerumani ina sheria kali sana kuhusu rushwa kwa hiyo makampuni yanaogopa mkono wa serikali yao!! Ndipo suala ya kuifadhili chadema huanza!!!
Sababu za chadema kusema ccm inafadhiliwa na china pamoja na usa
1.viongozi wa ccm huchota fedha kutoka china wakati wa kampeni ili washinde uchaguzi. Wanaposhinda wanatoa ajira kwa raia wa china katika sekta zote kuanzia professional jobs hadi non professional jobs
2. Viongozi wa ccm husaidiwa na usa kutangaza uwepo wa demokrasia na amani. In return wanatoa madini kwa usa.

Kutokana na hayo madai ya pande mbili, yupi ni less devil? Ccm au cdm?

kumbuka ukiamua kuongopa utunze kumbukumbu lasivyo mda si mrefu utaumbuka!!!!!!!. Pili naomba kujua kama hayo uliyoandika umeyafanyia study ya kutosha maana tuliowategemea kama wasomi/na msaada wetu wengi wenu mmegeuka vyakula vya wazungu na wala historia haijawajenga hata kidogo
 
Wewe unaumwa. Kwa hiyo unataka kusema CHADEMA wakiingia ikulu itaongoza nchi kwa kutumia sheria za UJERUMANI? ukoloni huo sasa. Tujiulize maswali hapa, Ujerumani wana uchungu gani na wananchi wa Tanzania mpaka waisaidie CHADEMA kuingia ikulu bila wao kunufaika????
Kuhusu suala la Wachina kufanya kazi Nchini, Watanzania tukubali sote hatupendi kufanyakazi, tunataka tuletewe mpaka nyumbani pamoja na kwamba fursa kama hizo zipo. Bora wachina wafanye kazi ili walipe kodi. Nina wasiwasi hata wewe ulieingiza thread hii hapa JF hutaki kufanyakazi.

KAMWE HATUTAKUBALI CHADEMA WAINGIE IKULU ILI WATUMIE SHERIA ZA UJERUMANI. NASEMA SHERIA ZA UJERUMANI NA CHADEMA HUO HUKO SIYO TANZANIA.
WATANZANIA MMEONA AKILI ZA HAWA JAMAA?
kwanini una wasiwasi na chadema kupewa misaada na ujerumani(japo ni porojo tu) lakini hupati wasiwasi kwa misaada wanayopewa ccm na serikali yake? Au unasumbuliwa na ugonjwa ule wa mbumbumbu wa Tanzania wa watu kudhani ccm ndo mwenye hati ya kutawala. Kwanza ni kwanini vitu vya kuropoka wanavyoropoka wabunge wa ccm kama lusinde vinaletwa ktk forum.
 
Kwani tatizo ni kusaidiwa pesa na wajerumani au hizo pesa zimetumikaje????Kwa taarifa yako nchi kama ya tz inasaidiwa pesa za bajeti ili iweze kuendesha nchi,sembuse chama????si bora chama kikisaidiwa fedha na nchi kuliko kuiba fedha za EPA hiyo unaona imekaaje????lakini acha nikuambie kitu kingine ambacho hawa magamba wanachanganya habari,kwa wazungu kukisaidia fedha chama kwenye hizi nchi zetu za kiafrika sio issue ya siri wao hiyo ni sera yao lli kuvimarisha hasa vyama pinzani viwe na uwezo wa kuithibiti serikali dhidi ya matumizi mabaya ya fedha za bajeti ambazo nyingi kati ya hizo zinatolewa na wafadhili.Tatizo hapa je ni kweli fedha hizo hutolewa ili kuleta vurugu nchini????????.
Wakati tunatafuta kujua kama chadema inafadhiliwa ili kuleta vurugu, tufanye vivyo hivyo kwa wafadhili wa ccm tujue kama wanaifadhili ccm ili kuendeleza rushwa na uchakachuaji kwa maslahi yao maana ni jambo la ajabu kwa wafadhili makini kuifadhili ccm wakati matendo yao ya kishetani yako wazi.
 
cha kuangalia lipi lenye manufaa kwa taifa letu la leo na vizazi vijavyo
 
Kama umenifungua vile ! Uhusiano wa ccm na china. Maana naona jamaa wanazid tu mpaka uswaz madada zetu wanazaa wachina.
 
Ujeruman ni chaguo sahihi kwa nchi kama..Chadema kushirikiana na Ujeruman kitu fulan ambacho kinasound good kwangu...kwasababu ya misimamo ya wajeruman katika mambo mbalimbali sasa mafisad wote wajiandae kama chadema itachukua dora.
 
Back
Top Bottom