Ushahidi wa CHADEMA kusaidiwa na Ujerumani huu hapa na ule wa CCM hapa hapa!

LATTICE BOND

JF-Expert Member
May 30, 2011
219
48
Sababu za ccm kusema chadema wanafadhiliwa na Ujerumani ni kwamba:
1. Viongozi wa chadema wanafanya ziara za mara kwa mara nchini ujerumani. na kwamba lengo la ujerumani ni kuiingiza chadema ikulu ili ipambane na rushwa. chadema wakishadhibiti rushwa, Wajerumani wataingia kuwekeza kwa nguvu maana hivi sasa hawawezi kuweza kutokana na rushwa kuwa kubwa mno. Serikali ya Ujerumani ina sheria kali sana kuhusu rushwa kwa hiyo makampuni yanaogopa mkono wa serikali yao!! ndipo suala ya kuifadhili chadema huanza!!!

Sababu za chadema kusema ccm inafadhiliwa na China pamoja na USA
1.Viongozi wa ccm huchota fedha kutoka china wakati wa kampeni ili washinde uchaguzi. wanaposhinda wanatoa ajira kwa raia wa china katika sekta zote kuanzia professional jobs hadi non professional jobs
2. viongozi wa ccm husaidiwa na USA kutangaza uwepo wa demokrasia na amani. in return wanatoa madini kwa USA.

kutokana na hayo madai ya pande mbili, yupi ni less devil? ccm au cdm?
 
hiii ni noma kaka mwaka maushahidi ya kutosha
hapo magamba wachoke...
 
Ningekuwa mimi ndiye wewe ningeomba uthibitisho kwamba aliyeitaja ujerumani kwa inafadhili chadema badala ya kununua kesi yake na wewe kuwataja china na usa.
 
PPT MAENDELEO wanafadhiliwa na SOMALIA
CHAUSTA MAENDELEO wanafadhiliwa na syria.....
 
Sababu za ccm kusema chadema wanafadhiliwa na Ujerumani ni kwamba:
1. Viongozi wa chadema wanafanya ziara za mara kwa mara nchini ujerumani. na kwamba lengo la ujerumani ni kuiingiza chadema ikulu ili ipambane na rushwa. chadema wakishadhibiti rushwa, Wajerumani wataingia kuwekeza kwa nguvu maana hivi sasa hawawezi kuweza kutokana na rushwa kuwa kubwa mno. Serikali ya Ujerumani ina sheria kali sana kuhusu rushwa kwa hiyo makampuni yanaogopa mkono wa serikali yao!! ndipo suala ya kuifadhili chadema huanza!!!

Sababu za chadema kusema ccm inafadhiliwa na China pamoja na USA
1.Viongozi wa ccm huchota fedha kutoka china wakati wa kampeni ili washinde uchaguzi. wanaposhinda wanatoa ajira kwa raia wa china katika sekta zote kuanzia professional jobs hadi non professional jobs
2. viongozi wa ccm husaidiwa na USA kutangaza uwepo wa demokrasia na amani. in return wanatoa madini kwa USA.

kutokana na hayo madai ya pande mbili, yupi ni less devil? ccm au cdm?

Latice,

Hapa sijaona ushahidi wowote. Tanzania ina host mashirika ya Friedrich Ebert Siftung, Konrad adenauer stiftung na mengineyo toka toka Ujerumani, NDI toka Marekani, Center Party na Hoyre toka Norway, mashirika kama hayo toka Uingereza yakimilikiwa na Conservative na Labour Party. Kila moja ya mashirika haya yanashirikiana na vyama vya Tanzania kwa misingi ya makubaliano baina yao. Mahusiano hayo ni public huhitaji huhitaji ushahidi.

Njoo Chadema nitakupa wa kwetu na wahisani na washiriki wetu. Wengine siwasemei.
 
Dr. Slaa,

Unaweza kutuambia watanzania wenzako kupitia humu Jamvini..

Ushirikiano wa Chadema na Conservative na misingi ya urafiki wenu ni upi?

Na misaada mnayopewa na wahisani wenu kutoka nje inakuwa na masharti yoyote?
 
Nilipoona neno ushahidi nilitegemea kukuta angalau documents za misaada inayotolewa, documents zinazothibitisha viongozi wa CDM kutembelea Ujerumani 'mara kwa mara', documents zinazoonyesha wanapotemebelea German wanakuwa wamealikwa na nani na kwa maongezi gani, documents zinazoonyesha makubaliano yeyote kati ya CDM na Ujerumani kuhusu ufadhili.

Au documents zozote zinazoweza kuitwa ushahidi. Matokeo yake nakutana na mawazo yako yasiyo na kichwa wala miguu, mbele wala nyuma.. yamekaa kaa tu.
 
Sababu za ccm kusema chadema wanafadhiliwa na Ujerumani ni kwamba:
1. Viongozi wa chadema wanafanya ziara za mara kwa mara nchini ujerumani. na kwamba lengo la ujerumani ni kuiingiza chadema ikulu ili ipambane na rushwa. chadema wakishadhibiti rushwa, Wajerumani wataingia kuwekeza kwa nguvu maana hivi sasa hawawezi kuweza kutokana na rushwa kuwa kubwa mno. Serikali ya Ujerumani ina sheria kali sana kuhusu rushwa kwa hiyo makampuni yanaogopa mkono wa serikali yao!! ndipo suala ya kuifadhili chadema huanza!!!

Sababu za chadema kusema ccm inafadhiliwa na China pamoja na USA
1.Viongozi wa ccm huchota fedha kutoka china wakati wa kampeni ili washinde uchaguzi. wanaposhinda wanatoa ajira kwa raia wa china katika sekta zote kuanzia professional jobs hadi non professional jobs
2. viongozi wa ccm husaidiwa na USA kutangaza uwepo wa demokrasia na amani. in return wanatoa madini kwa USA.

kutokana na hayo madai ya pande mbili, yupi ni less devil? ccm au cdm?

Mjerumani na mtu mweusi ni tofauti. Sasa tusubiri dada zetu kuozeshwa na MBWA, kama wale wajerumani walivyofanya wakati wa Mwinyi. Si mnakumbuka usemi Hapendwi mtu anapendwa MBWA.

Fuatilia vurugu la kikundi huko kinachoua wageni huko Ujerumani. Hawa ni Zaidi ya BARRICK.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom