Ushahidi Mwingine wa Kudhoofika kwa CCM

Ronal Reagan

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,299
3,055
Wanabodi,

Wimbi la CCM kuendelea kudhoofika na kukataliwa na jamii limeendelea kuthihirika si tu ktk chaguzi bali hata ktk maeneo mengine ya jamii.

Kwa taarifa za uhakika nilizonazo mbali na fedha za walipa kodi kufujwa ktk, kutisha watu kwa kesi za ajabu ajabu ....CCM na serikali yake wasivyo na aibu wamekwenda mbali hata kuwashinikiza walimu wa shule binafsi (English Medium) 'kuonesha utii na mshikamo' kwa ujio wa Kikwete mjini Arusha, kwa kufunga shule zao kesho Alhamisi 1/11/12 na pia kwenda kwenye maandamano na baadaye Sheikh Amri Abeid.

Ni jambo 'dogo' lenye kielelezo kipana cha jinsi ambavyo JK na CCM hawako serious na mambo ya maana kama elimu, afya, uchumi nk ila wako makini kwenye mambo ya upuuzi. Sasa kwa kukatiza vipindi vya masomo siku ya kesho:-

1) Je serikali itafidia vipi wazazi, wanafunzi na walimu?

2) Kwa vile CCM wamepoteza mvuto, utashi na uhalali wa kutawala je kuna sababu za msingi za kusubiri mpaka 2015?

3) Hivi kuna haja gani ya kufuja mamia ya mamiliioni kuandaa sherehe ambazo hazina tija kwa Mtanzania? Mbona viongozi hao wamekosa huruma, weledi na maono kiasi hiki; badala ya kuwekeza ktk kutatua kero za msingi za maji, afya, barabara ambazo zina umri wa utawala wa CCM, wao ni kutumbua bata mbele ya walala hoi.

Mwisho,
Nawomba wabunge wa upinzani akina Mnyika, Lissu, Zitto na wengine muangalie namna ya Bunge kuiwajibisha serikali sikivu ya CCM kwa kuendelea kuididimiza nchi hii. Asasi za kiraia nazo ziishinikize serikali hii tusirudi enzi zile za chama kushika hatamu.
 
Wanabodi,

Wimbi la CCM kuendelea kudhoofika na kukataliwa na jamii limeendelea kuthihirika si tu ktk chaguzi bali hata ktk maeneo mengine ya jamii.

Kwa taarifa za uhakika nilizonazo mbali na fedha za walipa kodi kufujwa ktk, kutisha watu kwa kesi za ajabu ajabu ....CCM na serikali yake wasivyo na aibu wamekwenda mbali hata kuwashinikiza walimu wa shule binafsi (English Medium) 'kuonesha utii na mshikamo' kwa ujio wa Kikwete mjini Arusha, kwa kufunga shule zao kesho Alhamisi 1/11/12 na pia kwenda kwenye maandamano na baadaye Sheikh Amri Abeid.

Ni jambo 'dogo' lenye kielelezo kipana cha jinsi ambavyo JK na CCM hawako serious na mambo ya maana kama elimu, afya, uchumi nk ila wako makini kwenye mambo ya upuuzi. Sasa kwa kukatiza vipindi vya masomo siku ya kesho:-

1) Je serikali itafidia vipi wazazi, wanafunzi na walimu?

2) Kwa vile CCM wamepoteza mvuto, utashi na uhalali wa kutawala je kuna sababu za msingi za kusubiri mpaka 2015?

3) Hivi kuna haja gani ya kufuja mamia ya mamiliioni kuandaa sherehe ambazo hazina tija kwa Mtanzania? Mbona viongozi hao wamekosa huruma, weledi na maono kiasi hiki; badala ya kuwekeza ktk kutatua kero za msingi za maji, afya, barabara ambazo zina umri wa utawala wa CCM, wao ni kutumbua bata mbele ya walala hoi.

Mwisho,
Nawomba wabunge wa upinzani akina Mnyika, Lissu, Zitto na wengine muangalie namna ya Bunge kuiwajibisha serikali sikivu ya CCM kwa kuendelea kuididimiza nchi hii. Asasi za kiraia nazo ziishinikize serikali hii tusirudi enzi zile za chama kushika hatamu.[/QUOTE

Craaaaaaaaaaaaaaaaaaaap ! hakuna kitu hapa zaidi ya wivu wa kike , kuona arusha sasa linakuwa jiji na miradi kibao inafunguliwa kwa maendeleo ya wananchi. Nenda kajipange upya, huna cha maana ulicho andika , msalimie padri slaa
 
Kama ni kitu cha kweli basi CCM wanachokifanya kimepitwa na wakati.Nazikumbukia enzi hizo msafara wa Rais ukipita usipoenda kupiga makofi basi usichungulie dirishani maana yake kipondo chake utakielezea.Na shuleni ilibidi masomo yafupishwe ili wanafunzi wakapange foleni kwenye kingo za barabara.
 
Craaaaaaaaaaaaaaaaaaaap ! hakuna kitu hapa zaidi ya wivu wa kike , kuona arusha sasa linakuwa jiji na miradi kibao inafunguliwa kwa maendeleo ya wananchi. Nenda kajipange upya, huna cha maana ulicho andika , msalimie padri slaa

Kufungua miradi mingi ya maendeleo jijini Arusha ni wajibu wa serikali kwakuwa wananchi wanatimiza wajibu wao wa msingi kwa kulipa kodi, na hivyo serikali inawajibika
kuwaletea wananchi maendeleo kitu ambacho ni haki yao wala sio hisani kama unavyotaka kupotosha watu.
 
Same alisotesha vijana was hule njaa wakimsubiri kuna hutubia.Jana aliweka foleni ya magari km 35 tokea alipo.magari yalisimamishwa Njia panda wakati akiwa hajatoka hata mwanga kama si kuwa alikuwa hata kuvaa bado.Watu walikaa kama saa nzima ,na kwa ujinga wa matrafiki hata magari yaliyokuwa yakielekea himo nayo yalizuiwa.Magari yanayoelekea Tanga na Dar,Dom yalikaa sana.
 
wanabodi,

wimbi la ccm kuendelea kudhoofika na kukataliwa na jamii limeendelea kuthihirika si tu ktk chaguzi bali hata ktk maeneo mengine ya jamii.

Kwa taarifa za uhakika nilizonazo mbali na fedha za walipa kodi kufujwa ktk, kutisha watu kwa kesi za ajabu ajabu ....ccm na serikali yake wasivyo na aibu wamekwenda mbali hata kuwashinikiza walimu wa shule binafsi (english medium) 'kuonesha utii na mshikamo' kwa ujio wa kikwete mjini arusha, kwa kufunga shule zao kesho alhamisi 1/11/12 na pia kwenda kwenye maandamano na baadaye sheikh amri abeid.

Ni jambo 'dogo' lenye kielelezo kipana cha jinsi ambavyo jk na ccm hawako serious na mambo ya maana kama elimu, afya, uchumi nk ila wako makini kwenye mambo ya upuuzi. Sasa kwa kukatiza vipindi vya masomo siku ya kesho:-

1) je serikali itafidia vipi wazazi, wanafunzi na walimu?

2) kwa vile ccm wamepoteza mvuto, utashi na uhalali wa kutawala je kuna sababu za msingi za kusubiri mpaka 2015?

3) hivi kuna haja gani ya kufuja mamia ya mamiliioni kuandaa sherehe ambazo hazina tija kwa mtanzania? Mbona viongozi hao wamekosa huruma, weledi na maono kiasi hiki; badala ya kuwekeza ktk kutatua kero za msingi za maji, afya, barabara ambazo zina umri wa utawala wa ccm, wao ni kutumbua bata mbele ya walala hoi.

Mwisho,
nawomba wabunge wa upinzani akina mnyika, lissu, zitto na wengine muangalie namna ya bunge kuiwajibisha serikali sikivu ya ccm kwa kuendelea kuididimiza nchi hii. Asasi za kiraia nazo ziishinikize serikali hii tusirudi enzi zile za chama kushika hatamu.

pumba.
 
Same alisotesha vijana was hule njaa wakimsubiri kuna hutubia.Jana aliweka foleni ya magari km 35 tokea alipo.magari yalisimamishwa Njia panda wakati akiwa hajatoka hata mwanga kama si kuwa alikuwa hata kuvaa bado.Watu walikaa kama saa nzima ,na kwa ujinga wa matrafiki hata magari yaliyokuwa yakielekea himo nayo yalizuiwa.Magari yanayoelekea Tanga na Dar,Dom yalikaa sana.

Point kuu. Lakini lazima tukatae hii trend sasa na sio lazima kusubiri 2015.

Nguvu na rasilimali kubwa inatumiwa ndivyo sivyo. Pro-magamba wanapinga bila hoja. Hawajajifunza hata kuuliza ushahidi wa kilichoandikwa. Kama kuna mwenye mtoto St. Jude, St. Patrick, St. Monica, Arusha School mbali ya shule za kata aulize ataambiwa kesho NO SCHOOL. Reasons? JK anahitaji kuona umati ukimpokea na pia uwanja wa michezo Amri Abedi umejaa.

Ukweli hauhitaji nguvu kubwa kuufikisha kama ambavyo inahitajika kuutetea udhaifu wa CCM, mafisadi na wanafiki.
 
SI NDIO MAAANA HATA MAWASIRI WANASEMAGA TANZANIA NI PEMBA NA SIMBABWEEEE!!!!!!!!!!!!!! ANAYETEUA NA ANAYETEULIWA WOTE ....................ACHA WATOTO WAKAIMBAGA SHISHIEM NAMBARI ONE................:israel:
:israel:
 
Kufungua miradi mingi ya maendeleo jijini Arusha ni wajibu wa serikali kwakuwa wananchi wanatimiza wajibu wao wa msingi kwa kulipa kodi, na hivyo serikali inawajibika
kuwaletea wananchi maendeleo kitu ambacho ni haki yao wala sio hisani kama unavyotaka kupotosha watu.

Asante Mwita.

Elimu ya urai kwa sasa ni somo mtambuka Tanzania. Pro-magamba wanaamini na hupenda iaminike kwamba miradi ya maendeleo ni favor na sio wajibu wa serikali. Hasa muhula huu wa JK, Tanzania imekuwa ni kama monarch state.... lazima umlambe mkulu miguu ndipo upate haki yako au cheo au nafasi ambayo kikatiba yako wazi.

"Haki haiombwi... inapiganiwa...."
 
Point kuu. Lakini lazima tukatae hii trend sasa na sio lazima kusubiri 2015.

Nguvu na rasilimali kubwa inatumiwa ndivyo sivyo. Pro-magamba wanapinga bila hoja. Hawajajifunza hata kuuliza ushahidi wa kilichoandikwa. Kama kuna mwenye mtoto St. Jude, St. Patrick, St. Monica, Arusha School mbali ya shule za kata aulize ataambiwa kesho NO SCHOOL. Reasons? JK anahitaji kuona umati ukimpokea na pia uwanja wa michezo Amri Abedi umejaa.

Ukweli hauhitaji nguvu kubwa kuufikisha kama ambavyo inahitajika kuutetea udhaifu wa CCM, mafisadi na wanafiki.

Haya mambo yamengezea sana chuki ya watu juu ya Kikwete na CCM kwa ujumla.
 
Craaaaaaaaaaaaaaaaaaaap ! hakuna kitu hapa zaidi ya wivu wa kike , kuona arusha sasa linakuwa jiji na miradi kibao inafunguliwa kwa maendeleo ya wananchi. Nenda kajipange upya, huna cha maana ulicho andika , msalimie padri slaa
[/QUOTE]

Mirad ya barabara za mkopo toka bank ya dunia?thts craaaaaaaaaap
Mrad gan unafunguliwa kwa fedha za Tanzanite au mbuga?
Kodi zote zinafanyiwa sherehe na kulipa wasanii thts wht I call craaaaaaaaap.
Unaposema wivu wakike nani anaonewa wivu hapa na nan?tatizo mnachukulia serikali kua mali ya familia na si mali ya raia so yoyote anaepinga upuuz wenu anawaonea wivu. Craaaaaaap.
 
Pro magamba kesho watatujazia pics humu za umati wa wanafunzi waliolazimishwa kumshangilia ..........
 
Back
Top Bottom