Ushahidi huu unatosha kumtia mke hatiani... FEEDBACK!

kapotolo

JF-Expert Member
Sep 19, 2010
3,727
2,214
Ndugu wana MMU, asanteni sana kwa michango yenu na ushauri wenu mbali mbali ambao mlimpatia kaka yangu juu ya sakata la mke wake katika huu uzi https://www.jamiiforums.com/mahusia...ushahidi-huu-unatosha-kumtia-hatiani-mke.html.

Kaka yangu pamoja na mambo mengine ameufanyia kazi ushauri wenu na wa watu wengine wa karibu, ndugu na jamaaa na viongozi wa dini na amefikia uamuzi mgumu wa kutengana na mke wake. Mpaka sasa wameshatengana na anasubiri taratibu nyingine za kimahakama ili ndo ivunjwe rasmi. Amechoshwa na tabia hiyo ya mke wake. Cha kushangaza siku wanatengana mke hakutoa hata chozi kuonyesha kujuta.

Narudia tena asanteni wote kwa maoni na ushauri wenu Mungu azidi kuwaongoza katika kujenga zaidi ndoa za watu, ingawa kwa hii kwa kweli kuvunjika was inevitable.
 
Tunashukuru kwa feedback.....sasa atullie asikimbile kuoa tena mapema, atafakari kwanza
 
Pole sana mkuu. Maisha ni mchakato. Jipange na kuanza upya. Kwa vile hakuna ajuaye mwisho, naamini utafika salama.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wanasema bibi na bwana wakigombana, chukua jembe ukalime (mie vile sina shamba huwa naenda saluni kupiga umbea!). Usishabikie, wanandoa huwa hawaachani kirahisi hivi. Hadi waachane mara kadhaa na krudiana ndo wanafunga chapter. Be neutral, waache wafanye maamuzi yao manake kushauri umeshamaliza.
 
leo huavi leggings kwenda salender bridge??

Atashangaa kuwakuta wanatongozana gizani baada ya kuachana.

ndugu wana mmu, asanteni sana kwa michango yenu na ushauri wenu mbali mbali ambao mlimpatia kaka yangu juu ya sakata la mke wake katika huu uzi https://www.jamiiforums.com/mahusia...ushahidi-huu-unatosha-kumtia-hatiani-mke.html.

Kaka yangu pamoja na mambo mengine ameufanyia kazi ushauri wenu na wa watu wengine wa karibu, ndugu na jamaaa na viongozi wa dini na amefikia uamuzi mgumu wa kutengana na mke wake. Mpaka sasa wameshatengana na anasubiri taratibu nyingine za kimahakama ili ndo ivunjwe rasmi. Amechoshwa na tabia hiyo ya mke wake. Cha kushangaza siku wanatengana mke hakutoa hata chozi kuonyesha kujuta.

Narudia tena asanteni wote kwa maoni na ushauri wenu mungu azidi kuwaongoza katika kujenga zaidi ndoa za watu, ingawa kwa hii kwa kweli kuvunjika was inevitable.
kapotolo
pole sana sana mkuu ingawa wanasema kila chenye mwanzo akikosi kuwa na mwisho loh sio huo
usishangae mwanamke kutotoa machozi maana alipovishwa pete akutoa chozi so akuna jipya ..heshimu wanaotoa chozi wakati wa kuvishw pete sio hawa wa kutengana na makaratasi..labda kinachotuumiza wanaume ni kujua kusudi la kuoana...na hili linapekea wanawake wengi sana kuchezea uume wetu na kuupima sehemu zao za siri kama mafuta ya bp.......binafsi naona imechukua haraka kuachana labda ujue mungu alikuja duniani kuokoa wale waliopotea..sasa basi kama kaka yetu ningemshauri achukue tatizo la mwenzake alibebe amlilie mungu ...akuna aliemfwata mungu akaaibika kaka...wapo wanandoa wenye ushahidi walioaana baada ya mwezi wakaanza kurudi nyumban kila mtu mida yake 3 yrs leo wanamtukuza mungu na wengine wazee wakanisa sisemi lazima awe wa kanisa anaweza kuwa hata mzee wa jf ...kama wito ila asimame na mungu amuulize mungu kusuudi la kumuoa huyo binti lilikuwa ni nini pengine mungu kampeleka kwa ke ili akamsaidie matatzio yake sasa mungu anaona unapokimbia jukumu alilokupa anakupelekea katapila unakumbana nalo unakumbuka ulipotoka ..sisemi wafanye bcb haaa haa achukue mungu aombe rehema kwa mungu amsamehe najua kwa matatizo yote hauyo lazima atakuwa amepita nje ya ndoa kupunguza zile protini sasa lazima ukimkaribia mungu uwe safi aombe rehema asome nehemia 1:yote ..alafu aeleze matatzio yake 7 days ..mungu si petero wala mwana kitongoji bana mungu anaskia kaka narudia tena polen sana sana ni wakati mgumu ambao naujua na kuuelewa nini uchungu usiniulize zaidi
 
Daaah hapa kuna ukweli maana kuna jirani yangu waliacha na mkewe tena kwa ugomvi mkubwa na ilikuwa imepita miaka mitatu sasa! Na hakuna aliyetarajia hawa watu wangeweaza kuongea hata mimi sikutegemea maana mtiti ulikuwa si wakitoto!

Mungu si Athumani juzi ni kawaona bar fulan wako pamoja wanakunywa na kucheka, kwakweli nilibaki kinywa wazi!

Unayosema yanawezekana kabisa!

Wanasema bibi na bwana wakigombana, chukua jembe ukalime (mie vile sina shamba huwa naenda saluni kupiga umbea!). Usishabikie, wanandoa huwa hawaachani kirahisi hivi. Hadi waachane mara kadhaa na krudiana ndo wanafunga chapter. Be neutral, waache wafanye maamuzi yao manake kushauri umeshamaliza.
 
Wanasema bibi na bwana wakigombana, chukua jembe ukalime (mie vile sina shamba huwa naenda saluni kupiga umbea!). Usishabikie, wanandoa huwa hawaachani kirahisi hivi. Hadi waachane mara kadhaa na krudiana ndo wanafunga chapter. Be neutral, waache wafanye maamuzi yao manake kushauri umeshamaliza.
Ni kweli Komando. Thamani halisi ya kitu huwezi kuijua hadi ukipoteze. Ndo maana wazee na busara zao wakaja na process mbili muhimu, kutengana na kisha kuachana. Hawa inawezekana wametengana tu. Time is an undoubted answer!
 
leo huavi leggings kwenda salender bridge??

Atashangaa kuwakuta wanatongozana gizani baada ya kuachana.

Hehehe, mie leggings ndo vazi la wknd, manake toka Paw aliponisifia milonjo yangu ina colour nzuri japo minene kama toothpick, najidaije? Sivai tena madera!
Wapenzi bwana, mtu akikulalamikia mpe moral support afu chomekea sentenso za 'lakini endelea kumuombea Mungu ataingilia kati. Unajua mmetoka mbali'. Bila hivyo, wakitongozana anaambiwa 'kama sio king'asti kunidanganya....'
 
Daaah hapa kuna ukweli maana kuna jirani yangu waliacha na mkewe tena kwa ugomvi mkubwa na ilikuwa imepita miaka mitatu sasa! Na hakuna aliyetarajia hawa watu wangeweaza kuongea hata mimi sikutegemea maana mtiti ulikuwa si wakitoto!

Mungu si Athumani juzi ni kawaona bar fulan wako pamoja wanakunywa na kucheka, kwakweli nilibaki kinywa wazi!

Unayosema yanawezekana kabisa!

Mie shosti alifanyiwa kituko cha mwaka na mumewe na familia nzima ya mumewe. Akatimka, ananiambia naenda nchi za mbali kwa dadangu. Nikamuambia dadake, huyu muambie aende tu kwa mama yenu akake 3 months, manake wanavyopendana hawa na ujinga wao utachezea nauli. Ikapita miezi sita naambiwa dada karudisha timu kwa masharti yale alioyakimbia!
Kwa sababu mie nilikuwa neutral, hadi leo tunakaa na shemeji langu tunakula maisha kwa raha zetu.
 
Ni kweli Komando. Thamani halisi ya kitu huwezi kuijua hadi ukipoteze. Ndo maana wazee na busara zao wakaja na process mbili muhimu, kutengana na kisha kuachana. Hawa inawezekana wametengana tu. Time is an undoubted answer!

Na kweli babu, busara zenu muhimu hapa. The Boss anaitaga space. Hakuna kutengana wala kupeana tangazo. Ukiona hapaeleweki unajitaftia kozi ya 3 months away, ukiwa huko utaona kasi kama unachumbiwa upya ama gap linazidi. Ukirudi aaah, maamuzi kichwani. Kama unasuka, unanyoa ama unapakaa mafuta wembe uteleze,lol
 
Last edited by a moderator:
Kweli ugomvi wa wapenzi hautaji refa!

Mie shosti alifanyiwa kituko cha mwaka na mumewe na familia nzima ya mumewe. Akatimka, ananiambia naenda nchi za mbali kwa dadangu. Nikamuambia dadake, huyu muambie aende tu kwa mama yenu akake 3 months, manake wanavyopendana hawa na ujinga wao utachezea nauli. Ikapita miezi sita naambiwa dada karudisha timu kwa masharti yale alioyakimbia!
Kwa sababu mie nilikuwa neutral, hadi leo tunakaa na shemeji langu tunakula maisha kwa raha zetu.
 
kapotolo
pole sana sana mkuu ingawa wanasema kila chenye mwanzo akikosi kuwa na
mwisho loh sio huo
usishangae mwanamke kutotoa machozi maana alipovishwa pete akutoa chozi
so akuna jipya ..heshimu wanaotoa chozi wakati wa kuvishw pete sio hawa
wa kutengana na makaratasi..labda kinachotuumiza wanaume ni kujua kusudi
la kuoana...na hili linapekea wanawake wengi sana kuchezea uume wetu na
kuupima sehemu zao za siri kama mafuta ya bp.......binafsi naona
imechukua haraka kuachana labda ujue mungu alikuja duniani kuokoa wale
waliopotea..sasa basi kama kaka yetu ningemshauri achukue tatizo la
mwenzake alibebe amlilie mungu ...akuna aliemfwata mungu akaaibika
kaka...wapo wanandoa wenye ushahidi walioaana baada ya mwezi wakaanza
kurudi nyumban kila mtu mida yake 3 yrs leo wanamtukuza mungu na wengine
wazee wakanisa sisemi lazima awe wa kanisa anaweza kuwa hata mzee wa jf
...kama wito ila asimame na mungu amuulize mungu kusuudi la kumuoa huyo
binti lilikuwa ni nini pengine mungu kampeleka kwa ke ili akamsaidie
matatzio yake sasa mungu anaona unapokimbia jukumu alilokupa
anakupelekea katapila unakumbana nalo unakumbuka ulipotoka ..sisemi
wafanye bcb haaa haa achukue mungu aombe rehema kwa mungu amsamehe najua
kwa matatizo yote hauyo lazima atakuwa amepita nje ya ndoa kupunguza
zile protini sasa lazima ukimkaribia mungu uwe safi aombe rehema asome
nehemia 1:yote ..alafu aeleze matatzio yake 7 days ..mungu si petero
wala mwana kitongoji bana mungu anaskia kaka narudia tena polen sana
sana ni wakati mgumu ambao naujua na kuuelewa nini uchungu usiniulize
zaidi

bravo pdidy ka ushauri mzuri,ila unge anzia na herufi kubwa unapoandika MUNGU
 
Halafu eti jamaa ni Daktari, Duh kweli ndio maana wakienda Ulaya au nchi nyingine kama Marekani hawaruhusiwi kumtibu mtu mpaka wafanyiwe IQ test!

Wewe Daktari halafu unashindwa kutatua matatizo yako mwenyewe tena ya kifamilia mpaka upeleke kwa watu wengine? sasa hizo Research zenu mnafanyaje, manake ninanvyofahamu ili uweze kufanya utafiti na kuja na jibu la kitu fulani unahitaji uelewa na utulivu pamoja na utulivu wa hali ya juu!
 
Siyo kweli Kijakazi,

Hakuna genius wa mapenzi....

Omba Mungu tu yasikukute!

Babu DC!!
 
Ningeshangaa sana kama kakaako asingechukua huu uamuzi cuz kila kitu kilikuwa open wazi..
 
Back
Top Bottom