Ushahidi huu unatosha kumtia hatiani mke!!

halafu anaona ni sifa kuuliza uliza watu na kuitisha vikao
kumbe anazidi kujidhalilisha
badala ya kuchukua uamuzi wa haraka na kulimaliza

Umeona na wewe ndugu yangu The Boss??

Eti ana ushahidi kama huu, halafu anaenda kumuuliza baba mtu...Kama siyo kumtia kichefu chefu ni nini?? Tena ana bahati sana, baba wa watu alimjibu kwa busara..May be ningekuwa mie, ningemtemea mate usoni!!

Ndo maana tunasema kuwa Real African men siku hizi ni bidhaa adimu!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Umeona na wewe ndugu yangu The Boss??

Eti ana ushahidi kama huu, halafu anaenda kumuuliza baba mtu...Kama siyo kumtia kichefu chefu ni nini?? Tena ana bahati sana, baba wa watu alimjibu kwa busara..May be ningekuwa mie, ningemtemea mate usoni!!

Ndo maana tunasema kuwa Real African men siku hizi ni bidhaa adimu!!

Babu DC!!

ni bidhaa adimu kweli aisee
 
Huyo dada keishajizolelea tabia ya kucheat coz kwa maelezo aliachana na mumewe wa mwanzon ndio akaolewa na kaka ako so inawezekana sana tu kuwa alikuwa na mahusiano na your bro wakat bado yupo na mumewe wa awali

hivyo bac, kaka ako aelewe kwamba na yeye wakati wake umekwisha ni wakat wa kidume kingine...................la sivyo atampakatia mjukuu MAJUTO
 
linapokuja swala la mwanamke hasa kwenye mambo ya kutoka na mtu nje sio swala la kuomba ushauri!!yani huo ushaidi wote ulioutoa yani me siwez kufika mbali kiac hicho hapo ni mamuzi magumu tu ndo yatakayomsaidia huyo broo!!
 
Kaka hii ni ndoa lakini, sio rahisi kama unavyosema, lakini nimekuelewa.

Pamoja na yote hayo bado unaiita ndoa, hiyo kwenye family nini??

HAKUNA NDOA HAPO

KUMBUKA KAKA ALIVUTA MKE WA MTU, KWAHIYO MUOSHA HUSHOWA, DAWA NI KUACHA TU, HUYO DADA HATHAMINI NDOA YOYOTE , NA UKWELI NI KWAMBA KAMA KAKAKO ALITHAMINI NDOA ASINGEPORA MKE WA MTU

MAIGIZO HAYO, MWAMBIE BRO KAMA ANATAKA KUENDELEA NA HIYO LIFE MOVIE AENDELEE, OTHERWISE HIYO NI LOVE CIRCUS
 
Asipoteze muda kuendelea kukaa na huyo kimeo hata biblia inaruhusu ndoa kuvunjwa kwa kosa la uzinifu.
 
Just like Julius Caesar's, Bwa'Nchuchu's wife (Bi'Nchuchu) must be above suspicion or else she'll be sent packing like Pompeia.
 
Mshauri kaka yako aendelee kwenda peku na mkewe, mie ntaleta mbege msibani.

PS;

Kuna wanawake bilion nne katika jumla ya watu bilioni saba duniani kote.
 
mi nasubiri sensa ije ituambie tuwe tunaoa wake wangapi! Haya mambo ya mke na mume mmoja wengine wanaumizwa sana
 
Kama anasubilia ushahidi wa STD's na UKIMWI. aendelee kutafuta ushahidi.
 
"Coward die many times b4 there natural dearth" kazi hapa ni mtu kufanya maamuzi
magumu au mazingira yatamuamulia kwa UKIMWI
 
Duh! Nina wacwac hata na ufaulu wake, manake mwal kambeba ili afaulu.

Kaka akze moyo afanye maamuzi magumu, mwisho wasiku ataletewa ukimwi akose hata wa kumuuguza
 
Mie nadhani kama ameamua kumwacha amwache tu
kwani sasa atakuwa hana mapenzi tena na huyo mkewe
Na inavyoonekana ni jambo la ukweli ..
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom