Ushabiki Gani sasa Huu!!!!

wanayanga,

tumtafute anae tuharibia timu yetu nzuri kama ni uongoz,makomandoo, wachezaji kulewa misifa zisizo za kwao kuliko hili na kuacha uzalendo na kutukana watani zetu. huu si utani bali ni kuwapa advantage wagen. tubadilikeeeeeeee
 
hehe..nao watakuja watasema, 'simba ndo walianza'..tusianze kutajana majina...wote tuna makosa...timu zote (esp. Yanga n Simba)...tubadilike!!!

ni ukweli usio pingika Yanga ndio wameanza na wanasiasa wanamalizia kwa kuiuza nchi kwa wagen,kazi tunawapaa, ardhi tunawapaaaa
 
Many Tanzanians are confused! ...no matter you say 'yes' or 'no', that is it!
 
hapo safi, wamvishe simba iyo chupiii ni saizi yake kabisa ninavyoiona, kiuno kitamtosha icho.
 
hapo safi, wamvishe simba iyo chupiii ni saizi yake kabisa ninavyoiona, kiuno kitamtosha icho.

katuni-championi.jpg
 
Nilianza kwenda mpirani nikiwa mdogo sana nikiwa na mzazi wangu.. Bahati nzuri wakati huo kulikuwa na ustaarabu kwenye viwanja vya mpira.. Leo Sithubutu kwenda na mtoto wangu mpirani.. Hayo matusi na ugomvi kwenye mpira utamueleweshaje mtoto kwamba ni sehemu ya burudani..? Haya ameona mashabiki wameshika chupi hadharani.. How'll u explain it to a 6 years old kwamba ile ni sehemu ya burudani..?
 
Back
Top Bottom