Used Toshiba Laptop

CompDealer

Member
May 1, 2009
18
0
Habari,

Mimi nauza Used Laptops

1)Toshiba Satellite Pro L20 - Intel Cel M 1.6GHZ,60GB HardDisk, 512MB Ram, Wifi, DVD Writer, 15" Screen - bei Shs 470,000

2)Viglen Dossier - Intel P4 1.8GHZ, 40GB HarDisk, 512Mb Ram, Wifi, CD Writer, 15" Screen - Bei 390,000

3)Acer Aspire One - Intel Atom 1.6GHZ, 160GB HardDisk, 512MB Ram, Wifi, Card Reader, No optical Drive, 9" screen -bei Shs 520,000

4)Dell D400 - Intel Pentium M 1.6GHZ, 40GH HardDisk, 512MB Ram, Wifi/Bluetooth, Ext CDRW/DVD, 12" Screen - Bei 460,000

Duka ni Mtaa wa Mkunguni na Sukuma, Kariokoo. Karibu Sana

Asante
Kulthum Majid
Manager - Mohib Computers
0755360770
 
Nipatie bei ya HP laptop yenye RAM at least 2GB, Pentium Processor 1.8GHz Duo core, harddisk isiyopungua 120GB. Iwe used au New!
 
the farmer una uwezo wa kutumia kiasi gani kwa hizo specs naweza kukupatia kitu bomba zaidi ya hizo specs nipe budget yako ndugu.
 
the farmer una uwezo wa kutumia kiasi gani kwa hizo specs naweza kukupatia kitu bomba zaidi ya hizo specs nipe budget yako ndugu.
toa specs zako na bei yako kwa nini mtu akupe budget yake, wewe weka zote ulizokuwa nazo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom