@@@ ..."Used" "Spare" PART...@@@

@BE,

Kama mtu mwenyewe in the first place ni used na pia spare part...atawezaje kutafuta brand new (genuine)???

Au bado naona mawenge wenge?

Adjutant DC oops Maj Gen D,

kinachonitatiza ni kwamba, inakuwaje mtu unamiliki gari (kwa mfano), ambalo ni limetengenzwa 2010, and yet, linapopata hitilafu ukalipeleke kwa fundi, of all the people, fundi anakwambia, nenda ILALA ukanunue "used spare"...!
 
Hii post naifuta aisee..... Kwamba you can insinuate this na Sweetie aweza pita na kuona hii..... :scared: Unataka anielewe vipi Konnie.... lol (in case it happens); Nisha iriport kwa mod..

Kuna mtu aliiba PW, anataka kutuchonganisha, sirudii tena.

Hivi ni wewe ADi au kuna mtu kaiba PW yako?

Haya yanayoendelea tumeyazoea kwa akina Kongosho, Rejao, Mwali etc!!!

Babu DC!!

Ujue Babu DC mie ni mchungaji, hayo mambo unanipakazia.
Waumini wangu watanitoroka bure, ngoja nianze kukemea.
 
Adjutant DC oops Maj Gen D,

kinachonitatiza ni kwamba, inakuwaje mtu unamiliki gari (kwa mfano), ambalo ni limetengenzwa 2010, and yet, linapopata hitilafu ukalipeleke kwa fundi, of all the people, fundi anakwambia, nenda ILALA ukanunue "used spare"...!

Kuna kosa gani kama gari lenyewe ni used pia?

Babu DC
 
Ujue Babu DC mie ni mchungaji, hayo mambo unanipakazia.
Waumini wangu watanitoroka bure, ngoja nianze kukemea.

Poa nimekubali......

Ila ulitembelea wapi (ni Nig..?) kabla ya kuazisha kanisa lako?

Hao waumini wanahitaji novena!!

Babu DC!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Poa nimekubali......

Ila ulitembelea wapi (ni Nig..?) kabla ya kuazisha kanisa lako?

Hao waumini wanahitaji novena!!

Babu DC!!

Ujue mie nilizaliwa na upako kabisa
Nilizaliwa nikiwa nimeshika jembe
Kama alama ya kulima mjini.
 
Niliwahi kununua friji used yani nilijutaje!!!!Kesho yake niliirudisha kwa muuzaji halafu akanikata na pesa yangu.Tangu siku hiyo niliapa kuwa makini na hivi vitu ''used''.
Ushauri bora ununue kitu kipya hata kama cha mchina lakn kiwe na quality(expensive) kuliko kununua used ambayo hujui depreciation yake ni kiasi gani.
 
Nilikwahi kununua friji used yani nilijutaje!!!!Kesho yake niliirudisha kwa muuzaji halafu akanikata na pesa yangu.Tangu siku hiyo niliapa kuwa makini na hivi vitu ''used''.
Ushauri bora ununue kitu kipya hata kama cha mchina lakn kiwe na quality(expensive) kuliko kununua used ambayo hujui depreciation yake ni kiasi gani.

.......lol..... Zion D wewe ulikosea kitu kimoja, ilitakiwa kama unataka used iwe spare part, sio Kifaa chote kabisa... Lazima kikusumbue! lol
 
...nastaajabia hiyo gari inayotafutiwa spare ilhali yenyewe yajipa taji la uzima...
Ndio kusema, bila spare,....iwe used au brand new hilo gari halipigi starter ee?
 
.......lol..... Zion D wewe ulikosea kitu kimoja, ilitakiwa kama unataka used iwe spare part, sio Kifaa chote kabisa... Lazima kikusumbue! lol

Ahahahhaa... mie mshamba kama ndo hivo.Kumbe wenzangu wananunua spare parts tu!!!
kikikiki.Hata hivo nilishaweka maamuzi kuwa sitaki used.Kama kitu kimeharibika spare bora kutupa tu na kununua kingine.
 
Zion D kitu ambacho kinakusumbua shosti ni kua wewe bado hujajua vifaa vipi vya faa Used ama fake; Kumbuka fridge ni moja ya kifaaa ambacho inabidi ununue origina... Mimi naona huu mjadala nikutembelee weekend tujadili zaidi. lol
 
ki ki ki ki...Naona ukinitembelea itafaa zaidi.Sasa niandae consultation fee ama?
 
Kifaa ni "used" lakini bado kinauzwa kama "spare" na watu wenye kumiliki vifaa vya moto wanakimbilia "kukinunua"...! Mafundi wanakushauri eti ni bora ununue "used" kuliko "kipya"...!

Ni kwanini lakini?

Mzee kaimbe bongo flava, mambo ya machungwa, machenza, muogo, andazi, yote hayo utayaimba kwa ufasaha! Hongera sana!
 
Back
Top Bottom