IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,460
- 7,372
Wengine tunazungumzia spea za mwili wa binadamu we unatuletea mastori ya maspea ya machuma. Stuka!!
ahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Wengine tunazungumzia spea za mwili wa binadamu we unatuletea mastori ya maspea ya machuma. Stuka!!
Igweeeeeeeeeeeeeeeee!ahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hebu tema mate chini ibilisi asije akafanya kweli. Yaani mimi kukuchukia ni ngumu kama glasi kuchukia bia.:scared:hahahah..... Naona na wewe umeanza za kuni manipulatia meaning....lol. Spare tyre ya nyumbani si ndo bora zaidi? Enways uzuri umekubali ujumbe utafikishwa leo... nakupigia baada ya lunch.
BTW Labda urudi kwenye kunipenda mana nahisi tayari wanichukia.... lol
Kikiwa used kinakua na expiriensi!Au hujui?
Hapa mnajadili nini? Shkamooni.
Hebu tema mate chini ibilisi asije akafanya kweli. Yaani mimi kukuchukia ni ngumu kama glasi kuchukia bia.:scared:
Kifaa ni "used" lakini bado kinauzwa kama "spare" na watu wenye kumiliki vifaa vya moto wanakimbilia "kukinunua"...! Mafundi wanakushauri eti ni bora ununue "used" kuliko "kipya"...!
Ni kwanini lakini?
Uzuri spare part ukiona haifiti unaachana nayo au unaitupilia mbali unatafuta nyingine. Tofauti na spare tyre inakaa tu mpaka tyre nyingine ipate matatizo ndo inatumiwa tena kwa muda tu lolJamani ODM Usitaniwe? lol.... Hata mimi Nimeku miss... It seems mambo yamekua mengi....
Hivi unapo pata spare part na ukajua kabisa ilikotoka na mwenyewe hajaridhia kuiachia, unachukua uamuzi gani vile?
Marhaba Husny... mzima wewe? Nimekumiss my favourite niece... lini unakuja home?
Uzuri spare part ukiona haifiti unaachana nayo au unaitupilia mbali unatafuta nyingine. Tofauti na spare tyre inakaa tu mpaka tyre nyingine ipate matatizo ndo inatumiwa tena kwa muda tu lol
nimekumiss pia aunt, nitakuja nyumbani nikimaliza kifungo. Msalimie uncle na cousins wangu.
Mkuu issue ni tatu:
1) udhibiti hafifu na wakusikitisha katika kuingiza bidhaa nchini! Kila kitu kinaingia hata kama ubora wake ni mdogo sana. Hii imepelekea spare part fake na zenye ubora hovyo kuongia
2) tabia yetu waswahili kupenda rahisi,
3) kumbuka tanzania tulikuwa na mashine tools industries, zimekufa kifo kibaya. Viwanda hivi vilikuwa vinatengeneza spares za aina zote kwa gharama nafuu kabisa, hasa spare parts za magari na mitambo ambazo you couldnt get them in the maduka!
Memo,
Majibu yako ni mazuri sana...ila nadhani mie nimefeli mtihani,
Sorry....sitaki mtu aniite nduguye yule binti...Mwanaa.......!!!
Babu DC!!
Sasa shem we mwenyewe umesema kuwa mwenyewe spare hajaridhia kuiacha, kama hajaridhia kuiacha unategemea utaipataje?? Uiibe au? Na wizi wa spare part unafikiri ni rahisi? Yani ukaifungue mwenyewe anakuangalia tu? Uje uifunge mwenyewe anakuangalia tu? Afu gari lake litatembeaje sasa?Hapana shem.... naona hujanipata...lol. Inafiti kabisa.... na ni spate part sio tyre... acha urahisi wa kusolve matatizo kisa tu ni mvivu kurudi kwenye manual book ulo tupa kwenye tool box :wink2:
AshaDii na Babu ODM :A S 103:
:hand::A S-frusty:AshaDii na Babu ODM :A S 103: