@@@ ..."Used" "Spare" PART...@@@

Yaani hapo mpango mzima wa used spare parts ndo unaponoga. Yaani kinaibiwa hapa, kinapachikwa pale, afu pale kinaibiwa kinaenda kuwa re-used ya used tena!
Tena afadhali upate used humu jf, kule fb unaweza ukanegotiate bei na used yako mwenyewe,lol
Kwa mazingira ya Tanzania inaaminika used Spare parts ni genuine kwasababu imefunguliwa kutoka kwenye gari kwa kuibiwa au vinginevyo na kupelekwa kwenye maduka huku waki-assume kimetengenezwa wakati gari ndo inasukwa.
 
weeeeeeee umeingia chaka...

Mkuu issue ni tatu:

1) udhibiti hafifu na wakusikitisha katika kuingiza bidhaa nchini! Kila kitu kinaingia hata kama ubora wake ni mdogo sana. Hii imepelekea spare part fake na zenye ubora hovyo kuongia

2) tabia yetu waswahili kupenda rahisi,

3) kumbuka tanzania tulikuwa na mashine tools industries, zimekufa kifo kibaya. Viwanda hivi vilikuwa vinatengeneza spares za aina zote kwa gharama nafuu kabisa, hasa spare parts za magari na mitambo ambazo you couldnt get them in the maduka!
 
Mie mwenyewe kipya sitaki,
Nataka used,full uzoefu ebo?

Spea gani ukiiangalia ishaingia mpaka kutu alafu unakuta haijatumia tangu ilipotoka kiwandani,khaaaaa!
Sitaki bana mbona wengine hawajaitaka mpaka imeingia kutu na mie sitaki nataka used.

Ok.. Kumbe used spare part ndiyo mwisho wa njia... Inabidi nikubaliane na ushauri wa Fundi Juma...!
 
used bongo au nje ya bongo? ila used huwa hazina mvuto tena zishazoea kutumiwa na watu wa kila aina bora mpya hata kama ni mjapani
 
used bongo au nje ya bongo? ila used huwa hazina mvuto tena zishazoea kutumiwa na watu wa kila aina bora mpya hata kama ni mjapani

Ukiona hivi ujue huyu mnunuzi mgeni hapa mjini...... Na akiona mchina anadhani ni Original mjapani... Without knowledge kua bandarini wana mtindo wa kuchakachua, na wenye bidhaa kung'arisha bidhaa isionekane imechakachuliwa....:wink2:
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Habari ndio hiyo Baba E,
Used ndio mpango mzima,
Fundi Juma ana akili sana anajua used haina expaya deti lol!

Kuna kitu kinaitwa CHANJEE yaani spare yako (iliyo katika hali nzuri) inakuwa ''swapped'' na ya myigine (iliyo katika hali mbaya sana ) pasi na wewe kujua........halafu sapare yako inauziwa mtu mwingine
 
Ukiona hivi ujue huyu mnunuzi mgeni hapa mjini...... Na akiona mchina anadhani ni Original mjapani... Without knowledge kua bandarini wana mtindo wa kuchakachua, na wenye bidhaa kung'arisha bidhaa isionekane imechakachuliwa....:wink2:

...hahahahah...nimekumbukia enzi zile za wana chakachua, na kina kamanyola bila jasho...
na kweli bana, 'spare' inapigwa msasa kisha rangi,...pengine unauziwa usiku au penye kiza kiza kidogo....
kazi ni kwako...

All in all,...muhimu spare i fit bana....ya nini kuitafuta spare mpya ilhali tulishaambiwa "usiache mbachao,""jini likujualo!" etc..mimi nitaendelea ku recycle tu....helping the 'Environment!' and The World...
 
Kuna kitu kinaitwa CHANJEE yaani spare yako (iliyo katika hali nzuri) inakuwa ''swapped'' na ya myigine (iliyo katika hali mbaya sana ) pasi na wewe kujua........halafu sapare yako inauziwa mtu mwingine
Uswaz hii tunaiita CHANJI KOTA, hapa mnunulizi ndio inakula kwake ila muuzaji anakua najua kbs anachouza kiko kwenye hali gani,

Na kwa mie mnunuzi huwa silipii kwanza mpaka nitest km spea iko fresh au ni used ya kichina!
Km gari itapika kazi ikaenda zambia na mzigo na kurudi dar na mziko alafu spea haijasumbua hiyo nalipia na za usumbufu!
Lkn unafunga spea haijaingia hata main rodi unasikia inagonga mara chafya,vikohozi havieleweki hiyo lzm chanji kota inahusika piga chin fasta!
 
...hahahahah...nimekumbukia enzi zile za wana chakachua, na kina kamanyola bila jasho...
na kweli bana, 'spare' inapigwa msasa kisha rangi,...pengine unauziwa usiku au penye kiza kiza kidogo....
kazi ni kwako...

All in all,...muhimu spare i fit bana....ya nini kuitafuta spare mpya ilhali tulishaambiwa "usiache mbachao,""jini likujualo!" etc..mimi nitaendelea ku recycle tu....helping the 'Environment!' and The World...

Kwanza ile logically speaking wewe Kifaa chake kimepungukiwa na chahitaji spare... Kumbuka kua hicho kifaa kuna siku kilikua Brand new na sasa tokana na matumizi kimekua Imara zaidi but nevertheless kimetumika.... How come wewe utake brand new tena? lol Hata kama ni Original?

Lazima upate matatizo ya Incompatibility sababu madini ya kutengenezea yanaenda yanabadilika... Copper/Iron ilotumika kutengeneza Toyota ya 1990 haiwezi ikawa sawa na ile ya 2000.... lol.... If you know what I mean...:eyebrows:
 
Ati nini? "Used" "spare" part unatafuta hata "indicator" "used"?
 
Bado mko kwenye spare part?

Ni heri utumie used spare part kuliko ufanywe "spare tyre"

Vigezo na masharti kuzingatiwa.

Imekula kwangu shem.... Kuna mtu anahitaji spare tyre na nikamhakikishia mtu yupo kabisa taking in mind wewe ungemfaa..... :thinking:
 
Imekula kwangu shem.... Kuna mtu anahitaji spare tyre na nikamhakikishia mtu yupo kabisa taking in mind wewe ungemfaa..... :thinking:
Hehehehe.... khaa! Uzuri ni kuwa hujaharibu kitu. Kwenye kudumisha mila kuwa spare tyre hakuna tatizo. Tatizo ni kuwa spare tyre kwenye gari la nyumbani lol

BTW unajua nilivokumisi? Nna mpango wa kukuchukia.
 
hahahah..... Naona na wewe umeanza za kuni manipulatia meaning....lol. Spare tyre ya nyumbani si ndo bora zaidi? Enways uzuri umekubali ujumbe utafikishwa leo... nakupigia baada ya lunch.

BTW Labda urudi kwenye kunipenda mana nahisi tayari wanichukia.... lol
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom