Used Samsung Galaxy Ace inauzwa Tshs 300,000

TMAN8

Senior Member
May 25, 2012
165
41
Ni simu moja ambayo imejitosheleza sana. Iko katika hali nzuri kabisa, na iko na applications kibao za ukweli. kama uko interested nicheck kwa 0715 841 111
 
Tuwekee Picha basi tuione

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
haina michubuko
 

Attachments

  • galaxy ace sized.jpg
    galaxy ace sized.jpg
    70.2 KB · Views: 142
vyote vipo hivyo mkuu, kuna app. inaitwa ThinkFree office ambayo ni kama min microsoft office, hivyo word,excel, etc. unafungua tu, na pia ina adobe pdf reader.
 
mkuu, kwa mbili na nusu sijauza bado, nimeshusha mpaka mbili na themanini na hapo ni fair sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom