Azizi Bin Adam
Member
- Apr 21, 2012
- 59
- 19
Natafuta photocopy machine yenye scaner pamoja na printer.
Asanteni.
Asanteni.
Last edited by a moderator:
natafuta photocopy machine yenye scaner pamoja na printer
natafuta photocopy machine yenye scaner pamoja na printer
si chini ya 1.6m. Ukipewa offer ya chini sana kama ndugu yangu hapo juu, hicho ni kimeo.
Hapa ni bei ya used au mpya mkuu! Mie nahitaji used nianzishe project afu ndo nijipange kwa mpya atleast ziwepo mbili!
Hapa ni bei ya used au mpya mkuu! Mie nahitaji used nianzishe project afu ndo nijipange kwa mpya atleast ziwepo mbili!
Uko pande zipi ili tukusaidie?
printer za kusafisha passport size picha
seti nzima @ laki 500,000
unapata vifuatayo
1: printer
2:adaptor
3ower bank yake
4:toner yake (wino)
5:karatasi zake
6:camera digital 10 pixel
7:mfuko wa kubebea
8:waya za camera na power bank
View attachment 299349View attachment 299350View attachment 299351View attachment 299353View attachment 299360View attachment 299362View attachment 299363
Haipungui?
Asante kwa wasiliana na sisi mshanajr...tafadhali fika ofisini kwa maelewano zaidi..na kama uko mkoani tafadhali piga simu mida ya kazi..asante siku njema.
printer za kusafisha passport size picha
seti nzima @ laki 500,000
unapata vifuatayo
1: printer
2:adaptor
3ower bank yake
4:toner yake (wino)
5:karatasi zake
6:camera digital 10 pixel
7:mfuko wa kubebea
8:waya za camera na power bank
View attachment 299349View attachment 299350View attachment 299351View attachment 299353View attachment 299360View attachment 299362View attachment 299363
mwisho wa kusafisha ni picha ni ukubwa gani mkuu
Tutakuja
Mwisho wa ukubwa wa picha ni 4x6... hii ni nzuri sana kwa wanaotaka kufanya biashara ya kusafisha picha za passport na sio picha za kawaida..picha za kawaida tumia kusafisha studio kubwa kwa hiki usitumie hakilipi..mana picha kubwa ya 4x6 mteja anaweza kulipa mwisho shs 1000 na wakati huo huo ukisafisha passport picha ambazo mteja atapata picha 8 anaweza kukulipa 4000 mpaka 2500 inategemea na eneo uliopo..karibu asante kwa kuwasiliana.
najihisi amani kufanya biashara nawe mkuu ijapokuwa nipo kwa mkoa pia usichoke kwa maswali yangu
naweza pata pia dualcore dell desktop