Used bajaj for 1.5ml

Masika

JF-Expert Member
Sep 18, 2009
723
30
zHello kuna used two stroke bajaj (miguu 3) inauzwa Tsh 1.5ml mazungumzo yapo kwa aliye na uhitaji
Kadi original,bima na ina vibali vyote vipo na inatembea.Inapatikana cinza Dsm
Mawasiliano 0787883059
 
Yaani baada ya kuona zimekataliwa kuingia City Centre ukaona hazina dili ndio unatafuta mtu wa kumsukumizia mzigo?
Hilo kaka lako hilo, unalo hilo!!!
 
Yaani baada ya kuona zimekataliwa kuingia City Centre ukaona hazina dili ndio unatafuta mtu wa kumsukumizia mzigo?
Hilo kaka lako hilo, unalo hilo!!!

Sina maana hiyoo! Natafuta tu hela ya siku kuu si unajua december inaingia? kaka kibongo bongo mbona watu wataendelea tu kwenda mjini,si trafic ANAACHIwA cha mkono?5000 mtu anasepaa?
 
Tatizo Sumatra wanakaba.

usiogope sumatra kaka,kuna majembe nomaa lakini hawafuatilii kivile vijana wanapiga hela tu ndo maana kukabana kumepungua siku hizi,unaamka huna hela ukipata kichwa tayari hela ya chai na cha mchana ndo uanaanza kumtafutia tajiri 15 yake karibu njoo na fundi akague na bei inapungua
 
Back
Top Bottom