Usauri wenu wadau

Luthar

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
519
105
Ee bwana nahitaji ushauri wenu wa kauli kuna demu mmoja nimemzimia sana nimemu sms akaniambia atanijibu nikamfuaja home kwao nikamwambia anijibu akasema atanijibu kwenye sms mara akaniambia kazi kwangu mlango u wazi nikamwambia basi hata nimubusu nikapaki gari sheli tukaagana vizuri nafika home akanisms kwamba mchana aliona akiniambia ntazimia ninae nimpendae.sijapata chakumjibu usauri jamani
 
umwambie nini??

Kuwa umekubali kukataliwa??

Keshasema anaye ampendae.

Serious Note: ulimbusu busu la aina gani?? Hili laweza kuwa dalili fulani kutegemea na hesabu.
 
Hili nalo wataka ushauriwe,keshasema anae ampendae sasa wewe unataka nn tena?
 
hivi hizi shule azijafunguliwa tu....zingatia masomo kwanza dogo...

na mpaka zifunguliwe mbn tutakoma humu kushauri vibinti na vivulana vyetu tunavoviona bado vidogo kisa eti vinaomba hela ya shule au monthly allowances!ACHA TU!
 
Just cool down, u have made da mistake, u culd do it in dat first kiss(ina mata sana), so inawezekana hujafikia viwango vyake thus y kakudis, kama vipi jifanye kumpotezea fulani...halafu ucheki response yake
 
ok ntazingatia
 
Asanteni wadau kweli JF ni mpango mzima ntafanyia kazi shauri zenu ila kwa mwenye maoni aweke tu hapo down kuhusu umri ni miaka 25
 
kweli ndo umeamua kuleta huu ujina ssi mambo ya shule tukakusaidia unasomea nini mtoto
 
Ee bwana nahitaji ushauri wenu wa kauli kuna demu mmoja nimemzimia sana nimemu sms akaniambia atanijibu nikamfuaja home kwao nikamwambia anijibu akasema atanijibu kwenye sms mara akaniambia kazi kwangu mlango u wazi nikamwambia basi hata nimubusu nikapaki gari sheli tukaagana vizuri nafika home akanisms kwamba mchana aliona akiniambia ntazimia ninae nimpendae.sijapata chakumjibu usauri jamani

wala usimfikirie vibaya, kaamua kusema ukweli maana angekudanganya ungesema anakusaliti. Angalia pengine na usjaribu badae
 
Back
Top Bottom