Usanii wa Viongozi wetu sasa umevuka mpaka

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
15,551
19,416
attachment.php

Transport deputy minister Athuman Mfutakamba takes a rare ride in a commuter bus plying the Kariakoo-Mwenge route in Dar es Salaam at the weekend. He said he was following up reports of misconduct by drivers, conductors and passengers, adding that there was so far hardly any evidence of misbehaviour.

Ukaguzi.jpg

Kwa jumla nakiona kitendo hiki kama cha kuwakejeli watumia daladala kwa sababu hakuna dereva hata mmoja wa daladala atakayeonyesha ubabe wake kwa abiria huku akijua kuwa ndani ya basi hilo kuna waziri.
 
atakuwa mjinga kwa alienda kujua kitu kwa kujinadi kuwa yeye ni naibu waziri.

Anatakiwa kuwa undercover ,I hope he did so
 
Kuna walioanza kwa kwenda kariakoo, tandale, muhimbili, nk., baada ya muda kidogo, chali! leo hii hata watu hawana hamu nao! Kwani ...
 
attachment.php

Transport deputy minister Athuman Mfutakamba takes a rare ride in a commuter bus plying the Kariakoo-Mwenge route in Dar es Salaam at the weekend. He said he was following up reports of misconduct by drivers, conductors and passengers, adding that there was so far hardly any evidence of misbehaviour.

View attachment 20056

Kwa jumla nakiona kitendo hiki kama cha kuwakejeli watumia daladala kwa sababu hakuna dereva hata mmoja wa daladala atakayeonyesha ubabe wake kwa abiria huku akijua kuwa ndani ya basi hilo kuna waziri.

hata mimi nilikereka sana kuona picha hiyo. si unaona hata daladala haijajaa watu? usanii mtupu!
 
Huu kweli usanii!
Acha kutusanifu mh Mfutakamba".This life is not a rehearsal,it a reality." kwa taarifa yako shule sasa zimeshafunguliwa ,tunaomba kama una watoto wanaosoma wasitumie usafiri uliopewa na ST kwenda shule bali wapande daladala kisha wakirudi jioni toka shule wakueleze waliyokumbana nayo .Na hiyo picha ilipigwa jmosi saa 6-8 mchana??! kapande kesho saa 10 -12 jioni ukitokea kariakoo kisha linganisha uhalisia na hilo igizo.
 
This is bongoland! Nchi ya wadanganyika! wakitaka kuwaonesha wafadhili mafanikio ya mpango wa kudhibiti maralia wafadhili hao hupelekwa arusha kwa wa meru ambako kuna baridi kali, pia kwenye milima ya usambaa na makete. pindi wanapotaka kuomba msaada wa kwa mfadhili sehemu nyingine mfadhili huyo wa pili atapelekwa morogoro sehemu zote ulimwako mpunga tena wakati wa masika, kyela, shinyanga, tabora, na sehemu zote zinazopitiwa na bonde la ufa!.

hii Ndiyo bongoland!
 
wawezaona alikuwa na demu wake aliogopa akitumia gari yake mkewe angemjua, kuficha soo kaamua kupanda daladala. Mzee alikuwa mawindoni.
 
Back
Top Bottom