Usanii na Ufisadi wa CCM mwingine huu hapa

Josephine03

JF-Expert Member
Feb 7, 2012
752
302
JK kupitia chama chake ametoa msaada wa shilingi milioni kumi kwa wamachinga wa Mwanza, lakini cha kushangaza hilo fungu limeanza kufanyiwa mchakato kwa watu ambao si wamachinga bali ni ndugu na jamaa wa karibu wa viongozi wa CCM. Hii habari nimeipata kutoka kwa jamaa yangu wa karibu ambaye baada ya kuiona nilijaribu kumpigia kujua ya zaidi akanijibu kanyaboya hiyo, sababu kuna masharti ambayo mmachinga wa kawaida hataweza yafikia. Niliposikia nikayakumbuka yaliyoitwa mabilioni ya Kikwete. Sijui huyu mwenyekiti na rais anawatendaji wa aina gani
 
Hata mimi nimeiona kwenye Star TV nikacheki zile sura za wamachinga nikapata jibu kama lako. Yaani hii Nyinyiem hii, mwenzenu naona 2015 mbali kabisa
 
JK kupitia chama chake ametoa msaada wa shilingi milioni kumi kwa wamachinga wa Mwanza, lakini cha kushangaza hilo fungu limeanza kufanyiwa mchakato kwa watu ambao si wamachinga bali ni ndugu na jamaa wa karibu wa viongozi wa CCM. Hii habari nimeipata kutoka kwa jamaa yangu wa karibu ambaye baada ya kuiona nilijaribu kumpigia kujua ya zaidi akanijibu kanyaboya hiyo, sababu kuna masharti ambayo mmachinga wa kawaida hataweza yafikia. Niliposikia nikayakumbuka yaliyoitwa mabilioni ya Kikwete. Sijui huyu mwenyekiti na rais anawatendaji wa aina gani

Kazi kweli kweli!
 
Ndo hivyo washalizwa watu na mazuzu ndo bado wanaowashabikia mafisadi hapa
 
JK kupitia chama chake ametoa msaada wa shilingi milioni kumi kwa wamachinga wa Mwanza, lakini cha kushangaza hilo fungu limeanza kufanyiwa mchakato kwa watu ambao si wamachinga bali ni ndugu na jamaa wa karibu wa viongozi wa CCM. Hii habari nimeipata kutoka kwa jamaa yangu wa karibu ambaye baada ya kuiona nilijaribu kumpigia kujua ya zaidi akanijibu kanyaboya hiyo, sababu kuna masharti ambayo mmachinga wa kawaida hataweza yafikia. Niliposikia nikayakumbuka yaliyoitwa mabilioni ya Kikwete. Sijui huyu mwenyekiti na rais anawatendaji wa aina gani

kazi ipo ndani ya chama cha magamba
 
Kwani hata yale mabilion ya jk wamachinga waliyaona! Yoote alichukua riz1
 
Kinachoniudhi ni vijana ndio wanalizwa ambao kila siku tunawahamasisha kukipiga vita hichi kinyinyiem lakini hawatuelewi, natamani niwadunde makwenzi labda akili itaingia
 
Kwani hata yale mabilion ya jk wamachinga waliyaona! Yoote alichukua riz1

Wasiwasi wangu ni kwamba wamachinga wa Mikoa mingine watahamasika na kuhisi kuwa serikali imeanza kuwajali wakati ni changa la macho. Ushauri wangu nguvu ya umma tuwape miezi mitatu tu alafu tupitie kufuatilia hao wamachinga tuje na ripoti kamili najua hii itafanikiwa tukiweka mikakati wakati wa kampeni zetu
 
Back
Top Bottom