Usaliti wa Wabunge wa CCM kwa wananchi...

Haya majina yawekwe kwenye magazeti ili wapiga kura wao waone ni wabunge wangapi wenye uchungu na maisha yao. WanaCCM wajue ni wabunge wa upinzani ndiyo wanaumia kwa hali mbaya ya watanzania na si wapiga kelele CCM.
 
Ninasikitika mbunge wangu wa Nkenge huajasaini. Nasikitika kwa sababu mbunge wangu Asumpta umeamua umeuvua na kuutupa utu, huruma, uzalendo, na upendo wako kwetu, umeamua kuachana na ujasili na umechagua usaliti dhidi yetu sisi masikini tuliomchagua. Mbunge wetu Asumpta umeamua kujiunga na genge la wanyonyaji wa jasho letu, mafisadi wa haki zetu na wakwapuaji wa rasilimali zetu kiasi cha kutusababishia kero na na umasikini wa kutupwa! Mbunge wangu asumta umetugeuza umetutangazia vita sisi wapiga kura masikini, ninakuona sasa umetuelekezea bunduki, mikuki, shoka na mapanga na macho yako yanaashiria roho wa mauti. Mbunge wangu ninakuona mikono yako ikiwa imejawa na damu, ukiwa na wenzako wasiotupenda wala kututhamini sisi tulioenyeka kuwapigia kura. Mbunge wangu Asumpta sasa unatuita ganda la muwa la jana! Sawa. Mbunge wetu Asumpta, hatukubali, sisi masikini wapiga kura wako tutajitetea dhidi ya vita ulivyotutangazia. Mimi nitakuwa Kamanda wa vita ulivyotutangazia wana Nkenge. Sasa nasema, sababu, nia na uwezo tunao wa kupambana na wewe. Naamini nguvu ya umma iliyokupatia ubunge hiyo hiyo ndiyo itakayokuangusha. Kumbuka sauti ya watu ni sauti ya Mungu. Amkeni wana Nkenge!
 
Nasikitika mimi sina mbunge wa kunipigania, Mbunge wangu Mpendazoe alinyang'anywa ushindi kwa nguvu, na lile fisadi namba moja. Chama cha majambazi kinampotezea muda tu mahakamani. But we will fight till our last blood drop, and we know we shall win, we are confident with victory.
 
Ambaye hatasaini tusimwone uso wake jimboni, tumeshapata fimbo ya kumyukia, somo la bungeni kila mtu amelielewa sasa hao ambao hawajasaini wanataka nini?
 
Hata mimi nasikitika mbunge wangu wa mbozi mashariki hajaweka sahihi yake pamoja na kuionya CCM kuwa itakufa mwaka 2015.
 
Itunzeni hii kitu, pamoja na ile orodha ndefu ya ahadi tulizopewa - ma-complex kwa ajili ya wamanchinga, barabara za juu, meli (ziwa Tanganyika, Nyasa na Viktoria); Viwanja vya ndege nk. Hili tuzitumie kuwahoji hawa walioamua kuchukua falsafa ya mbuni ya kuficha kichwa kwenye mchanga ili hali wapinga kura hali ya maisha ikizidi kudorora. Wamesahau kuwa tuliahidia maisha bora, na si bora maisha.
 
Ninasikitika mbunge wangu wa Nkenge huajasaini. Nasikitika kwa sababu mbunge wangu Asumpta umeamua umeuvua na kuutupa utu, huruma, uzalendo, na upendo wako kwetu, umeamua kuachana na ujasili na umechagua usaliti dhidi yetu sisi masikini tuliomchagua. Mbunge wetu Asumpta umeamua kujiunga na genge la wanyonyaji wa jasho letu, mafisadi wa haki zetu na wakwapuaji wa rasilimali zetu kiasi cha kutusababishia kero na na umasikini wa kutupwa! Mbunge wangu asumta umetugeuza umetutangazia vita sisi wapiga kura masikini, ninakuona sasa umetuelekezea bunduki, mikuki, shoka na mapanga na macho yako yanaashiria roho wa mauti. Mbunge wangu ninakuona mikono yako ikiwa imejawa na damu, ukiwa na wenzako wasiotupenda wala kututhamini sisi tulioenyeka kuwapigia kura. Mbunge wangu Asumpta sasa unatuita ganda la muwa la jana! Sawa. Mbunge wetu Asumpta, hatukubali, sisi masikini wapiga kura wako tutajitetea dhidi ya vita ulivyotutangazia. Mimi nitakuwa Kamanda wa vita ulivyotutangazia wana Nkenge. Sasa nasema, sababu, nia na uwezo tunao wa kupambana na wewe. Naamini nguvu ya umma iliyokupatia ubunge hiyo hiyo ndiyo itakayokuangusha. Kumbuka sauti ya watu ni sauti ya Mungu. Amkeni wana Nkenge!
Haswa!! wananchi wote wa jimbo la nkenge tuone usaliti huu.Nawaomba wasomi mashujaa wajitokeze kuchukua jimbo kwa tiketi ya CDM,Kamala alituangusha tukaamini maneno ya huyu mama sasa naye mambo yaleyale.Hebu tujaribu upande wa pili.
 
orodha itumike kuwaadhibu wabunge mavuvuzela nashauri hiyo orodha ihifadhiwe na hao wabunge watambulike kama mashujaa wa karne hii wa tanzania na wapewe heshima ya pekee, pia naomba itafutie title hapa JF isiondolewe kama ilivyo ya dada Regia Mtema RP Tunakusanya kero ......" 2015 itolewe hukumu kwa waliobaki.

Wabunge hawa wakirudi majimboni kwao wapokelewe kwa heshima...hii itatoa fundisho kwa wanafiki wote aliobaki na kuwatofautisha hawa na hao wachumia tumbo na kama alivyopendekeza mtoa hoja, hawa wanafiki waitwe na kuulizwa kwanini hawakuweka signature wakati walitoa mapovu kwenye hotuba zao.
 
Ina maana yule mbunge wa nkasi hajasain? Kweli jamaa msanii..alivokuwa anagomba povu jingi kumbe hamna kitu. Na esta bulaya nae njaa tu..nae hajasain? Wasanii wengi sana kelele zote kumbe ovyo kabisa
 
Wana jf naingia juukwaani kwa hasira Kali. Juu ya wabunge wa ccm ambao nimewafananisha na mbwa koko wabwekao Huku wakiwa Hawana ujasiri wa kukabiliana na wanalolibwekea.hawa wanasitahili kuadhibiwa sawa sawa na mafisadi je? Mnasemaje? Nawasilisha
 
wabunge wa ilemela na ukerewe siwaoni kwenye list, kiukweli orodha ya wabunge waliosaini iwekwe wazi ili iwe kumbu kumbu na chachu ya mabadiliko
 
Dr Kigwangalla amekuwa mstari Wa mbele katika kupinga ufisadi akianzia kudai mikataba ya Madini, kuwatetea madaktari wenzake. Leo kajificha wapi haonekani kupinga madudu haya ya serikali na wala hatukuona jina lake katika sole saini 70 zilizotakiwa na Zitto. Je ni kweli Ana uchungu na nchi hii au ni dramas? by measkron
nimefurahi watu wameanza kuwaulizia wabunge mbalimbali juu ya kumuunga mkono zitto.
 
pamoja na tabia mbaya ya usaliti aliyonayo lakini hapa ameonyesha uzalendo,nampongeza JOHN SHIBUDA
 
Back
Top Bottom