Usaliti unaofanywa kwa watu wa karibu

Ziltan

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
2,649
6,832
Habari za sunday wana mmu?
Ni hivi leo shemeji yangu yaani mke wa jamaangu kaja akilalamika kuwa mme wake katembea na mtoto wa kaka yake aliyekuja kuwatembelea baada ya kuhitimu kidato cha nne(huyo binti ni mtoto wa kakaake tumbo moja),
pamoja na hilo anadai kuwa aliwahi kutembea na binti mwingine anayemwita mama mdogo siku za nyuma japo alikuja gundua baadaye,
pia kuhusu mabeki tatu anadai kuwa yeye huwa anaweka vitoto vidogo ndio maana labda hajihusishi navyo,kiufupi huyo dada ni mzuri, mweupe mrefu mwembamba na analipa vzr na wote ni waajiriwa,
pia huyo jamaa yey ni kijana aliyeingia ktk ndoa akiwa na miaka 21,na ni kijana mwenye mvuto,mtaratibu ,anayejiendeleza kielimu na ni mpenda maendeleo,
sasa huyo dada anaomba ushauri kuhusu kuwaeleza ndugu zake juu ya tabia ya mme wake halafu ndio aachane na mme wake japo nnavyomuona hawezi kumuacha kwani anaonesha kumpenda na kumhitaji sana kwani wana mtoto mmoja mwenye miaka 5,
naomba mnisaidie namna ya kumshauri huyu dada leo jioni juu ya hilo tatizo lake pia hili jambo naona kwenye jamii zetu naona kama lipo sana.nawakaribisha.
Ahsanteni
 
Hivi vitabia vimeanza kukua kwa kasi sana, sijui kwa nini. Mungu na atulinde na kutuepusha na hizi tabia za kishetani.
 
naye ajilipe iwe ngoma droo, ila akisema kumuacha?! Ataenda kutana na wanaomuomba tigo
 
mhm..haa ndio matatizo ya vijana kuoa mapema wakati bado akili hazijatulia
huyo dada mwambie tuu aendele kukaa na huyu kijana maana kashabebeshwa mtoto sasa aendelee kulea mtoto tuu.
 
Habari za sunday wana mmu?
Ni hivi leo shemeji yangu yaani mke wa jamaangu kaja akilalamika kuwa mme wake katembea na mtoto wa kaka yake aliyekuja kuwatembelea baada ya kuhitimu kidato cha nne(huyo binti ni mtoto wa kakaake tumbo moja),
pamoja na hilo anadai kuwa aliwahi kutembea na binti mwingine anayemwita mama mdogo siku za nyuma japo alikuja gundua baadaye,
pia kuhusu mabeki tatu anadai kuwa yeye huwa anaweka vitoto vidogo ndio maana labda hajihusishi navyo,kiufupi huyo dada ni mzuri, mweupe mrefu mwembamba na analipa vzr na wote ni waajiriwa,
pia huyo jamaa yey ni kijana aliyeingia ktk ndoa akiwa na miaka 21,na ni kijana mwenye mvuto,mtaratibu ,anayejiendeleza kielimu na ni mpenda maendeleo,
sasa huyo dada anaomba ushauri kuhusu kuwaeleza ndugu zake juu ya tabia ya mme wake halafu ndio aachane na mme wake japo nnavyomuona hawezi kumuacha kwani anaonesha kumpenda na kumhitaji sana kwani wana mtoto mmoja mwenye miaka 5,
naomba mnisaidie namna ya kumshauri huyu dada leo jioni juu ya hilo tatizo lake pia hili jambo naona kwenye jamii zetu naona kama lipo sana.nawakaribisha.
Ahsanteni

Hapo kwenye red mkuu, katembea na mtoto wa kaka yake nani? Yeye binti anayelalamika au kaka yake na huyo jamaa anayejifanya hawezi kufunga flaizi?

Hapa nadhani uamuzi wa mwisho anao mke mwenyewe, kama anadhani anampenda mumewe na anaweza kuendelea kuishi nae basi apige kimya tu, akae na mumewe waongee wayamalize (ikiwezekana) na hana haja ya kuwaambia watu. Ila kama anaona hiyo ni dhambi tosha kuvunja nyumba yao basi awaambie watu na aondoke, kuwaambia watu alafu asiondoke haitasaidia kitu.

Huyo jamaa ni mnyama kabisa aisee na nadhani wala sio swala la umri hapa, akili ya huyo kaka tu imepungua kidogo
 
Katika hili ni bora wayamalize wenyewe maana yakifika kwa ndugu nafikiria kuwa hapatatosha hasa kwa upande wa kiumeni
 
Katika hili ni bora wayamalize wenyewe maana yakifika kwa ndugu nafikiria kuwa hapatatosha hasa kwa upande wa kiumeni

Si sawa mkuu karachuonyo!!!
Ni bora awaambie nduguze ili huyo jamaa aache mchezo mchafu wa kutembea na watoto wa kakake, itafikia kipindi kawamaliza watoto wote wa nduguze na hii ni mbaya sana, kwani anaweza kuzaa na watoto wa kakake pia!!!
 
mwambie ajichunguze yeye kwanza km kakamilika kila idara kama mwanamke na sio eti mrefu,mweupe,ana nywele ndefu,ana macho ya goroli lakini ujanakike hana..
 
Si sawa mkuu karachuonyo!!!
Ni bora awaambie nduguze ili huyo jamaa aache mchezo mchafu wa kutembea na watoto wa kakake, itafikia kipindi kawamaliza watoto wote wa nduguze na hii ni mbaya sana, kwani anaweza kuzaa na watoto wa kakake pia!!!

huyo jamaa anakula ndugu wa mwanamke wanaomwita mamdogo huyo mke wake jammaa
 
mwambie huyo dada ampige chini,mwanaume gani hana mipaka?hako ka toto kao kama ka kike kakikua huyu mwanaume atakasarandia pia,mtu asiyejua mipaka ya undugu muogope sana anaweza akatembea na mwanae wa kumzaa....aachane nalo hilo lipunguani.
 
Uliye naye unajua fojali zake?
Tumia busara badala ya kuongozwa na hisia,
hapa washauri hakuna ila zaidi asamehe tu,
mwisho mleta mada kapotoka kualika watu wachangie kwa kuangalia avatar zao hali sio kweli kwamba ndio wenye fikra sahh zaid ya...
so unataka akaombwe tigo au akatembee na waume za watu?
mwambie huyo dada ampige chini,mwanaume gani hana mipaka?hako ka toto kao kama ka kike kakikua huyu mwanaume atakasarandia pia,mtu asiyejua mipaka ya undugu muogope sana anaweza akatembea na mwanae wa kumzaa....aachane nalo hilo lipunguani.
 
Uliye naye unajua fojali zake?Tumia busara badala ya kuongozwa na hisia,hapa washauri hakuna ila zaidi asamehe tu,mwisho mleta mada kapotoka kualika watu wachangie kwa kuangalia avatar zao hali sio kweli kwamba ndio wenye fikra sahh zaid ya... so unataka akaombwe tigo au akatembee na waume za watu?

wazinzi utawajua tu.....
huyo anayetembea hadi na ndugu wa ndani,unadhani mtaani ndio kabakisha???ukweli unabaki pale pale kama hukuona mpaka kwa mtoto wa shemeji yako,utaona mpaka gani kwa mtoto wako wa kumzaa.???

hayo ya kuombwa tigo sijui kutembea na waume za watu ni irrelevant! unajuaje despite current situation hajaombwa tigo au hajatembea na waume za watu???

wewe dada piga chini huyo mala ya,wanaume genuine wapo kibao!!
 
Back
Top Bottom