Usaliti sio mzuri nimekoma.

Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
12,712
19,840
Jaman umalaya mbaya jana nimekamata binti mzuri nikaenda nae geto aisee nilichokiona nimeogopa duu Binti ana kisimi kirefu kama uume nimeogopa jamani.Nikaanza kujuta kwa nin hata nimethubutu kumsaliti mpenzi wangu.Samahani mpz wangu nahisi maombi yako ndo yamenikutanisha na maajabu haya.
 
Billie l salute you, unajua ni kwa nini?

Kukubali kuwa wewe ni prostitute!
Na mwisho kujutia na kuamua kuacha.

Salute!!!!!
 
Billie l salute you, unajua ni kwa nini?

Kukubali kuwa wewe ni prostitute!
Na mwisho kujutia na kuamua kuacha.

Salute!!!!!

Asante kwa appreciatiation ila niliamua kufunya hivyo baada ya mpz wangu kunizingua.
 
Where are the real men? I mean the mature ones! The ones who don't kiss and tell! Ggghhhrrrr!
 
Mkuu yaani uliona dawa yake ni kumsaliti!!! kaaazi kweli kweli

Ndio maana nimeomba msamaha kwake nimegundua haikuwa sulution nzuri isitoshe mi mtulivu sana kwenye mahusiano ila hasira nikaziendekeza ndo hayo sasa yamenikuta.
 
Where are the real men? I mean the mature ones! The ones who don't kiss and tell! Ggghhhrrrr!

Naomba usikate tamaa king'asti wangu nilichanganywa hadi nimeanza kujijutia mwenyewe. Sorry wanawake wote kwa niaba ya mpenzi wng nilitaka kumuomba msamaha directly lakini nimegundua ntatengeneza fault badala ya kujenga ndio maana majuto yangu nimeyaleta humu jf kutafuta balance moyon mwangu.
 
better umewasaidia na wengine wenye tabia kama yako waache coz wanaweza kutwa na makubwa kuliko hayo yaliokukuta ww.........
 
Back
Top Bottom