Usalama

Chifunanga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
290
98
Hili neno nimekuwa nikilikia mara kwa mara likitajwatajwa kwenye sentensi tofauti.

Hivi maana yake haswa ni nini? na linatumikaje?
 
Watu woote wanaojihusisha na kuhakikisha kiongozi wa Chama kilichpo madarakani hakishindwi uchaguzi.
 
Ni hali ya kuwa salama, yaani hakuna hatari yeyote wala hasara. Pia tunaweza sema kuwa na freedom, hakuna vita wala maasi.
Nafikiri umeelewa.
 
Hili neno nimekuwa nikilikia mara kwa mara likitajwatajwa kwenye sentensi tofauti.

Hivi maana yake haswa ni nini? na linatumikaje?
Ni hali ya kuishi katika mazingira yasiyo hatari kwa maisha au mali zako.... lakini (kwa Tanzania tu) ni genge la wahuni waliobobea katika kuchakachua habari, maelezo, picha na hata kura ili kukinufaisha chama cha mafisadi (CCM) na Raisi wao. Wahusika katika genge hilo huitwa wana 'Usalama' na hufanya kazi zao kwa kujificha. Ni genge hatari maana wanaweza kukuchomekea mionzi ili ikuue polepole, kukunyonga kisirisiri, au kukuchongea polisi kwa habari watakazoziita za ki-inteligensia ili upigwe risasi kama walivyopigwa wenzetu kule Arusha. Kwa nchini kwetu genge hili liko 'immune' na sheria ila kiboko yao ni mtu anayeitwa Ocampo.
 
Ni taarira za kiintelijensia

Ila mimi nina wasiwasi na wewe ni TISS umetumwa kupata upepo wa mambo hapa JF kujua watu wanaijua kwa namna gani hiyo TISS.
Kuna thread umeileta kupima kama watu wanalijuua lile jengo pale nyuma ya DSTV ni la nani, watu wamekujibu kuwa wanalijua ni la TISS na mambo mengine. Ok kazi njema kama nimepatia hisia zangu.
 
Mdau, labda ningekuuliza kuwa unadhani hii ndio njia nzuri kwa "TISS kupata upepo wa mambo hapa JF"?

Ila kama unadhani mi ni TISS poa tu, wala siwezi kukanusha kwa sababu katika nchi hii ni sifa kujulikana kuwa wewe ni TISS....kwa hiyo mi TISS. sauwaaa?
 
???
 
Back
Top Bottom